🚨Yanga 4-0 Kaizer chiefs Faida waliyoipata Yanga kwenye Ziara ya South Africa.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • #football #alikamwe #simba #simbaislive #yangasc #yangatv #ahmedally #simbatanzania #yangafc #youtube

КОМЕНТАРІ • 6

  • @LucyVictor-c9c
    @LucyVictor-c9c 2 місяці тому

    Yaan... Joeflea anateseka sana...

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 місяці тому +3

    Uyo kibabage angekuwa imara yanga ingekuwa tishio sana katika namba zote namba ya kibabage inapwaya sana na ndio mpenyo wa maadui Hana utulivu kabisa na ndio aliongoza Kwa kupoteza mipira Jana!....
    Shadrack Boka apone tu

    • @GracePaul-k2l
      @GracePaul-k2l 2 місяці тому +1

      Tuwe tuna wapa muda ukiangalia muda wa mazoezi ulikuwa mdogo jaman

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo 2 місяці тому

    Ubingwa inawezekana 2

  • @GracePaul-k2l
    @GracePaul-k2l 2 місяці тому

    Jamaniiiiiiii tano bora tusha ingia tupo wa nne

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 місяці тому

    Hilo bomu ni zaidi ya lile la Nagasaki na iroshima ukiona kaizer kaonewa njoo na timu yako🎉🎉🎉