ELIMU YA MBUZI, NG'OMBE NA PUNDA, TALIRI.
Вставка
- Опубліковано 19 січ 2025
- Wataalamu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) wakielezea teknolojia bora za mbuzi, ng'ombe na punda kwa wadau waliotembelea banda la taasisi hiyo katika Maonesho ya Nanenane Viwanja vya Nzuguni.