#Tanga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • #Tanga #Tanzania #chetunichetu

КОМЕНТАРІ • 39

  • @aishaasumany561
    @aishaasumany561 3 роки тому +4

    Mungu atatufanyia wepes lnshaallah

  • @said306nyatu9
    @said306nyatu9 4 роки тому +22

    Watanga. Tujuane kwa like apa

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 3 роки тому +3

    Mashallah Tanga yetu alhamdulillah

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 роки тому +5

    Mtu kwao

  • @mohamedaminah3448
    @mohamedaminah3448 Рік тому

    MA.SHAA ALLAH!MON TATY SAIDA.,J'taime.

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 роки тому +3

    Sababu ya vijana wa kisasa kuwa hawaelewi kuhusu mambo ya uendeshaji wa familia ni kule watu wengi waneteleza na kuacha kufuata mafundisho ya Mtume. Hata kungwi wengi hawakusoma vyema Dini kwa kuwa walikuwa ni vijana juzi juzi sasa wameshaolewa wamjua maisha ya ndoa yanahitaji kuwa subira na pia maarifa ya utekelezaji wa majukumu ya kuboresha mambo ya ndoa. Wasichana wakifunzwa na kungwi je vijana wa kiume hufunzwa na nani? Ndio wengi hujifunza vijiweni ambako kila ajae ana yake.

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 4 місяці тому

    Naja huko jamani mieeee khaaaa

  • @imki8031
    @imki8031 3 роки тому +4

    Tanga laha najivuniya kuzaliwa tanga

    • @saidkale6465
      @saidkale6465 3 роки тому +4

      😂 wewe utoki Tanga???? Tanga wapi?? Hatusemi laha tunasema raha 🤣🤣

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 роки тому

    Huyu Dada yuko vizuri agombee nafasi ya juu 2025 iko wazi kwa ajili ya wanawake.

  • @mahmoodalsubhi1619
    @mahmoodalsubhi1619 3 роки тому +4

    Piga kelele mwana tang

    • @Maymuna-wc8lz
      @Maymuna-wc8lz Місяць тому

      Weeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 роки тому

    Mashallah mungu awabarik

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 3 роки тому +1

    Huyu Bibi Kama ana binti yake ambae hajaolewa Mimi namtaka naomba munipatie mawasiliano ya huyu mama ili niweze kuwasiliana nae

  • @wm9669
    @wm9669 3 роки тому

    Nice 👍🏼

  • @aishaasumany561
    @aishaasumany561 3 роки тому

    Viwanda vya tanga vimeuliwa na uongozi wa ccm mkapa na wenzake wamehusika kuuwa banadali na viwanda lkn mungu nimkubwa Atatufungulia njia tuuu

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 роки тому +1

    Wape wape ya Tanga kunani. Halogwi mtu alogeka mwenyewe. Oo wanawake wa Tanga wachawi kumbe wajiloga wenyewe kwa mahaba.

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому

    Bass haya

  • @jimmyjames793
    @jimmyjames793 2 роки тому

    hii ni kweli kwa ulimwengu wa sasa upate umeandaliwa maji dur hiyo maji labda ni ya kukufanya wewe uwe kuku

  • @abdullahalghafri3884
    @abdullahalghafri3884 3 роки тому

    Na Sisi mtutaftie hai watanga

  • @faizfuadshaefabdallah556
    @faizfuadshaefabdallah556 3 роки тому +1

    Muheshimwa naomba numbar yako

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому

    Tanga kuna kabila moja wanapenda kuoana wenyewe kwa wenyewe kikabila ukiyakanya kazi unayo ilo kabila silitaji wanajijua wenyewe

    • @BINTIwaKITANGA
      @BINTIwaKITANGA 2 роки тому

      🙄🙄🤔kazi unayo mbona 😆😆kusema useme wewee kisha kabila hulijui 😆😆

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому

    Baas haya