Melody ya huu wimbo ni kali sana na harmony yake ina mpangilio mzuri wa kupokezana unaoleta ladha fulani nzuri sauti zinapopishana. Niliwahibkuusikia miaka ya nyuma ukiwa umerekodiwa na kwaya moja dodoma siikumbuki. Sasa mmeimba kidigitaly zaid.Good job
Yehova alipowakusanya na kuwarudisha mateka wa Sayuni, Tulifikiri tunaota ndoto. Wakati huo kinywa chetu kilijaa kicheko Na ulimi wetu kelele za shangwe. Wakati huo ilisemwa miongoni mwa mataifa: “Yehova amewatendea mambo makuu
Asante sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi Mliotuletea Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
I really like the tune n the song itself... though I don't understand the language since am a Malawian but I really like... Happy Easter to everyone...
Bado nasikiliza nyimbo zenu! Mungu awabariki
Ni baadhi ya nyimbo zile nzuri zaidi ambazo kila mwana kwaya apaswa kujua kuziimba
Heshima na adhama ziko mbele zake!!!!🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻,nguvu na ukuu ziko katika patakatifu pake🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Tenges Tenges hua kinanda kinafanya unavyotaka mzee barikiwa sana mwamba
Melody ya huu wimbo ni kali sana na harmony yake ina mpangilio mzuri wa kupokezana unaoleta ladha fulani nzuri sauti zinapopishana. Niliwahibkuusikia miaka ya nyuma ukiwa umerekodiwa na kwaya moja dodoma siikumbuki. Sasa mmeimba kidigitaly zaid.Good job
Kazi nzuri
❤❤❤❤nawapenda sana
Great combination, God bless you.
Nasadiki kwa kanisa moja takatifu katoriki la mitume🙏
Huwa warombo nawakubali sana big up karibu nyumbani mpendwa wangu🙏
....Tangazeni wokovu wake siku kwa siku!
Safeeee sanaaa🔥
Salute kwenu hakika mnaimba vizuri Mungu abaliki kipaji chenu
Awesome, hongereni sana
Mwimbie bwana wimbo mpya mbarikiwe jamani
Heshima na adhama ziko mbele Zake!!
I can't say more, the special vocal tone, the orchestral, the beats, most importantly the superb voices arrangement.
Yehova alipowakusanya na kuwarudisha mateka wa Sayuni,
Tulifikiri tunaota ndoto.
Wakati huo kinywa chetu kilijaa kicheko
Na ulimi wetu kelele za shangwe.
Wakati huo ilisemwa miongoni mwa mataifa:
“Yehova amewatendea mambo makuu
Tenges utadhani alivyozaliwa tuu, akawekwa kwenye chumba chenye vinanda.! shughuli yake sio ya kawaida.. bravoo
Nice,tuni nzur,tumeiimba leo Kansan hongera kwa mtunzi,na waimbaji,,,Dominika njeema y Neno niwatakie
Nikimsikiliza huyu dada huwa ananipa sana raha naombeni namba zake nina shughuli yqngi ninampenda mno mwaaaaaa
🔥🔥🔥🔥
Wimbo mzuri sauti taam
Kumuimbia Mungu kunapendeza 😍
Hadui zako zako. Watakuja kunyenyekea mbele zako ili neno.linanifulaisha sana
Anastahili kuimbiwa wimbo mpya kila siku kweli
Asante sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi Mliotuletea Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Mwimbieni kwa zaburi,heshima na adhama ,astahili sifa bwana🧎🏾♀🧎🏾♀🧎🏾♀🧎🏾♀🧎🏾♀🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mungu awabariki kwa utume uliotukuka......
Mbarikiwe
Nice song .. Big up Tenges .. Kazi safi
Kazi safi pale❤
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu
I really like the tune n the song itself... though I don't understand the language since am a Malawian but I really like... Happy Easter to everyone...
Psalm 96: 1, 6
Naam!mwimbieni Wimbo mpya kwelii 🤗🥰
Wimbo mzuri Sana
Mubarikiwe watimishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Sifa na utukufu apewe Mungu
Heshima na adhama ziko mbele zake nguvu na uzuri ziko patakatifu pake
Good song ,heshima na adhama
Tenges tusaidie nota bana
Hongereni sana
Asanteni sana waheshimiwa kwa uinjilishaji uliotukuka. Soloist madam, hats off.
Can listen listen several times, God bless you
Very sweet song, sweet voices and very powerful spiritual song
Hakika mmenibariki, mbarikiwe
Beautiful and sweet voices,👍👍👍
Great, is among the songs I like ❤️
nice song
❤️🔥
This is awesome.Tenges do you offer piano classes.
So Beautifu!l
Amazing song
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
❤❤❤
Praise him forever and for more and more.
Your voices are beautiful 😍
Louange et gloire à toi Seigneur notre Dieu.
Let's sing for his glory forever and ever.
Sweet melodies
Mwimbien
💙💙💙💕💕💚💕💕💐💐💐
🙏🙏🙏
👍
Kazi Nauru sana
Angalia hii mziki tamu nayo sana
ua-cam.com/video/jiM37WGEd0M/v-deo.html
👍