Melody Mbassa - Bebe Extra 20 [ Music Video ]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 218

  • @kelvinyesaya3304
    @kelvinyesaya3304 3 роки тому +37

    Naombeni likes 1000..mbassa ni king 👑 👑

  • @MudySanch
    @MudySanch 10 місяців тому +2

    Ww noooma unajua

  • @mainakihurusia6380
    @mainakihurusia6380 Рік тому +5

    Rhumba moja noma Sana ❤❤❤❤

  • @bosypainterswathika3514
    @bosypainterswathika3514 3 роки тому +32

    Kama umekuja apa baada ya kusikiza radio maisha Kenya 🇰🇪🇰🇪 pita na like mkuu

  • @rashidimkunjila8096
    @rashidimkunjila8096 3 роки тому +9

    Kaka kwani kutrend shingapi🤳 nikununulie trending walau watu waone utamu wa muziki mzuri🇹🇿💓

  • @rosemajivuno
    @rosemajivuno 6 місяців тому +8

    nimekuja baada ya kuitafuta hii nyimbo for a very long time. then finally nakuona clouds fm. mwamba unajua sana. Please invest kwenye kujitangaza sana especially mitandaoni kama tiktok

    • @hanluckyhm
      @hanluckyhm 6 місяців тому +1

      Uko sahihi kabisa. Hata mimi niliisikia nyimbo siku nyingi, juzi nikamsikia clouds!

  • @bosypainterswathika3514
    @bosypainterswathika3514 3 роки тому +20

    Nikuja baada ya kukusikiza radio maisha Kenya 🇰🇪🇰🇪

    • @sammaragia2603
      @sammaragia2603 Рік тому

      😂😂na kwani radio maisha tu ndo inaplay hii song.. pia mi nimeskia huko😅😅

  • @emmanuelpius6387
    @emmanuelpius6387 6 місяців тому +8

    Ukitaka ufunguliwe dunia pita Clouds, sasa kwa mfano muziki mzuri kama huu nilikuwa siujui miaka yote hiyo

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 6 місяців тому +4

    hii wimb meisikia kitambo but leo ndo mejua kama umeimba leo baada ya kukusikia clouds

  • @jacksonvalence7365
    @jacksonvalence7365 6 місяців тому +4

    Kupitia leo tena ya clouds fm leo ndyo nimejua ngoma hii inaitwaje. Keep pushing brother muziki mzuri unaishi

  • @Abeneko
    @Abeneko 3 роки тому +4

    Ngoma kali Sana Mzee baba...kweli ni ulimwengu wa mavocal 🤣🤣🤣 Tisha Sana king

  • @godypurio4953
    @godypurio4953 6 місяців тому +2

    Sio masiara mjue hii ngoma nimeuliza shazam haipo wateja kibao wamefika ofisin nikawauliza mnamjua huyu wa kaniambia hatujui ila clouds daah bonge la ngoma broo ngoja ni kusaport kote

  • @lundasimon2946
    @lundasimon2946 3 роки тому +5

    Lol that dj on radio maisha brought me here. Nice jam🔥

  • @SwaleheAlly982
    @SwaleheAlly982 25 днів тому

    Binafsi clouds FM wamenifanya niusikie mziki mzuuur wa melody mbasaa respect Man

  • @anicetwababu1417
    @anicetwababu1417 2 роки тому +3

    Sauti ya mafuta big up brother

  • @AtupokleLusago
    @AtupokleLusago 7 місяців тому +2

    Unajua kuimba mwamba wanikumbusha mbali sana nkisikiliza hiisong.

  • @abrahamibrah213
    @abrahamibrah213 3 роки тому +4

    radio maisha imenifanya nicheki hii...

  • @stevelordmwanzia
    @stevelordmwanzia 2 місяці тому

    Kibao maridadi sana!!

  • @realzeflin6433
    @realzeflin6433 2 роки тому +6

    Wimbo huu unagusa mioyo yenye hisia na upendo wa kweli, nikiwa miungoni mwao🔥🔥♥️♥️

  • @nemestesha7784
    @nemestesha7784 29 днів тому +1

    nimekubali....

  • @MissFave
    @MissFave 3 роки тому +25

    Radio Maisha made me know this wonderful talent and bro keep doing you cause this is amazing 😍🔥💯

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 4 місяці тому

    Huu wimbo ilibidi niurecord kwenye radio Maisha. Leo nimepata nashukuru. @MelodyMbassa

  • @CarineMjema
    @CarineMjema 3 місяці тому

    Mm itv imenileta hapa....aah🔥🔥🙌🙌❤️

  • @ApipaTV
    @ApipaTV 2 роки тому +3

    cloudz fm kipindi cha jahazi wamefanya nimelijua hili goma
    kweli media zina nguvu ku-push kazi za wasanii

  • @jermainetembajtk4908
    @jermainetembajtk4908 2 роки тому +6

    I love. Radio maisha made me to know this lovely song. Great talent

  • @kevinkigen5037
    @kevinkigen5037 3 роки тому +8

    Radio maisha made fall in love with the best song

  • @alisenmajja9638
    @alisenmajja9638 2 роки тому +13

    I'm speechless, I can't stop listening to his music. Melody Mbassa I salute you. God bless you brother

  • @HAMYDKAZY-q1w
    @HAMYDKAZY-q1w 3 місяці тому +1

    Bonge la nyimbo nina miaka nayo ming sana haijawai kuchuja kwenye sikio langu

  • @samuelmkombola2225
    @samuelmkombola2225 Рік тому +2

    Praise God!

  • @kazimilykulwa2516
    @kazimilykulwa2516 3 роки тому +3

    Aiseee melody mbasa unajua ila Basi tu kwakuwa mziki wetu umeshakuwa na makando makando mengi🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @peterkasembe7042
    @peterkasembe7042 3 роки тому +2

    We jamaa unajua

  • @danielwaynebiwwot4610
    @danielwaynebiwwot4610 3 роки тому +8

    Radio Maisha Nyosh Gathoo n Dj Darius have made me listen to this amazing piece of work purely african touch

  • @dantaman
    @dantaman 4 місяці тому

    nimekuja hapa baada ya kuuskiliza huu wimbo jana kwenye kipindi cha mjue zaidi cha ITV dah broh umejua kuutendea haki huu wimbo you made it trust me😊

  • @brianchazima7076
    @brianchazima7076 3 роки тому +14

    Came here after listening it on radio🥰🥰

  • @rashidimkunjila8096
    @rashidimkunjila8096 3 роки тому +2

    Duu kweli kiki zitaongea mziki utaskika yaan hii nyimbo ya kukaa hivi kweli

  • @presentergeofrey9510
    @presentergeofrey9510 3 роки тому +3

    🔥🔥🔥🔥 Audio ipo Kichwani kama Definition ya Matter 😃😃😃😃😃🙌🙌🙌🙌

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 3 роки тому +4

    Hii nyimbo ni kali sana shida ipo kwenye promotion na management yako nadhani haipo smart

  • @nemestesha7784
    @nemestesha7784 19 днів тому

    Dah...!!❤❤

  • @rashidimkunjila8096
    @rashidimkunjila8096 3 роки тому +7

    Yaani naipenda nyimbo kuliko nchi yangu🇹🇿💓

    • @binmgeni4664
      @binmgeni4664 3 роки тому +3

      🤣🤣🤣 Yaani huyu jamaa anavitu adimu sana. Hiki kitu ndio nimekijua leo, nimepitwa sana.

  • @nature.forlife
    @nature.forlife 3 роки тому

    Ngoma ni kali bro kubitia radio maisha nili zikiz kwa mara ya kwanza

  • @bennyngoye8707
    @bennyngoye8707 2 роки тому +10

    I never realized this talent before,nimepitia nyimbo zako zote,naumia nimechelewa sana kuzikiriza mziki mzuri kama huu,uko wap bro natamani kusikia nyimbo yako mpya aisee, lovly melody nice songs ever,ur the best mbassa

  • @victormbassa5611
    @victormbassa5611 3 роки тому +5

    Atarii nouma sana 🔥🔥🔥

  • @amosethantheking8815
    @amosethantheking8815 3 роки тому +2

    Unaweza sana, nakutag kwa babulale na diamond plutnumz. Wewe ni biashara asee!🔥🔥

  • @priscacharles313
    @priscacharles313 2 роки тому +12

    🔥🔥 this song gives me goosebumps 🥰🥰🥰.
    Shikamoo Melody Mbassa

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 2 роки тому

    Melody Melody Melody yaan daah unahitaji kupewa heshima yako Bongo hii👐🔥🔥 Mziki unaufanya tangu utotoni ni heshima sanaa

  • @martinmendrad3531
    @martinmendrad3531 2 роки тому +1

    Daah hii ngoma, sijajua why ilipitaga tu watu hawakuizingatia, Good Music keep it up bro never give up!!!!!

  • @dominicusmakukula4937
    @dominicusmakukula4937 3 роки тому +5

    Utunzi mzuri mno Mbassa, kazi kubwa na nzuri sana...

  • @morokidsimba3752
    @morokidsimba3752 3 роки тому +2

    Mavokale Planet

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 Рік тому +2

    One day you will be in gospel music and saving God brother mbassa

  • @rachelshakezanga2050
    @rachelshakezanga2050 Рік тому +2

    Masha Allah, am in love with this song,, wow, congrats Mr ❤❤

  • @kulukusantutv3541
    @kulukusantutv3541 Рік тому

    Ongera saana mon frère, Mungu aku zogeze mbele saana

  • @florahnjamakuya2409
    @florahnjamakuya2409 2 роки тому +1

    Jamani huu wimbo naupenda Sana ... Nimeshaangalia Zaid ya Mara 50

  • @tonnymkoya8790
    @tonnymkoya8790 2 роки тому +2

    I love this song but I did not know the title till today

  • @hapynesrafael2171
    @hapynesrafael2171 2 роки тому

    Kahama @mtekoukosawa kaka unaimba vizurisna

  • @Ellymodel_38
    @Ellymodel_38 3 роки тому +1

    Sanaa

  • @husseinrajabumohamed6462
    @husseinrajabumohamed6462 2 роки тому

    Danger petit nangai

  • @memsikaasha2422
    @memsikaasha2422 3 роки тому +14

    this song is a banger it pulls strings inside 😥😍😍

  • @emmanuelmarshell7415
    @emmanuelmarshell7415 3 роки тому +2

    Talanta ipo jamani
    Lyrics are well thought of.

  • @oyibomyman8266
    @oyibomyman8266 3 роки тому +6

    Hit lit up G 🔥🔥💯💪👊

  • @ramsojimmykelly3379
    @ramsojimmykelly3379 2 роки тому +2

    Nimeirudia kama ×50 hivi, keep gud work bro you're amazing... 👏👏

  • @tajobin321
    @tajobin321 9 місяців тому +1

    Nakubali Mzee ❤

  • @nuelmikes
    @nuelmikes Рік тому

    That this piece of genius work came out 2 years ago and I’ve never heard it is an unforgivable crime.

  • @esa_traveller
    @esa_traveller 6 місяців тому

    2024 Niko na wewe Kaka, Much love Familia ❤

  • @gibrilmongi5646
    @gibrilmongi5646 3 роки тому +6

    why this talent has so few viewers & subscribers

  • @albertogauto3834
    @albertogauto3834 4 місяці тому +1

    BDA EXTRA de BDA

  • @reubenmbai
    @reubenmbai 2 місяці тому

    Right here after listening to this hot banger at #MamboMseto @RadioCitizenFM 🇰🇪🇰🇪

  • @agnesmgina4469
    @agnesmgina4469 3 роки тому +3

    See this talent🥰🥰🥰🙌

  • @annaaudax
    @annaaudax Рік тому +1

    This soooong. Uuuuwiihh. Speechless

  • @nyoelomwita448
    @nyoelomwita448 3 роки тому +5

    The vocals..!!! Unique vocals indeed, number one fan of you

  • @hezronmbaruku8089
    @hezronmbaruku8089 2 роки тому

    Nakukubali sn mbasa

  • @timothyngassa8478
    @timothyngassa8478 3 роки тому

    Mavokale ni mmoja tuuuu

  • @akibahshabani9589
    @akibahshabani9589 3 роки тому

    Nakuonaa clous

  • @simonkabala2063
    @simonkabala2063 Рік тому +1

    Jana napita stationery Niko na mpenzi wangu nikawa naskia hii ngoma ikiiimba jamani nimeipenda bure what a music❤🤔🍇💪

  • @kassiga
    @kassiga 3 роки тому +5

    Muziki mzuri zaidi ya uzuri wenyewe.

  • @nemestesha7784
    @nemestesha7784 29 днів тому

    hii ngoma ianzishiwe promo ya radio na tv air time upyaaa....ni balaa zito hili,,,,haijatendewa haki kwa upande wa airtime

  • @trizahmusyoka8430
    @trizahmusyoka8430 3 роки тому +8

    Billy na Mbaruk made me run here and am in love with the song 😊

  • @agnesinjiku8065
    @agnesinjiku8065 2 роки тому

    Unanikomesha na nyimbo zako asee😔 ur so talented Mbassa😍noma sana

  • @MoyiSanJose-eg1nr
    @MoyiSanJose-eg1nr 10 місяців тому

    Melody is a true singer, more love bro.

  • @sylviaaringo1630
    @sylviaaringo1630 3 роки тому +9

    Cant stop playing this music over and over again.....its so sweet ....Good job

  • @M7-Band
    @M7-Band 2 роки тому

    Nouma sana

  • @remidharunamzumya1750
    @remidharunamzumya1750 2 роки тому

    Duuuuh moto sana 👊👊👊👊

  • @plaudmedia
    @plaudmedia 3 роки тому +7

    Mbassa the melody . fire of vocals

  • @richardsteven5020
    @richardsteven5020 Рік тому

    HII iko sehemu ya juu MOTO SANA HII🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nyasaniofficial
    @nyasaniofficial 2 роки тому

    Cha ajabu media hazioni kipaji hiki🤔 mbassa wewe ni moto🔥🔥

  • @LucyWanjiru10
    @LucyWanjiru10 2 роки тому +4

    This hits different 🔥

  • @samwelyremy4103
    @samwelyremy4103 2 роки тому +3

    Yaan bro unaweza na kuweza tena..keep it up 💯💯💕🥂💪🏆🏆🇹🇿
    Narendemka2 na wimbo huu haki “u made it

  • @dausonsamizi1800
    @dausonsamizi1800 8 місяців тому +1

    Nyimbo nzuri sana lkn media haikutaj jina hasa clouds tunapata shida kukupata UA-cam

  • @danieldastan1776
    @danieldastan1776 Рік тому +1

    Fanya kolabo na Alikiba

  • @yohanawilliam2223
    @yohanawilliam2223 3 роки тому +10

    Underrated legends.....@Melody Mbassa you are next level bro... nakufatlia clouds at de moment... lit🔥🔥🔥

  • @emmanuelndizeye2132
    @emmanuelndizeye2132 3 роки тому +7

    Just in love with this chorus..it's my phone ringtone

  • @dominicmremi5730
    @dominicmremi5730 6 місяців тому

    Fast date hi nyimbo ilipigwa

  • @kefamtesigwa4005
    @kefamtesigwa4005 3 роки тому +3

    An hii imekua kama ngoma yangu pendwa daaah bro kwel upo talented mpaka so kawaida

    • @lucykimario3505
      @lucykimario3505 2 роки тому

      Hi nyimbo ni nyimbo yenye maudhui chanya kwa wapenzi ambao wana mapenzi ya ukweli ..keep it up Bro.... Melody massacre

  • @raymondnyamwihula7384
    @raymondnyamwihula7384 3 роки тому +2

    naam, mambo ya mavokale

  • @msgonline6253
    @msgonline6253 2 роки тому +2

    nothing but 🔥🔥🔥

  • @andrewgoodluck2238
    @andrewgoodluck2238 2 роки тому

    Kumbe ngoma ni ya muda aiseee, bonge la joint

  • @godfreyjosephbakeri1023
    @godfreyjosephbakeri1023 2 роки тому

    Aisee bro sichoki kuisikiliza hii ngoma ni ujumbe mzuri hakika

  • @margrethkimei6405
    @margrethkimei6405 10 місяців тому

    Nice song

  • @officialalphalebbi3445
    @officialalphalebbi3445 3 роки тому +1

    Unajua music aiseeee

  • @asiaasia1069
    @asiaasia1069 Рік тому

    Namkubar sana alisimama kwenye show yetu ya toto party 2002 nikiwa na miaka mi 4