Rais William Ruto akosoa kuhafifishwa kwa demokrasia katika mataifa mbalimbali ya bara la afrika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 тра 2024
  • Rais William Ruto amekosoa kuhafifishwa kwa Demokrasia katika mataifa mbalimbali ya bara la afrika. Akizungumza katika taasisi ya Jimmy Carter Mjini Atlanta Marekani, Ruto ameyataka mataifa yaliyostawi kusaidia kuimarisha demokrasia katika mataifa yanayokuwa ili kuwezesha maendeleo endelevu. Ruto anaanza rasmi ziara yake Jumatano atakapokutana na mwenyeji wake rais Joe Biden. Steve Shitera anaarifu zaidi.

КОМЕНТАРІ • 8