Hakika hakuna wakufananishwa na Mungu.. Anayotenda ni makuu na zaidi ya wote... Sifa zake zimrudie daima katika kiti chake cha enzii.... Barikiwa kwa wimbo mzuri
Amen 🙏🙌🙌🙌 hakuna kama Mungu ,,, nimebarikiwa kupitia nyimbo zako mtumishi wa Mungu ,,,may God lift you higher in Jesus name ,,,, i have a wonderful testimonies through your song ya uko wapi ee Mungu wangu ,,,,sina haya ya kumshudia kwa makuu ambayo alinitendea kupitia huo wimbo ,,,najua kuna mtu anaona amesahulika na Mungu ,,, mpendwa kupitia nyimbo unaweza barikiwa hadi ushangae ,, be blessed man of God ,, napenda sana nyimbo zako zina uwepo wa Mungu ndani mwake
Glory to God 🙏🙏 wacha Mungu ainuliwe naskiza nkiwa Saud ,Mungu alintia Kwa shimo juzi nlishikwa na police nkiwa uku nkapelekwa police station 5 tofauti,Kila station ilinkataaikisema niachiliwe Sina makosa ,badae nkapelekwa deportation Ili nirudishwe kwetu , deportation pia wakasema nipewe kazi pengine sina makosa niseme Nini mbele za Mungu,sai nko kazi nalipwa mshahara mara 3 zaidi ya Ile ya kwanza ,Ubarikiwe mtumishi 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏
I lack words to express on how I feel when I listen to this song..I find myself meditating the goodness of God in my life 😭😭😭😭🙏🙏this so is so powerful keep up man of God
God blessed and god bless you William yilima you and Stephen kasolo keep up guys and god bless you guys are really doing great job keep going love you guys for guys Because of you guys job I don’t have a anything to give you but god know how much I really love for the job you guys are doing ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤and god know how much in American we love you guys
This song have blessed my heart ❤️ today at the conference at Healing Center in Nzoia sugar in Bungoma County under Bishop Edward Fundi wacha tu Mungu akutende mema nyakati sote
surely what can i say, i just find myself crying when i listen to your songs,may GOD bless you and bless you sana.when i'm down i uplift myself with you songs,i keep telling myself HATA HILI LITAPITA TU.Watching from Kenya.
Barikiweni Sana wapendwa na wapenzi wa kazi hii ambayo Mungu ameiweka ndani yangu,nimeona moyo wenu na upendo wenu hakika Mbingu ziwatendee mema
amen
I started following your songs from the song uko wapo,they are a blessing to my daily live
Amen 🙏 pia nawe mungu azidi kukubariki sana Kwa kutubariki kupitia Kwa nyimbo zako
Amen, enable download please
Am blessed
Asanteni Sana wadau na wapenzi wa kazi zangu Mungu alizonipa,karibuni Sana
asante sana 🙏🇧🇮🇸🇦 Kaka wangu Mungu akubriki
Mtumishi wa Mungu bwana yesu asifiwe Mungu akubariki sana akuinuwe kwa viwango vya juu sana mimi napenda nyimbo zako
MUNGU azidi kukuinua zaidi na zaid barikiwa sana
🙏 🙏 🙏 nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi wa mungu
Mchungaji bwana yes u asifiwe
Mungu ni mwema kila wakati haki wema na fadhili na ziwe nasi kila siku za maisha yetu hapa chini ya jua
Huuu wimbo nimerudiaa zaidii ya mara 10 ivi ninavyoandika hii sms upo kuimbaa,, umulunguu mwizaa kaka yilimaa ubarikiwee.
Ameen kweli weww ni mungu hakuna kama wewe
Nice song hakika naona uwepo wa mungu Kwa nyumba zako
Hakika hakuna wakufananishwa na Mungu.. Anayotenda ni makuu na zaidi ya wote... Sifa zake zimrudie daima katika kiti chake cha enzii.... Barikiwa kwa wimbo mzuri
Amina sana
Barikiw san mtumish wa mung, god bless you
Amina amina
Kwa hakika hakuna kama wewe Mungu....pongezi Kwa kazi yako njema...Mungu akumbubariki Sana...
Barikiwa sana mtumishi, sifa apewe Mungu kweli hakuna jina jingine chini ya jua
HALELUJAH, moyo wangu hutulizika na nyimbo zako mtumishi,nabarikiwa kutoka nakuru kenya
Atukuzwe yehovah ,when I hear your songs najengeka moyo sana.mwenyezi azidi kukujalia mema
Nimekuwa kwenye mkao wa subira nikitarajia filamu hii.
Thanks a lot Mchungaji William Yilima and God bless you abundantly.
Amina. Sana rafiki yangu,Mungu nimwema hatimae ametuwezesha
Ooh Hiyo umeipata Sasa,barikiwa sana
Amen 🙏🙌🙌🙌 hakuna kama Mungu ,,, nimebarikiwa kupitia nyimbo zako mtumishi wa Mungu ,,,may God lift you higher in Jesus name ,,,, i have a wonderful testimonies through your song ya uko wapi ee Mungu wangu ,,,,sina haya ya kumshudia kwa makuu ambayo alinitendea kupitia huo wimbo ,,,najua kuna mtu anaona amesahulika na Mungu ,,, mpendwa kupitia nyimbo unaweza barikiwa hadi ushangae ,, be blessed man of God ,, napenda sana nyimbo zako zina uwepo wa Mungu ndani mwake
😭😭😭🙏🙏Jehovah wewe ni Mungu hakuna kama wewe.Jaribu lenye nimepita ni wewe umenivusha kwa mkono wako wa nguvu
Amén amén!
Amen hakika hakuna kama Mungu WETU jina lake litukuzwe daima 🙏🙏
Na Mungu na asikupungukie Kwa kila hatua na akutunze siku zote na akubebeshe maono mapya🙌🙌🙌
Amina amina,Asante sana
Amina sana
Aleluya kweli ww ni Mungu akuna kama wewe ubarkiwe sana🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akuzidishie neema ndugu nyinbo zako zanijenga.Nipo Mombasa Kenya
Hakuna kitu ninaweza sema ila Mungu akubariki sana mchunganji kwa huu wimbo umiguza sana
Hakuna na hatawai kua kama wewe mungu
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Kwa kazi nzr
Wimbo mzur saana kaka yirima mungu awabariki saana uzidi kuinuka
Mungu akubariki zaidi
Kweli wakufanana na Mungu katika jina la Yesu hakuna.
Ameeen!!!!! Ubarikiweeee saana mtumishi wa BWANA!!!!!! MUNGU azidi kukuinua Zaid na zaid
Upo vizuri kaka yangu,karibu kigoma
amina kakangu,uzidi kubarikiwa sana na bwana kwa huduma nzuri
Hakika Hakuna Kama Yeye Barikiwa Sana mtumishi wa mungu Sidi Kusonga Mbele Tena Kabarikiwa Nayo Sauti Be Blessed
Hakuna kama wewe Jehovah,, God bless you
Amina ubarikiwe Kwa kazi nzur mtumishi
Hallelujah, mungu azidi kukujaza na upako baba uzidi kufariji nakubariki mioyo. Songa Mbele baba...!!
Amina sana
Glory to God 🙏🙏 wacha Mungu ainuliwe naskiza nkiwa Saud ,Mungu alintia Kwa shimo juzi nlishikwa na police nkiwa uku nkapelekwa police station 5 tofauti,Kila station ilinkataaikisema niachiliwe Sina makosa ,badae nkapelekwa deportation Ili nirudishwe kwetu , deportation pia wakasema nipewe kazi pengine sina makosa niseme Nini mbele za Mungu,sai nko kazi nalipwa mshahara mara 3 zaidi ya Ile ya kwanza ,Ubarikiwe mtumishi 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏
Wow nice to God
Only God knows brother en sister.unayo tenda ya shangaza mungu
nabalikiwa saaana na nyimbo zako mungu akuinuine zaidi na zaidi
Ubarikiwe sanaaaa mtumishi wa Mungu aliye hai
Hallelujah powerful song MUNGU akubariki
MUNGU akubariki sanaaaa unafanya mambo makubwaaaa mnooooo hongera sana tunajisikia vyema
More grace alm blessed .slot aservant of God yillima nimepata nikisongezwa karibu na MUNGU God ads you wisdom
Tumefurai sana kwa wimbo huu mpya apa Bukavu, Mungu azidishe sana baba
Wimbo huu umebariki moyo wangu Sana mtumishi. We Ni was baraka sana
Amen amen and amen am blessed true this song 😢😢😢nice song mtumishi be blessed ❤❤❤
HAKIKA JEHOVAH NI MUNGU ANATAWALA MILELE YOTE UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA BWANA
Amina sana
Much love William mungu azidi kukubariki
Naupenda Sana huu wimbo unanibarki
Ongera saana Mtumishi wa Mungu wimbo mzuri saana Hakika nimeupenda saana tena saana
Ooh Asante Sana,atukuzwe Mungu wetu mkuu mgawa vipawa nakutuwezesha
I lack words to express on how I feel when I listen to this song..I find myself meditating the goodness of God in my life 😭😭😭😭🙏🙏this so is so powerful keep up man of God
Congrats nyimbo zako ilinifanya niimbe
Amen amén!
Amén amén!
Amén amén!
😭😭😭😭🙏🙏🙏
Amen 🙏 nimebarikiwa sana na huu wimbo
Sweet song my brother you really bless me with your song.Hakuna ka JEHOVAH waauuu.
Safi sana nafjika kwa wimbo mzuri na mungu awe pamoja nawe ktk kulitangaza neno la bwana
Hii nyimbo na Yesu Nitiye Nguvu zinakuwa nyimbo zangu za kupendwa sana wakati wote, na hata sielewi Kiswahili. Asante Willie kwa kazi zako.
God blessed and god bless you William yilima you and Stephen kasolo keep up guys and god bless you guys are really doing great job keep going love you guys for guys Because of you guys job I don’t have a anything to give you but god know how much I really love for the job you guys are doing ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤and god know how much in American we love you guys
Hakika hakuna mwingine kama yesu .Amen mungu azidi kukutumia ukirejesha nafusi zetu kwa mungu. Barikiwa sana ndungu yangu. Nimebarikiwa sana
Mungu akubariki ndugu ,unatuguza kwa nyimbo zako
Nyimbo zako hakika zafundisha zabariki zanifanya nihisi kuomba ninapo sikiza Bwana akubariki mtumishi sana🎉
Utukufu ni wako Mungu
Hakuna kama JEHOVA. NICE SANAA. NIMEUPENDA MNOO. UNANIFANYA NIZIDI KUKUA KI HUDUMA.
Mungu akuongozee na akutangulie William
Kweli hakuna kama Mungu, Ubarikiwe sana mtumishi, na neema yake Mungu iwe pamoja nawe
Nyimbo za upako mtumishi zidishiwa neema kutoka kwake Mungu,Amen
Wewe ni mungu mkuu ,u bless me william
Na wewe pia unatubariki sana mtumishi WA Mungu
Hallelujah hallelujah more Grace upon you man of God
Asante sana Kwa nyimbo zako nzuri n yenye upako🇰🇪
Asante sana pastor william Yilima kwa kaz njema tuna subir Naliona wingu video
May God give you life to contnue blessing other people just like am blessed its indeed a blessed song
Napenda unavyomuinua huyu Mungu,akubariki Na akuinue Zaidi uzudi kumtumikia
Hakika umebarikiwa kwa uimbaji Mungu azidi tu kukuinua na kukuzungushia ulinzi wake.
Ubarikiwe Sana mtumishi
Barikiwa sana kaka kwa kazi njema,,,,,unapatikanaje mtumishi? natamani kufanya kazi nawe.Amen
This song have blessed my heart ❤️ today at the conference at Healing Center in Nzoia sugar in Bungoma County under Bishop Edward Fundi wacha tu Mungu akutende mema nyakati sote
Mungu akubariki mpendwa tumebarikiwa Sana na nyimbo sako
Kwa kweli Jehova wewe ni Mungu, akuna kama wewe
Jehovah wewe ni mungu hakuna kama wewe mamlaka yote ni yako Asante mungu wangu
Baba yangu huyo🥰. Kabisa hakuna kama MUNGU daima atabaki kua MUNGU tu.🙏🏿🙏🏿
Powerful song and a blessing.B blsd as u bls God's pple
Barikiwa Sana baba mungu azidi Sana kukuinua zaidi 🙏
Amina sana
Sifa na utukufu zina wewe sasa ata milele,hallelujah such anice gospel 🙌 🙏
Hongera sana kamanda
Asante Sana
Piga kaz ya mung kamand
Akuna kama wewe nabarikiwa sana. Na wimbo wako amen
Wimbo mzuri na wenye sifa tele kwa Mungu my brother William may the almighty God bless you abundantly nakutakia kila kheri uendelee zaidi ya hapo
Asante Sana rafiki,barikiwa
Amina amina
Amina sana
Mtumishi ubarikiwe sana ujumbe wa Mungu
Que Dios te bendiga mi querido hermano me gusta trabajo
surely what can i say, i just find myself crying when i listen to your songs,may GOD bless you and bless you sana.when i'm down i uplift myself with you songs,i keep telling myself HATA HILI LITAPITA TU.Watching from Kenya.
I really appreciate your songs,, nakupenda Sana Kwa maana nyimbo zako unibariki sana
Huu wimbo unamtukuza Mungu sana.
Praise pastor unaninjenga kwa imani
Nice song Mr William yilima God bless you
Nimefurahi kwanyimbo nzuri.
Actually I am always blessed with your powerful songs, be blessed
Wowooo good song be bllsd MTUMISHI
Hongera kwa kufungua chaneri yako saaafi ubalikiwe
Jaman natamani kuokoka nimtumikie mungu jaman barikiwe Sana.
Glory to God...more anointing brother..
all glory to God,i feeĺ the presence of God thank u ĺord no one like u jesus
it was powerfull song my God carry you up up up never go down......in great name of Jesus...
Seriously you are the most gospels singer which your songs zinanibariki sana na Sana God bless you always and give you his spiritual life
Mungu akuongoze Zaid maana wimbo huu hunifanya nijinyenyekeze mbele zake
Waaaaao my lovely song from WILLIUM YIRIMA
Kazi njema sana kaka endelea na kazi njema
Asante sana ndgu yangu Bwana yesu akuongezee baraka
Akika unanibariki sana na nyimbo sako waja mungu akuweke kiwango kingine
Amen the man of God enyewe akuna kama mungu... love this song hallelujah ❤️ 🙏🏽🙏🏽.
Asante sana
Sifa na utukufu ni kwako Jehovah🙏🙏