UVIVU~PART 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • UVIVU NI TATIZO AMBALO WATU WENGI SANA WANAKABILIANA NALO,NA WENGINE WANAJIKUTA HAWAWEZI KUZALISHA KWA KUSONGWA NA UVIVU SIKILIZA SOMO HILI UWEZE KUTOKA KATIKA UVIVU NA KUTUMIA RASILIMALI MUDA,PESA NA KARAMA VYEMA.#UVIVU#LAZINESS

КОМЕНТАРІ • 22

  • @EmmyShirima-jl7kj
    @EmmyShirima-jl7kj 5 місяців тому

    Sanaaaa hata wafanyakazi wa ndani ni wavivu kbsaaaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌

  • @marcelastephen4247
    @marcelastephen4247 5 місяців тому

    😢😢Mungu utuvushe ni sahihi Roho hii ipooo kati yetu

  • @pendokisawani1760
    @pendokisawani1760 2 роки тому +2

    Namshukuru Mungu kwa SOMO nzuri.,Navuka maana mimi ni yule wa kubandika maharage afu naenda kusugua choo kabla sijamaliza natoka kwenda kuchoma taka

    • @emmypapius3892
      @emmypapius3892 2 роки тому

      Kwakweli huyu mvivu ni mimi yaan ni asubuh nakuwa mvivu kuamka yaan duh mvivu kusali ,naadika barua za maombi ya kazi lkn ata sizipeleki lkn kusoma hadith nipo very active ata silali ..duh Mungu anisaidie

    • @pendokisawani1760
      @pendokisawani1760 2 роки тому

      @@emmypapius3892 Tuvuke winner

  • @joycemaige6838
    @joycemaige6838 2 роки тому

    Amen Barikiwa sana iki kitu kimenijia sasaivi nilikua nina maendeleo vizuli Mungu nisaidie huu usingizi

  • @aminathatwahir8462
    @aminathatwahir8462 2 роки тому +1

    Asante. Mungu awabariki Watumishi kwa kufundisha somo hili,navuka

  • @glorymushi498
    @glorymushi498 5 місяців тому

    Yesu tusaidie hii roho isitutawale ni mbaya sana😢

  • @neemakamtawa3230
    @neemakamtawa3230 Рік тому

    Hakika Mungu Ni mwema, neno hili lituponye na kutuvusha kwa jina la YESU

  • @ammyomary3182
    @ammyomary3182 Рік тому

    Amen Asanteni sana watumishi naenda kuvuka maana mim ni mvivu

  • @glorymushi498
    @glorymushi498 5 місяців тому

    Hallelujah

  • @neemakyando9591
    @neemakyando9591 Рік тому

    Nibadilishe yesu

  • @bekaogoro7071
    @bekaogoro7071 2 роки тому

    Asante sana. Somo zuri kweli mubarikiwe anointed room

  • @joanelvalentina9956
    @joanelvalentina9956 2 роки тому

    Hapa watumishi mnasema na mimi kuna sehemu niko mvivu naamka sass

  • @saraphinapaulo6765
    @saraphinapaulo6765 Рік тому

    Hakika uvivu upo ewe yesu tuhurmie sis

  • @priscillakato2653
    @priscillakato2653 Рік тому

    Done

  • @lilianmyinga4578
    @lilianmyinga4578 2 роки тому

    Amina

  • @ednakimweri494
    @ednakimweri494 2 роки тому

    🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @stamilympoli7903
    @stamilympoli7903 2 роки тому

    Ameen

    • @neemakamtawa3230
      @neemakamtawa3230 Рік тому

      Mungu atusaidie sana jaman, neno hili tupone hakika

  • @pudencianagabriel7245
    @pudencianagabriel7245 2 роки тому

    L