Moyo unahitaji matengenezo . Methali 14:30 Moyo ulio mzima ni uhai wa kweli. Moyo mzima ni moyo uliotengenezwa, moyo usiojaa makorokoro ya Dunia. Jaza moyo wako Neno la Mungu na maarifa ya Mungu. Hii itakusaidia kuutengeneza moyo wako. Usijaze visasi, hasira na mambo mengine ya dunia yaletayo uharibifu. Neno hili ni uzima, ni Amina na ni Kweli. Kwa kila ambaye anaona kuna mahalimoyo wake umeingia dosari na asikilize Neno hili ili apate uponyaji wa Moyo. Mzidi kubarikiwa Watumiahi kwa kutulisha Roho zetu.
Mungu awabariki mnoo
Am always blessed with this kind of teachings, they always bring changes to our being
Dada mafundisho yako yanajenga sana barikiwa
Neno zuri sana ...Mungu awabariki
Amen nimebarikiwa na somo hili watumishi
Mungu awabariki sana
Somo zuri sana. Ni ombi langu kila mtu apate muda asikilize, tena kwa utulivu kabisa.
Amina nimearikiwa sana
Amen somo zuri sana
Ameen nimevuka kwa hili
nimebarikiwa
Amina. Mafunzo mazuri
Moyo unahitaji matengenezo . Methali 14:30
Moyo ulio mzima ni uhai wa kweli. Moyo mzima ni moyo uliotengenezwa, moyo usiojaa makorokoro ya Dunia.
Jaza moyo wako Neno la Mungu na maarifa ya Mungu. Hii itakusaidia kuutengeneza moyo wako. Usijaze visasi, hasira na mambo mengine ya dunia yaletayo uharibifu.
Neno hili ni uzima, ni Amina na ni Kweli. Kwa kila ambaye anaona kuna mahalimoyo wake umeingia dosari na asikilize Neno hili ili apate uponyaji wa Moyo.
Mzidi kubarikiwa Watumiahi kwa kutulisha Roho zetu.
Be blessed sister
AMINA,Tunamshukuru Mungu Kwa Neno Zuri.
😂😂😂😂😂 Mtumish Beatrice
hapa sasa nimepata kitu kwenye vipengele vya nafsi mbarikiwe watumishi