Tukiwasalimia tuwakikishe tumeiject shindano na dawa vinzuri .thank you kakasungura for your gd programs and advices for free be blessed all media Kenya and be protected by the blood of Jesus Christ always keep it up don't give up
Kenyans should greet the owner of Nairobi west hospital.The man ametuzoea. .He stole NHIF and SHE All Kenyan money he stole and put in Hearst.He is in evry scandle
Mwananchi is the Boss -- Yes, yeye ndiye employer. CSs, Executive, Judiciary, Legislators and other Civil Servants, are Employees. Kaka -- that was timely, awareness creation.
Kwa hivyo hao viumbe funny hawakukunywa hiyo tumaji walikua wamewekelea kwa meza? 😂😂😂 Ni kama ile siku Gen Zs waliamua wambunge hawatakula Lunch kwa bunge. Hongera Wakenya wazalendo.
tureject mbona wanalazimisha vitu, kuna vitu wanafanya kinyume nyume hii serikali, ona sasa bill ya Sabina ya kulipisha mama mboga 10k ndio auze mboga, bila hio fine ya mamilioni au jela miaka 😢, Mungu aturehemu
Mr Ruto Gachagua, and kenya kwanza,
Must go, tumechoka
Ruto, gachagua and Kenya kwanza must go
Do you mean Ruto also wants Kenya to be a company for two tribes?!
Hii kaka ume tupa Good news let’s go on praying wacth and pray 🙏
Walai dia Kenyans tuanguke nayo kama mbaya mbaya.
The kenya we want
I like your presentation, just smiling as I listen 😊
Tukiwasalimia tuwakikishe tumeiject shindano na dawa vinzuri .thank you kakasungura for your gd programs and advices for free be blessed all media Kenya and be protected by the blood of Jesus Christ always keep it up don't give up
Kaka uko wapi sikuoni
Ama ulihama kenya.
I like seeing you as you express the points.
namuona vizuri anajishika hapo akisema eeeeeh
Niko tuu
We want NHIF back...not fishy Adani SHIF scam
I love being a kenyan.....kudos
This made my day 😂😂😂. Kenyans are cut from a different cloth. Kudos
I said genziis are everywhere,in the forces,safaricom,banks,ushago,jela,church,university to mention but a few...continue kama uongo ya,,,,,,.....
Talk and act mr.kaka.
Mr. Speaker sir, we are here to address you 😂😂❤
Na tutalala huku
Na hatutoki 😂😂@@Massy-g9c
We need a clean swamp
Kenyans should greet the owner of Nairobi west hospital.The man ametuzoea. .He stole NHIF and SHE All Kenyan money he stole and put in Hearst.He is in evry scandle
ASALIMIWEEEE😂 NA MIKONO MIWILI😂😂😂😂😂
It could be true COVID affected many people. That's why Ichungwas, Waigurus, Wamumbis and their wives have exhibited behaviours of concern!
WAH😆😆😆 NA WASALIMIWEEE 🤣🤣🤣 NA MIKONO MIWILIII👋🏼👋🏼👍🏼.... 😂😂😂WOLOLO YAYEEE😆😆😆
Mbona notification ya yutube inakuja after 10hrs of posting🤔🤔napata habari very late
Good job 👏👏👏👏👏👏
Mwananchi is the Boss -- Yes, yeye ndiye employer. CSs, Executive, Judiciary, Legislators and other Civil Servants, are Employees.
Kaka -- that was timely, awareness creation.
We like your laughter behind the curtain.
Usiseme hivyo Kaka. Me since that injection, am not myself.😂😂😂😂
Wasijaribu mambo ya online coz watu wamesoma huku nje...they will not believe it. Tuko na wao vibaya sana.
Wonderful😂
Kwa hivyo hao viumbe funny hawakukunywa hiyo tumaji walikua wamewekelea kwa meza? 😂😂😂 Ni kama ile siku Gen Zs waliamua wambunge hawatakula Lunch kwa bunge. Hongera Wakenya wazalendo.
Not at all wa Banana, things were elephant.
@@MwangiMuhammad-q8r Ùrì okuo wega mwana witù?
@@janetwangechi6955 biu maa my sister
@@janetwangechi6955hello my. Dear sis
Viumbe funny!
Bravo .
.Reject.shindwe!
Kaka unacheka na mimi naanguka na kicheko. GenZs listed remaining in NHIF as the number one demand.
Hii style ya ku inject online ndiyo inabamba sasa coz it includes all generations.hadi those who cannot go out to streets
Roger's ni kweli covid ama ni kurogwa dawa ni nini
🤣watapepetwa hadi tenure ikwishe because there was no public participation. Unity is strength.
😂😂😂😂😂
Kaka uzituchekelee, tumezalitiwa
Tuambie ukweli kaka. Kwani ulipatiwa onyo💁wewe unajificha
Twende nalo nalo thank computer technology
sisi wakenya tumechukua position ya ubinzanzani kama mbaya tunawasalamia
Hizi vitu za arap mashamba zote ni scandalous 😅
Yaani kuna watu bado wako na SHIF,, May God bless those liberators
Hii imenimbamba 😂😂😂😂
Sasa kusalimia daktari NI kitu ya kunyima genz
Sindano ya covid😂
Conveners be arrested for contempt!
So whaat
tureject mbona wanalazimisha vitu, kuna vitu wanafanya kinyume nyume hii serikali, ona sasa bill ya Sabina ya kulipisha mama mboga 10k ndio auze mboga, bila hio fine ya mamilioni au jela miaka 😢, Mungu aturehemu
Kenyans have woken up hawataki unjinga. Kwani Kenya imekuwa Ruto's personal property????
😂😂😂😂 nice one
Yaani chanjo!😂😂😂😂
hiyo sindano ilifanya nini?
Bwn Kaka?
😂😂, kaka kizungu nayo
Sasa unachekacheka nini ni ya maana umesema bure kabisa ongea some sense
Kakasungura😅 unanifanya nicheke tu!!!😊
It has been recorded on tiktok
😅😅😅
Kaka leta ile prophecy ya Lebanon mbona umetuachanisha hivyo, kwani tulikukosea tangu vile ulileta ya mafuriko,ilete ifungue watu macho please gaki
That was injection bro
😂😂😂😂😅
Shindano ya COVID!😂😂😂
🤣🤣🤣🤣, Kenya yetu 🙆
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂