🔴LIVE: KIBU AINGIA MITINI UONGOZI WAHAHA KUMSAKA/ YANGA WAFUNGUKA KESI YAO ILIPOFIKIA (SPORTS ARENA)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @vuaikhamis7146
    @vuaikhamis7146 Місяць тому +5

    Vuai Khamis Znz
    Wasaf Nakupeni maua yenu . Uchambuzi umeshiba. Nassir Khalfani hongera

  • @salymkingungo5229
    @salymkingungo5229 Місяць тому +6

    huyu Nasir Khalfan kanyooka sanaaaa

  • @poncegk5263
    @poncegk5263 Місяць тому +1

    Nasir hongera sana...umenyooka

  • @vuaikhamis7146
    @vuaikhamis7146 Місяць тому +8

    Nassir nakuami sana. Maneno yako yamenyooka sawa sawa

  • @wang_youmuhoza6643
    @wang_youmuhoza6643 Місяць тому +1

    Nasri you become top top mchambuzi kweli

  • @AnoldiMachinda
    @AnoldiMachinda Місяць тому +5

    Kibu kibu kibu 😅 jamani tumpe kibu maua yake🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂

  • @mwashamleo9996
    @mwashamleo9996 Місяць тому +2

    Hahahaha nacheka mie yupo kwa mganga huyo anapata ujuz kwa mganga iokes😂😂😂😂

  • @HappinessRumisha
    @HappinessRumisha Місяць тому +2

    Watangazaji mbona mnaongelea issue ya kibu mkandaji tu.
    B.Pakome Wa Yanga mbona mmekaa kimiya

    • @vaxminja9053
      @vaxminja9053 Місяць тому

      Kwani wewe unawafundisha cha kuongea?

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Місяць тому

      Pacome hakuripoti kambini? 😂😂 Au hakuna mchezaji aliewahi kuondoka kwenda kwao

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 Місяць тому

    Simba wapo busy na magoma tu kibu aah

  • @TittoAmiry
    @TittoAmiry Місяць тому

    Nisomeki kamaa ElikiKibu kaisakimbia kambi

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 Місяць тому

    Kibu hajapewa pesa za usajili

  • @medson2376
    @medson2376 Місяць тому

    Kwan kibu pindi ameanzisha zogo walimpatia malupulupu yake yawezekana mchezaji haitaji kuendelea na timu ndomaana anayafanya haya

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 Місяць тому

    HAYO YA KIBU SIJAIONA HIYO STYLE HAPA EUROPA. KAMA ANA CONTRACT NI KOSA KUBWA. ANA ANGUSHA MAENDEELEO YAKE BINAFSI.

  • @YunusJuma-m8c
    @YunusJuma-m8c Місяць тому

    Huyo kibu kama hatak nayeye aondoke t

  • @DogImma-u1x
    @DogImma-u1x Місяць тому

    Kibu ni yang kitenge

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 Місяць тому

    Msije mkajisahaulisha Kuna Lile bango litawekwa pale msimbazi....

  • @alfayo6
    @alfayo6 Місяць тому

    SWALI LANGU KWENU STUDIO HAPO:
    Kipindi hiki cha Michezo kinaanza saa ngapi,, Najua ni saa 8:30Am Kwan nn kipindi hiki kinachelewa kuanza nje ya muda ambao umepangwa, hamuoni kwamba mnatunyima fursa ya kujua vitu vingi kwa kuchelewa kuanza kipindi.

  • @saimonmwakapala741
    @saimonmwakapala741 Місяць тому

    KIBU D UKO WAP

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 Місяць тому

    Hapo ndio mtaacha kutukana mamba kabla ya kuvuka mto.
    Simba walimsajiri Kibu haraka haraka kwa presha za kusikia kwamba anatakiwa Yanga

  • @anthonfungo4276
    @anthonfungo4276 Місяць тому

    Vipi kama na mzigo wa msim ulio pita hajalipwa atakuwaje na Imani na mzigo wa sasa kama atalipwa wote? Akilipwa nusu nusu atalipwa kweli?

  • @anolddavid2585
    @anolddavid2585 Місяць тому

    ii ya kibu kitaalam inaitwa demand ya kibu imezidi supply😂

  • @mwashamleo9996
    @mwashamleo9996 Місяць тому

    Kibu anaihenyesha Simba coz kashawaonesha yeye i zaid yao

  • @Benjathekingofficialtv
    @Benjathekingofficialtv Місяць тому

    Huyu Anwar hajui mpira

  • @kahamashinyanga
    @kahamashinyanga Місяць тому

    Kibu yupo kwa mganga anafukizwa

  • @mwashamleo9996
    @mwashamleo9996 Місяць тому

    Kibu upo wapi sajil ngumu imepotelea wapi?

  • @user-mg1yl2rl8s
    @user-mg1yl2rl8s Місяць тому

    Wakati utopolo wa mo dewji wako bega kwa bega na mzee magoma, Sie tuko na kibu hadi alipwe hela yake...inaitwa karma😅😅😅😅

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 Місяць тому

    😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @BurhaniSaidi
    @BurhaniSaidi Місяць тому

    Amefunga goli moja msimu mzm na matatizo ndio hayo je angefunga goli 10 nahisi wakina mangungu wangepigwa makofi

  • @kakozikbonga569
    @kakozikbonga569 Місяць тому

    Clabu inamadeni nyingi kwa mchezaji mnaye muhongelea