RAIS SAMIA ALIPUKA - "WALINIJARIBU WAMEKOSEA, SITAACHA KUKOPA ETI KISA NAMCHEFUA MTU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @juliuskideula1535
    @juliuskideula1535 2 роки тому

    Upo imara Rais,Mama yetu,umeyafanya hayo kwa ajili ya Taifa,Asante sana.

  • @worldtv9049
    @worldtv9049 2 роки тому

    Nchi imejaa unafiki hii,Rest Easy Magufuli,maaana waliokuzunguka duuh.
    Dunia ngumu sana hii,.
    Meno yanaficha meng sana,
    Mtu anaweza kukuchekea usoni,meno yote wazi,kumnbe duuuh.njaa zake tu.
    We Must be ready to die for our country,ni nyumbani kwetu,kwa watoto wetu na watoto wa watoto wetu.

  • @adrianabellydancer5256
    @adrianabellydancer5256 2 роки тому +1

    Wa kwanza kukoment 🥺 pole mwanamke mwenzetu

  • @mehboobkarmali5211
    @mehboobkarmali5211 2 роки тому +1

    Well done madam president

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 2 роки тому

    Mama anajua kuchamba yaani, umenifurahisha leo. Kidogo kidogo, hana haraka, anakupasha unapashika. Kazi iendelee.

  • @adolfridamulokozi9610
    @adolfridamulokozi9610 2 роки тому

    Tuko nyuma yako mama! Hawajakuelewa! Wakati hupo mama watakiri kwa vinywa, ss tunakupmnra sana mama yetu wa mfano!🤗🤗🤗😍😍🤗🤗

  • @goodlackriwa6728
    @goodlackriwa6728 2 роки тому +1

    Mama Upends sana Na Jitihada zako zinaonekana na Zipo wazi .kwa asiyekuelewa hao ni Wapenda madaraka. Mama tunakuelewa sana .chapa kazi Raisi wetu

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya9648 2 роки тому +1

    Hekima kwa kiongozi Ni Jambo la maana Sana. Itamkumbusha Nini aseme akilini kabla ya kufungua kunywa kusema lolote wakati gani kwa sababu gani na kuwaza Nini msikilizaji atajisikia akilipokea neno hilo.Viongozi ombeni Sana hekima, Wapambe wenye njaa,waoga wa kukosa cheo na wasio na utulivu wa akili hawafai kumshauri kiongozi mkubwa.

  • @joycedominick4005
    @joycedominick4005 2 роки тому +2

    Mama umetukuta katika hali mbaya..piga kazi mama achana na wapiga kelele

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 2 роки тому

    Well said my president

  • @frankkakobin2281
    @frankkakobin2281 2 роки тому

    Mheshimiwa Speaker alipotoka na kupotosha umma. Mama tumekuelewa. Kazi iendelee.

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 2 роки тому +1

    Mikopo lazima kwa maendeleo mikakati lakini matatizo ya ndani tulipe kodi wenyewe na usimamizi wa pesa uwe mzuri. Mama piga kazi angalia mfumuko wa bei, vyakula na vifaa vya ujenzi bei mbaya sana. Mungu yu nawe

  • @allymadunda7931
    @allymadunda7931 2 роки тому

    Piga kazi achana na mifugaji,uelewa wao Mdogo sana kufikiri

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 2 роки тому

    Muachie mbowe mama, tuendelee kujenga nchi

  • @ayubnsajigwa1037
    @ayubnsajigwa1037 2 роки тому +2

    Mama anapiga kazi tulichelewa kumpata anasema ukweli , tulizoea kudanganywa na mtagulizi wake huwezi kuendelea bila kukopa au kuweka tozo.Tozo zina nafasi yake na pesa ikihitajika nyingi kukopa ni sawa

    • @sunnysalim879
      @sunnysalim879 2 роки тому

      yeye mwenyewe alikopa 29.5 Trillioni. Ukweli umeshajulikana

  • @mzungu2012
    @mzungu2012 2 роки тому

    BEI YA KARIBIA KILA BIDHAA IMEPANDA KASORO CHUMVI NA VIBERITI
    Sasa tunaelewa.
    Rais tulie naye ni wa namna gani.
    Na yupo hapo kwa manufaa ya kina nani.
    Na amezungukwa na watu wa namna gani.
    Na nafasi ya mwananchi wa kawaida kabisa ni ipi
    MALUMBANO NI NDUGAI, KWANINI KAMKOSEA MWENYEKITI HESHIMA ILA HAYA YA MSINGI WALA HAYAGUSWIIII

  • @emmanuelsagire9961
    @emmanuelsagire9961 2 роки тому

    Wanatozo ila zinafanya kaz

  • @bartholomewshirima712
    @bartholomewshirima712 2 роки тому

    Kwani huko kwenu tatizo ni urais ?

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 2 роки тому

    Hatutaki tozo mbona enzi za jpm tozo hazikuwepo alikuwa anatoa wapi hela unatuuumiza na mwigulu wako mpigaji

  • @rasurmasoud5762
    @rasurmasoud5762 2 роки тому

    Umeadaika kwamba wananchi wamekusapoti ,Ni kwa hao tu si tunajua mikopo ufilic nchi hasa za afrika coz wasimamizi wa mikopo hio kwa selikali yako siwaoni

  • @lameckgunze6376
    @lameckgunze6376 2 роки тому

    😂😂😂😂

  • @benjaminpaschal759
    @benjaminpaschal759 2 роки тому

    Ila tz tumelogwa

  • @ummumayllah8006
    @ummumayllah8006 2 роки тому

    Huku chini umetusahau tukumbuke 2025 si mbali

  • @magahzinyo7033
    @magahzinyo7033 2 роки тому

    Punguza mipasho...fanya kazi sio mafumbo

  • @rehemandam2366
    @rehemandam2366 2 роки тому

    Wakuu wasaidizi wa mama hakika mnadhalilisha taifa. Sisi kwa mama hatuambiwi kitu mama Tosha tena tena tosha jumla. Miaka mitano hakuna ajira, miaka mitano hakuna ongezeko la pesa,miaka mitano watu waliishi kwa hofu tu. Tangia mama kuingia mifuko ipo vizuri, ajira vijana wanapata, ayo mareli , ndege,n mengi tunayaona . Please utawala wa mama ni kutoka kwa mungu, hana majifuno, hana majisifu, anahofu na mungu na kutuongoza kwa hekima.