1 - 3 | NOVENA KWA MT. RITA WA KASHIA | NOVENA ISIYOSHINDWA KITU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 78

  • @jescamkama8040
    @jescamkama8040 6 місяців тому +5

    Nina imani kuwa kupitia novena hii naenda kuanza mwanzo mpya ❤ na Baraka zote zi juu yangu, amani na upendo juu ya familia yangu pia❤ Amina

  • @giselamoshy8107
    @giselamoshy8107 9 місяців тому +3

    Ahsantee kwa Novena hii nzuri 🙏🙏Aminaa

    • @lucidtv95
      @lucidtv95  9 місяців тому +1

      🙏🏾🙏🏾

    • @olivajoseph1697
      @olivajoseph1697 9 місяців тому

      ​@@lucidtv95kwani hii naile nyingine kunatofauti gani

  • @shadakihwili4197
    @shadakihwili4197 5 місяців тому +4

    Mtakatifu rita naomba unifungulie milango ya baraka .nipate pesa leo niweze kulea wazazi yatima ba wajane amina

  • @jenethamlazi3140
    @jenethamlazi3140 Місяць тому +2

    Mt Rita niangazie nuru ya maisha yangu naona giza mbelw yangu. Naomba hagazia mahiraji ya moyo wangu.

    • @lucidtv95
      @lucidtv95  Місяць тому +1

      Amina🙏🏾🙏🏾

  • @Wilfred-wk9sf
    @Wilfred-wk9sf 17 днів тому

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @PatricalBeti
    @PatricalBeti 2 місяці тому

    Kupitia Maombi ya Mt Lita wa kasha Kila kilichoshindakana Kwangu na maradhi yatokanayo na roho mbaya za wanadam yatapata suruhisho nafunga na kuomba nikiwa na Imani ya kuishindabvita hii katika jina la Yesu kristo Amina ❤🙏

  • @Eva-f4n
    @Eva-f4n 2 місяці тому

    Amina saana hakika Lita ni mt mambo yalioshindika

  • @annavaleriani-e9z
    @annavaleriani-e9z 2 місяці тому

    Nina imani mtu Rita wa kashia ataenda kunitendea miugiza .... maombi yangu yatajibiwa... Amen 🙏🙏🙏🧎🧎🧎🧎🧎🧎

  • @LilianFelix-my1ew
    @LilianFelix-my1ew Місяць тому +1

    Kupitia novena ya mt.Rita washikia wa wamambo yalioshindikana,Naomba yawezekane yale yote ninayokuomba kils siku ameen.

    • @lucidtv95
      @lucidtv95  Місяць тому +1

      Amina🙏🏾🙏🏾

  • @Isabella-ql6dl
    @Isabella-ql6dl 2 місяці тому

    Mtakatifu Rita ninaamini kwa kuwa kwako Kuna ushindi katika mahitaji ya ndoa yangu e basi nimeaamini kwako 🙏

  • @Wilfred-wk9sf
    @Wilfred-wk9sf 17 днів тому

    Amen ❤❤❤❤❤❤❤

  • @BiteRehema
    @BiteRehema Місяць тому

    Amina

  • @mamyluhizo3173
    @mamyluhizo3173 3 дні тому

    Mt rita Naomba nifungue vifungo vyote niokoe kweny matatizo yote Okoa NDOA YANGU nipe ulinzi katika Maisha yangu na familia yangu

  • @TheresiaNgaa
    @TheresiaNgaa 2 місяці тому +1

    Mtakatifu Rita naomba unitimizie maombi yangu

  • @JosephJoseph-h1s
    @JosephJoseph-h1s 3 місяці тому +1

    We Mt .Lita wa kashia ww ni mtatifu wa mambo yaliyoshindikana naomba Sasa yakawezekana kwangu kwa kunifugua vifungo vyote vilivyofungwa ktika maisha yangu na manangu Mohamed umba nadhani yake roho mpya akubali kwennda kusoma kuliko kuuza nyama naamini inawezekana kwako.

  • @mwanahamisiswedi3093
    @mwanahamisiswedi3093 3 місяці тому +2

    Nauliza, hitaji kwa siku zote tatu liwe hilohilo moja au unaweza kusema kila siku hitaji lake?

  • @SabinaOhindi
    @SabinaOhindi 21 день тому

    Kwa mt Rita naomba unifungulie vifungo vyote vinavyo ginza katika famlia yangu

  • @shadakihwili4197
    @shadakihwili4197 5 місяців тому +1

    Mtakatifu rita wa kashia naomba uniponye sikio langu kuanzia sasa mm shada amina

  • @MarthaChris-m9p
    @MarthaChris-m9p 7 місяців тому +2

    Naamin ntajifungua salama kwa maombezi ya MT RITA wa KASHIA mtoto mwenye afya na mim nitabaki na afya yangu BWANA Tuhurumie kwa Novena hii 🙏🙏

    • @lucidtv95
      @lucidtv95  7 місяців тому +1

      Amina sana🙏🏾🙏🏾 Mungu akujalie hitaji la moyo wako.

    • @YustaSamweliyusta-g4b
      @YustaSamweliyusta-g4b 2 місяці тому

      Mt Rita uwaombee pia uniombee na mm ili Mungu ajibu maombi yangu amina

  • @LEWISONESMO-bk2ee
    @LEWISONESMO-bk2ee 5 місяців тому +1

    Mtakatifu Rita naumwa sana nipatie afya tena nizidi kueneza injili

  • @THEOBALDINAKILONGE
    @THEOBALDINAKILONGE 7 місяців тому +1

    Naimani kabisa naenda kuwa mshindi kwa maombi ya mama Mtakatifu Ritha wa Kashia

    • @lucidtv95
      @lucidtv95  7 місяців тому +1

      Amina🙏🏾🙏🏾

  • @floridachami9090
    @floridachami9090 6 місяців тому +1

    Rita wa kashia ana nguvu nyingi sana mm Kwa Imani namwamini sana

  • @JuliethMdee-fb5bk
    @JuliethMdee-fb5bk Місяць тому +2

    Ee mtakatifu rita muombezi wawenye shidq ilioshindikana kibinadam nakuomba Uniombee kwa yesu nimalize madeni yote na wanangu wafaulu miitihani yao yote kwakupitia maombezi yako ee rita nisaidie.

    • @lucidtv95
      @lucidtv95  Місяць тому +1

      Amina🙏🏾🙏🏾

  • @FrankMsuya-f3y
    @FrankMsuya-f3y 8 місяців тому +1

    Hii novena inanguvu sana

  • @revinicejoseph7380
    @revinicejoseph7380 7 місяців тому +1

    Kupitia maombez haya.kila kinaenda kubadilika katika maisha yangu

    • @lucidtv95
      @lucidtv95  7 місяців тому +1

      Amina🙏🏾🙏🏾

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 9 місяців тому +2

    Na Imani ntampata kazi ninayoitaka Kwa Rita kashia

  • @devothatemu7374
    @devothatemu7374 5 місяців тому +1

    Ewe mt Rita wa kalsha unipnye na.maumivu ya mishipa na utiwa mgongo amina

  • @betinamkongwe
    @betinamkongwe 7 місяців тому +2

    Ninaamini kupitia maombi ya mama wa keshia ninaomba roho ya madeni iniishe roho ya kukataliwana wanaume initoke naomba mwanangu apate kazi wa kiume naomba mwanangu wa kike aweze kufauru shuleni naomba nipate pesa za kulipa ada ya shule ya mtoto wangu na nipate hela ya kodi kwa urahisi Mungu nisaidie

    • @lucidtv95
      @lucidtv95  7 місяців тому +1

      Mungu ni mwema sana, na akutimizie maombi yako yote kwa maombezi ya mtumishi wake Mt. Rita wa Kashia. Amina. 🙏🏾

    • @NafulaKaita
      @NafulaKaita 3 місяці тому

      Thanks for this novena of st. Rita, I hope all my problems will be solved and I will be freed from them completely

  • @FurahaNdaki-ky4df
    @FurahaNdaki-ky4df 7 місяців тому +1

    Asante mama

    • @lucidtv95
      @lucidtv95  7 місяців тому +1

      🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @paulinabarungula382
    @paulinabarungula382 5 місяців тому +1

    Kipitia maombi haya napokea uponyaji, nalipwa mafeni, mtoto wangu,Gian na waridi wanafaulu mitihani yao,nakopokea kibali, hakima ,maarifa, Mume wangu analipa madeni, anapata na mtaji wake

  • @BeatriceKasogela
    @BeatriceKasogela 5 місяців тому +2

    Kwaombez ya mtakatifu Rita naomba ubariki familia yangu ,biashara angu ikapate kibali mbele zakoo nawaombe wagonjwa wote waliokata tamaa naamin utatendaaa

  • @WitnessNasetsi
    @WitnessNasetsi 5 місяців тому +1

    mtakatifu Rita naomba mlinde witness kwa mabaya yote mpe kibari Cha uongozi Bora naamini unatenda amina

  • @CocoKids-gu4vi
    @CocoKids-gu4vi 4 місяці тому +1

    Imelda

  • @shadakihwili4197
    @shadakihwili4197 5 місяців тому +1

    Mtakatifu rita naomba uwatunze watoto wangu uwalinde watoto wangu gladnes gliry na osmunda

  • @paulinabarungula382
    @paulinabarungula382 6 місяців тому +2

    Asante Mungu kwa kujibu maombi yangu

    • @lucidtv95
      @lucidtv95  6 місяців тому +1

      Amina🙏🏾🙏🏾

  • @MinzaBuzizi-i1w
    @MinzaBuzizi-i1w 6 місяців тому +2

    Mt Rita wa kashia wape upendo wazazi wangu katika familia yao

  • @revinakagumisa
    @revinakagumisa 5 місяців тому +1

    Ninaomba mwanangu Getruda emile laurenti kupitia maombi ya mtakatifu Rita anapoenda kufanya mtihani wake wa kidato Cha Sita wiki ijayo namwombea ufaulu mwema kupitia mtakatifu Rita akawe jibu ktk mitihani yake

  • @paulinabarungula382
    @paulinabarungula382 5 місяців тому +1

    Naomba mtoto wangu Gian afaulu mitihani yake yote apate A

  • @KwayaKatoliki-nk9ki
    @KwayaKatoliki-nk9ki 8 місяців тому +1

    Mt. Rita wa Kashia utuombee

  • @ziporakamalakamala5903
    @ziporakamalakamala5903 5 місяців тому +1

    Eee mt Rita kashia nisaidie kuniombea magumu niliyo nayo pia niwe muombaji mwema.

  • @Levis-lh1ri
    @Levis-lh1ri 3 місяці тому +1

    Mtakatifu Rita uniobee nipone,

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 6 місяців тому +1

    Mt Lita utuombee daima

  • @rozkiwale912
    @rozkiwale912 6 місяців тому +1

    Mt Rita nakuomba uwalinde watoto wangu ulinzi na kunyanyua uchumi wao.

  • @clarajunior2185
    @clarajunior2185 5 місяців тому +1

    Mt Rita utumbee

  • @MinzaBuzizi-i1w
    @MinzaBuzizi-i1w 6 місяців тому +1

    Kupitia maombi ya Mt Rita wa kaishiwa naomba nipate mchumba mwema mwenyew kumjua mungu

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 6 місяців тому +1

    Mtakatifu Lita namkabidhi mwanangu consolatha mikononi mwako kuazia sasa

  • @AlphonsinaSilayo-ff3pe
    @AlphonsinaSilayo-ff3pe 5 місяців тому +1

    Ee mtakatifu Rita wa kashia naomba unisaidie nimpate mume sahisahi

  • @elizabetharon6334
    @elizabetharon6334 22 дні тому

    Naomba mtu anipe maelekezo jinsi ya kusali hii sala kwa siku tatu kuanzia saa ngapi mpk saa ngapi

  • @agnesmwende9736
    @agnesmwende9736 2 місяці тому +1

    😢

  • @shadakihwili4197
    @shadakihwili4197 5 місяців тому +1

    Maombezi ya mtakatifu rita naomba umkomboe mwanangu glad umpe mchumba mwema muondolee watu wabaya amini

  • @DafrosaKilawe
    @DafrosaKilawe 3 місяці тому +1

    Naomba mwanangu Yuda aache pombe, amended kazi yake

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 6 місяців тому +2

    Wapendwa samahn hii sala inaendana na mfungo " kwaajil ya maombi? Na je kama mtu ananyonyesha inakuaje

    • @julianamasumbuko5956
      @julianamasumbuko5956 3 місяці тому

      Nikweli inaendana na mfungo? Mbona hawajibu tunaomba majibu wapendwa

  • @whitnesskessy-ej1vo
    @whitnesskessy-ej1vo 9 місяців тому +3

    Naimani ntafanikiwa kupitia maombi ya mtakatifu ritha wakashia

    • @lucidtv95
      @lucidtv95  9 місяців тому +2

      Amina🙏🏾🙏🏾

  • @janethbulemela5638
    @janethbulemela5638 5 місяців тому +1

    Whatsapp number ni ipi?

  • @BiteRehema
    @BiteRehema Місяць тому

    Amina

  • @devothatemu7374
    @devothatemu7374 5 місяців тому +1

    Ewe mt Rita wa kalsha unipnye na.maumivu ya mishipa na utiwa mgongo amina

  • @BiteRehema
    @BiteRehema Місяць тому

    Amina