Halafu nasemaje ...huyu Jamaa wa mabiscuits jamani si amezikula Sana hizo biscuits 9:30.... afadhali alovyopewa kibuyu. .pumbavu zakeee😂😂😂😂😂😂 Bonora wa biscuits...mwalimu wa miereka katoka na ngeu...injinia kagawa ufundi...huo si ungwaana bali ni upuuzi
Kama unamkubali star anaekula biskut kila muda gonga like
Wa kula biskuti muda wote ananikera kinoma,,,, hiyo swaga cjaipenda
Nilikuwa naitafuta hii comment 😅😮
pia Mimi,anakera Sana
Kama ww wafurahishwa na mwalimu wa kukula biscuits 😂gonga like hapa 😂😂😂🎉🎉🎉
😂😂😂😂
sijafurahiswa
Hakuna mwanamke ninayempenda kama kim, kim Nakupenda sana tena sana I LOVE YOU ❤❤
Nimewapenda kwa kuwa hamucheleweshei asanteni
Jamni naomb jina la uhu wimbo wa chozi langu❤❤
Butua kwenye sector ya Mapenzi unajulia kweli kweli🎉
Bora butua kampiga kichwa mla biscuits 😂😂😂😂
Washiriki wapo vizuri
Wa sita kwenye cozi langu🎉🎉🎉🎉🎉
Wa kwanza mimi from congo🎉
Wakwanza From Burundi country naombeni mnipe likes mana zinanifaa
Huyu jamaa wa biskuti ni balaaaa kinoma wote tunakukubali ni ubunifu mzuri
Sipendi huyu kaka anavyotafuna tafuna Kila wakati abadilishe pozi anaboa
😂😂😂😂
Kwani anakutafuna wewe 😅😅
Kaka yupi😂
@@benjaminsospeter3524 ety yule anaekula biscuits
@@ukhtymwana40!⁰0000⁰0000⁰0⁰00⁰0
Napenda Hawa wakula bisikuti,
Sijaelewa sasa butu akuwayi kushiriki tendo landowa na kimu nani mke wake 🇧🇮
Butua 🤣 analia na mapenzi jameni
io furaha ya kuamka kutoka 😂kuzirai unakula biscuits
Jamani Leo mshauli wetu kayatimba 😂😂😢😢 maana so kwa ndo ile
😂😂😂ni fire
Love from drc uvira ❤♥️🙏
Ana ujumbe mzur xaan ila ma biscuits 😅
Kim kamnyima butua kola mamaeeh 😂😂😂😂😂😂😂😂
Wewe na mabiscuit ayo unakera umezidi khaaaa
Asantee sana Kwa mafunzo yenu timu kim 🌹🌹🔥🔥
KIM ..hongera sana .msalimie Wonder huyo dada nampenda uigizaji wake aisee yuko 👍🏼
Kazi nzuri pamoja sana
Wa pili Leo jamani naombeni like zenu
Huy jamaa na viswahili vyake anavyoleta kwa butwaa "udindii' hii imekaaje😅😅😅
Kazi nzuri sister Kim,Mungu akutunze na wahusika wote kwa ujumla.❤
Wakwanza like zangu ata zifike 100 zinatosha😂
Unaziuza ama .zikisha fika mia utapeleka wapi?😢
Hhhhh ananiletea mie uk hhhh
Hizo like unazo zitaka zikifika100 uniite paka
Haya myatueka muendelezo mpaka lini maana mnamiendelezo mingi nyie
Mbona hamuachili nyingine
Nimewahi Leo hata mm naziomba hizoo like❤❤
Mwalimu endelea sanaa wanipunga sanaa tu❤
Movie nzur inafundisha ,inaburudisha na kuhudhunisha.❤❤❤🎉
Kim we nae msaliti afu simpendi huyu jamaa anaekula bisukiti 😊
Aiseee weee kaka ni zaid ya madeb lidau
Umemuona eee🎉
Kim kayabananga kwa dadake😅
Jamani utam mwingi humu😮😮😮❤❤❤❤❤❤❤
😆😆😆😆butua una hormone za kikee😂😂😂😂
Mkula biscuit anajua kuongea kwa 😅😅😅😅kindani ile kakipata
Huyu mla biskut mlimtoa wap jaman
Wasema simpendi
Kim 😂😂mpumbavu alichiti
Yani gonora unzinduka tu na kukumbuka biscuits zilikua 2😂😂😂,khaa! Hongereni team kim
Hahahaha ahsant ❤❤
Ongeren san na wapenda san 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Kazi mzuli pacha
Mwalimu w mwereka 🤣🤣🏃🏃
Huyu wa biscuits alinunua box mzima maana kila mahali nikutafuna tuu mpka anakera 😅
Ako na gunia haswa😂
Namkubali sana mabiskuti😊
❤❤❤
Kazi moto kim❤❤❤
mkula biscuit anakera na mafunzo yake ya upusi.atolewe kwa muvi kabisa
Yaani apo Jonh umenifulahisa sana ..umefikiria jinzi uligongwa ukaseba polepole 😂 good work 🎉🎉🎉🎉🎉
Mbona Kim humu umekua mpole sana syo kama tunavo kuzowea
Wa misemo ya kale kayatimba nyawa😂😂😂😂😂
Muko fasta mashaa Allah tabaraka Allah bless you 🙏 🎉🎉🎉
Halafu nasemaje ...huyu Jamaa wa mabiscuits jamani si amezikula Sana hizo biscuits 9:30.... afadhali alovyopewa kibuyu. .pumbavu zakeee😂😂😂😂😂😂
Bonora wa biscuits...mwalimu wa miereka katoka na ngeu...injinia kagawa ufundi...huo si ungwaana bali ni upuuzi
Hiyo lugha hatuijui mla biscuit atutafisilie
Kazi nzuri❤
We dadake Kim mbona uolewi ww kama ni mazuri kuolewa na mtu usompenda. Naelewa kiatu cha Kim kinavyobana😢
Ndio tujifunze❤
Kazi nzuri kim❤❤❤❤
Kula kaa mie hapa
Hivi huy mlaji wa biskuti ananunuaga biskut za sh ngap ila ananiboha
Mulimua hamtoendeleza chozi
Nimecheka Kwa sauti jamani
🎉🎉🎉🎉😂😂kim kimekuramba
Nakukubali san Sandra
Nawakubali jamani
Wakwanza leo
Hongereni san
Kazi nizur sana
Wa saba Mimi naomba like zangu please 🙏
Kim penda wewe sana 😢 😢
mm naomba Kim uwe mpenzi wangu tu
Mnaomba like kwan znaliwa
Nawapenda sana nawakubali 🎉🎉🎉
Any team strong tuwakilishe hii movie 🎉❤❤
🎉🎉🎉
3:24
Inauma zaidi kumthamini na kupenda mtu kumbe hujapendwa....
Pole Butua....Kim hajakuwa riziki ..kisicho cha riziki hakiliki
Butuwa ukate madevu uchaf uo mwanmme😂😂
Kim nakukubali kazi nzuri sana
Mm napenda misamiati yake
Tim Kim tujuane jaman
🧭🤳 Nipeni like zangu jamani kutoka Msumbiji 🇲🇿 Mozambique
Asante kwa mafunzo🎉🎉🎉❤❤❤
Kazi nzuri bro mbwela
Naomba iyi nyimbo ya machozi plz
❤❤❤❤❤❤❤
Kim amepewa maneno mazito sana na dada ake
😢😢😢😢😢😢😢😢chugu sana
Mmmh mambo ni manzito😮😮
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mbwela urudi kutoka masomoni uje umuowe binty kipofu na subiri kwa hamu
kazi nzur xanah kim
Butua alikuwa mpenzi mtazamaji😂😂😂😂...
Wamwixho naombeni like
Wakwanza nipeniiii
MLA biskuti kauponza🫣🫣
Biskuti hizo kaka utaoza meno ungekua unakula epo au pela
Au njugu😅
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Uyo mwanaume wa biscuits anakera bhana🤮
😂😂😂😂❤❤❤❤❤