Lulu is courageous, I like her expression, mama alikutetea kwa sababu hakuwa na jinsi hiyo ilikuwa ni uchungu wa uzazi kwa mwana ndiyo maana alisimama na wewe, any woman plays a big role in her society and when it comes to a family she is always the best.....she feeds her husband and all even when the husband has nothing she still adores him
Daah... Lulu kweli umepitia mengi na magumu lkn BDO upo strong hujakata tamaa... Na bado ukapata mama anaekupenda anaekua nawe kwenye mapito yote hayo hajawahi kukuacha... Zidisha kumpendaa mama, ni haki awe mwanamke WA shoka pia wewe ni mwanamke WA shoka
Mzazi ndio mwalimu wa mastar wote duniani pia wapo ambao wamezaliwa na zawaidi kama hizo kutoka kwa mungu ila mzazi ndio wakwanza kumuandaa huyu star wa kesho.
Ahsante kwa kuweka hizi videos online. inakuwa vizuri kuona emotions za wasanii na environment ya studio. Ila jamani tuna ugonjwa wa smart phone khaaa... kila saa watu wameinamia ma simu yao chaaa... Huyu nae mwenzio analia anambembeleza huku kainamia simu. tuache hizi mambo.
Shija hapo umenena mamaa, kaniudhi hicho kimwanamuke....ako studio na shuhuli hanaa na cheap phone yake badala amufariji mwenzie mjinga uyo mwanamke. Tabia kama hizo zikome. walikieka cha nini hicho kimama kwa studio. aende huko hajui afanyacho mshenzi.
I can feel her today 2017 baada ya kupewa miaka 2 jela Namshauri Lulu aweke historia yake kwa kuandika kitabu aelezee ukweli watu wamfahamu vizuri hususan wale wapo negative kwake na itakuwa ahueni kwake zaidi na huru
Daah... Lulu kweli umepitia mengi na magumu lkn BDO upo strong hujakata tamaa... Na bado ukapata mama anaekupenda anaekua nawe kwenye mapito yote hayo hajawahi kukuacha... Zidisha kumpendaa mama, ni haki awe mwanamke WA shoka pia wewe ni mwanamke WA shoka
umenitoa machozi lulu.
Mungu ni mwema, mtumainie mungu peke yake, wadamu tunejaa vimaneno
nakupenda sana lulu coz unajielewa..naujali nin watu wanasema kwajili ya uliyo pitia..mpende sana mam ndio guzo yako
Pole daa lulu mshukuru mungu na tuzidi kuwapenda mama zetu mama ni mama ataawe kilema jivunie kuwa naye 😢😢😢
Lulu is courageous, I like her expression, mama alikutetea kwa sababu hakuwa na jinsi hiyo ilikuwa ni uchungu wa uzazi kwa mwana ndiyo maana alisimama na wewe, any woman plays a big role in her society and when it comes to a family she is always the best.....she feeds her husband and all even when the husband has nothing she still adores him
nakupenda sana lulu (mwanamke wa shoka)
sorry mummy those are temptations made for people and is you,congraturation
Daah... Lulu kweli umepitia mengi na magumu lkn BDO upo strong hujakata tamaa... Na bado ukapata mama anaekupenda anaekua nawe kwenye mapito yote hayo hajawahi kukuacha... Zidisha kumpendaa mama, ni haki awe mwanamke WA shoka pia wewe ni mwanamke WA shoka
nakukubali sana dada yangu Dina Mungu akubariki
santen kwa kutuekea video maana as wengine tuko mbali. mwfurah kumuona lulu
Mzazi ndio mwalimu wa mastar wote duniani pia wapo ambao wamezaliwa na zawaidi kama hizo kutoka kwa mungu ila mzazi ndio wakwanza kumuandaa huyu star wa kesho.
Achen jmn uwong mm mbn sishind au iyo no kampen yn nimechez mpak lak tano
Good
yoooh huruma sana, hakuna kama mama katika dunia hii Lulu
mambo vipi Tanzania? karibuni huku ile love story inaendelea sehemu ya 3.....unaanzaje kukosa?
Vick miss wewe
dada wakitumbua jamani love you
hhahahaha😂 lululululuuuyy, weeww
pole lulu daaah hakuna Kama mama 😢😢😢😢😢 she made me cry
nakupenda sana lulu
Ahsante kwa kuweka hizi videos online. inakuwa vizuri kuona emotions za wasanii na environment ya studio. Ila jamani tuna ugonjwa wa smart phone khaaa... kila saa watu wameinamia ma simu yao chaaa... Huyu nae mwenzio analia anambembeleza huku kainamia simu. tuache hizi mambo.
Shija hapo umenena mamaa, kaniudhi hicho kimwanamuke....ako studio na shuhuli hanaa na cheap phone yake badala amufariji mwenzie mjinga uyo mwanamke. Tabia kama hizo zikome. walikieka cha nini hicho kimama kwa studio. aende huko hajui afanyacho mshenzi.
+shija msoga kweli amekera sana huyo wa pembeni kuchatichat na simu hovyooo ulimbukeni huo
+Daniella Nkere 😂😂😂😁😁😁 acha nichrke kwaza amekera kweli
*****
mwanamke bure kabisa....imeniuma kweli
Hahahahaaaa,mi hayo maneno hapo yaliyojitokeza kwenye tangazo sijui translator nimecheka hadi bas
Shine gal,no matter what you go through in life.God loves you
lulu she's young but i really like her way of thinking and reasoning.
wah...lulu made me cry😭😭😭😭
umeniliza jamanii
hakuna kama mama
When you are a famous person.. Your reputation is something you should be concious of!! That is one thing our celebs are unaware of
umeniliza lulu. bt khaaa we na wema miaka yenu kla cku inarud nyuma badala ya kwenda mbele😀😀😀😀
Tina Lekashu lol
chozi limenitoka kweli mama ni kila kitu duniani love mamy wangu
lulu umependeza kweli
Tv yenu inapatikana wapi na friquency ipi
lulu its woooow
Jmn mm mbn si shind naomben ata nusu asala nimeshilik sn
Nilitegemea Lulu atapatiwa Tissue peper yakufutia machozi,
Tapeli,muongo,mashauzi mengj sana.
duuuuu nakupenda lulu
Yaani si utu hata kidogo...
mwenzenu yualia na hata tissue hapewe....
wanawake tupendane..
Kapendeza
Lulu anajuwa kujieleza
Dokta Chen kamuowa😅
Ahaa nilitaja shangaa nilijuwa mama ana uondo wake ukimtunza utampata mama yake kumbe mema yake ya vuzur
Sisi nilikuwa naupendaga
asante Dina kwa kuturushia
I can feel her today 2017 baada ya kupewa miaka 2 jela
Namshauri Lulu aweke historia yake kwa kuandika kitabu aelezee ukweli watu wamfahamu vizuri hususan wale wapo negative kwake na itakuwa ahueni kwake zaidi na huru
You're so fun Dina kwa hiyo ukiachwa unamuombea mabaya mwenzio 😂😂
Nakubali sanaaa
Nimelia sana saaaana why lulu umenitoa chozi?? 😭😭😭😭😭
we noma dada uondo wako mkali
Vip
congo pacifical lwesso
U made me cry lulu😢😢😢
Soo nyc
Nimeliaa ....nani kama mama.
nice
Nimependa hii Lulu kila siku miaka inarudi nyuma
Nice uhondo
asante sana lulu,hakuna kama mama
umenikumbusha mbali sana lulu love u so much my dear
Ww swebe chamaneno lol simba maneno mengi staki sharii
Simu simu simu!!!!!!
Lulu una akili sana ,sijui kama unalielewa hilo huwa napenda sna interviews zako.
Lulu umeniliza hadi mimi
she just made me cry. .....
mom is everything under the earth.
I'm crying too....
Sijui kwa nini napenda kuangalia hii interview na inanifanya nilie pia
Thank you soooo much Dina. lov yuuuuu
Sawa bhana!
lulu shupavu
uhondo by mhina
Nice
Lulu am your no one fun,nguo mtu apewe na nani? You buy everything.
she strong love 1000000000000000000 years
Nitaitafuta hiyo kanga
pole sana
mama ndio gumzo wa kl kitu
She made me cry
hello friends language what country
Nell D Moon Tanzania Swahili
H
lulu ametisha Dada dina
kwer uu uwondooo
mama ni mama
mimi nishalizwa ila nishazoea
Lulu jamani umenitoa machozi😢
mmmh pole Sana lulu
nani kma mama
my lulu 💪💪
Translator imepata tabu sana
napendangaa
Nomejikutanaaliaaa
Miaka 20 ? How old was she when she was dating Kanumba ?
Adinan,,,,,lo!una mambo,,,,,,,,,,,,,,but
Lulu's age inajisubtruct badala ya kujiadd.....
she was 17 yrs
wemasepetu karma I think she was 15
Adnan Kashogi dah its obvious she's lying I grew up seeing her on the game now am 20 how can she be at that age liar
Asante Dina
mitipo.ya.mele
kubana.misuko
nice interveww
Frozen
Frozensp
Thanx
mshy
zzhh
😐😇😮
I hate u for that haujaonesha heshima mtu akikusemesha u have to be attentive
Miaka 20🙄
Angalia vizur interview ya miaka mi5 iliyopita
Lulu uko interview and uko bize na simu yako hauoneshi ushirikiano as if unwere forced so boring get off there