SAYUKI TV TUNAENDELEA KUKULETEA KAZI BACK TO BACK TUNAOMBA SUBCRIBE, LIKE,COMMENT AND SHARE USISAHAU KUWASHA BATANI YA TAARIFA ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA TUKIPANDISHA KAZI MPYA.
Oooyooooooo, Kaka ameamua kuach ujambazi?? Mansha"Allah, Alhamdulillah 🤲 🤲, ninafurah saan, uyo Bahati nae ameshakupa ta wakumtoa upwiru hawezi Kukubali kubaki ndani😂😂😂😂, Mama karibu kwa Mwanao ili upambane na hilo li Chetani😅😅😅😅
Bahati bahati bahati nimekuita mara tatu jamani hujui kukataa usije ukaja kulia mwshoe 😢 sam uwakutakia mazuri tuh n uwakulimda juu ya usalama wako😢 sama we kijana mstarabu sna ❤ mauntanga uwataka kuacha kazi je wenzake watakubali kweli 😅 mama kaingia mjengoni zulfa utatii Sheria hpo sawa hazifiki 😂
Bahati mbona umetuzalilisha wanawake??? Yaani mtu hata humjui umeeenda lala nae,,na je kama alikuwa ni miongoni mwa wala wakabaji?? Daaah umefeli sam akijua utarudi kwenu
SAYUKI TV TUNAENDELEA KUKULETEA KAZI BACK TO BACK TUNAOMBA SUBCRIBE, LIKE,COMMENT AND SHARE USISAHAU KUWASHA BATANI YA TAARIFA ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA TUKIPANDISHA KAZI MPYA.
Thank you godbless you
Ok thanks 👍
We really like your femaly programme very nice keep it up
I will like to see more episodes 😢😅😊
❤❤❤we love It
Napenda sana vile mama utanga yuwavaa❤
Mautanga kaka hongera kwakuacha iyo kazi isiyofaa
Ooooh, Bahati unanzaje kulal namtu umemuona leo leo?? Mungu weee unatuzalilisha wanawake sis, mhuuum nimthiani kweli yni nimekuchukia huna hata aibu
Mi nilimuona anapenda waume sana😂😂
Upwiru😂😂😂 jamani
Dua time Allah awape maisha marefu yenye baraka tele wote hum ndani ❤
From Cameroun
Sayuki TV congrats
Mautanga apo nimekupenda bure kuiacha iyo kazi saf sana kinacho baki sasa nikumtoa uyo jinamizi uliloliweka ndani liondoke namanisha zuu
Nawapenda sana kazi nzuri sana ❤❤❤❤🎉🎉
Ninawapenda sana Baraka za MAMA❤❤❤❤❤ juu sana🎉🎉🎉
Angalau leo umecomment vizur.
Samu unafer wapi mtot mzur kam uyo amejaa mwenyew dadeq😆
Mambo moto❤❤❤❤❤
Wow mwatanga pia mimi nakuunga mkoo huko kuacha kazi ya kihuni❤ngera sna😊 umetisha😮😊😊nakukubali mwatanga👍
Hongera mau tanga kwa kuacha kaz mbaya na kuwapa ushaur wenzako pia
Umefanya Vizuri Sanaaaa Kwenda Kutoa Hisia Zakooo
Bahat siku moja kaliwa😅😅😅tena kwa masaa tuu😮 we kiboko
Yani anajirahisisha hatari
Alikuwa Na Ugwaduuu
Dada yangu unanifurahisha ukiongea kirangi 😂😂😂❤❤❤
Wee leo nmejaribu nikawa wa 21 nipeeni like
Oooyooooooo, Kaka ameamua kuach ujambazi?? Mansha"Allah, Alhamdulillah 🤲 🤲, ninafurah saan, uyo Bahati nae ameshakupa ta wakumtoa upwiru hawezi Kukubali kubaki ndani😂😂😂😂, Mama karibu kwa Mwanao ili upambane na hilo li Chetani😅😅😅😅
Bahati ww koma mandamano Tz wapi na wapi jmn 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
mrangi mwenzangu nmependa ulivomjibu huyo zuuh😂😂😂
Hongera sana kakangu kuuwacha ujambazi ❤
Wee bahati kwahy Sam ndio umeacha kumpenda teal upendo ushaham tennah 😂
Bahati ameenda kuvumbulwa n hta mtu asiemjua weeeh thezeaaa n upwiruu
Dada matulanga nimekupend Bure 🎉🎉🎉. Alafu bahat kuna kitu unakitafut huko sokon km si mimba bs utatekwa
Mbona kaanza kuvaa madela!
Hi movie Ni nzuri sanaa pongezi nyote
Shukran sana
Nimependa sana.😊😊😊
Uyu bahatinaee kimarayaaa
🎉🎉🎉Muko vzr tunahitaji bc anagalau mtume ata mbili kwa wakat
Mautanga jmni mm nkupenda ❤❤❤❤❤
Muh bahati uyooo. 😂 nausana wake wote leo kuku hukata kamba 😂
Uyu bahati mjinga kweli
Kazi nzuri kisa njaaa na umasikini ndo umuuze mtoto wewe mwanamkeee weweeeeee duuuuh hatar sanaaaa
Samu achana na Bahati, hakufai tena kmb ana mpnz, wake, mbwege kwl daaah, amenities mm kiukwl
Lakini Sam ndiyo amtaki bahaty
@@aaminaasljbgbvf745 ndo akazie hapo make duuuh , kmb sokon ndo kwa bodaboda
Team hamam team hubus team fuluus mpoo
Tuko ndniiiìiiiiii
bahati kichwa chake kibovu kweli
Walangi kawaida kamuona mtu leo na wanamaliza huo uhalisia wao bahat ameuonyesha
Daah bahati hapo umefeli kweli Yani unge Baki na samu wewe
Hajafel sam mwenyewe pimbi
Sam hampendi
Sasa abaki na same wakati same aeleweki uwezi kumlazimisha mtu mahusiano utateseka zaidi
Ilabahati wewekiboko mama duuuu
Bahati bahati bahati nimekuita mara tatu jamani hujui kukataa usije ukaja kulia mwshoe 😢 sam uwakutakia mazuri tuh n uwakulimda juu ya usalama wako😢 sama we kijana mstarabu sna ❤ mauntanga uwataka kuacha kazi je wenzake watakubali kweli 😅 mama kaingia mjengoni zulfa utatii Sheria hpo sawa hazifiki 😂
Leo nimekometi samu achana na bahati
We bahat amnaz
Mnipe like ma a na nililala apapa nasubili😂😂😂❤❤ nawapenda
❤ Nawapenda sana
Bahati Ulikuwa Na Siku Nyingi Siwez Kukulaumu
Weeee janamke gani iroo kamajini surabayaa
Kaz nzur San ❤❤❤❤🎉
Mimi na wapenda sana
Ila mnachelewa sana but nawapongeza sana mko vizur 🤝
Kaz nzuri
Zuu nae kwa mdomo hatar
Bahati kaenda kuliwa futaa munguu wanguu imenda kuchappwaa😂
Bahati hapo umekosea
Bahati mimba lazima imeingia maana sio kwa upwiru huo 😂
Bahat apo umechemka sana
Kazi nzur ❤
Mbonaa mamangu hatafutwi tenaaa
Mama yupi huyo ?
We bahati wewe una balaa duh umeenda mpka umejisahau kwa raha 🤪
Bahat mbona umejirahis sana
Bora sam alivomkataa Bahati
Bahat hakuweza kujituliza subir Atuletee tumbo hapa 😂
😂😂😂😅
Kazi safi.
Ule kaka aliyelala na Bahati n ndugu wa dada jambazi, Bahati mtihani unao
😂😂😂😂😂😂maandamano sokon tena
Eti ukitekwa tena sitoe hela😂😂😂
Bahati kaenda kutolewa upwiru mbwa huyu
😂😂😂😂sasa sam mwenyewe anajifanya hanahisia na bahat
Watoto wema uwaneni basi
Apa Sasa ndo mme haribu japo sija ona muendelezo ilikua bahati akazie kwa yule yule kaka yake
Ila bahati umenishinda tabia 😂😂😂
Mzigo og sana
Movie zuri lakini muda mdongo❤
Mm hapa kutoka kwenya
Bahat kasha liwa ngozi huyo
Jamani bahati ashakuwa mkubwa Sasa lazima awe n mtu priva kamkosa sam kamkosa bado mnataka n huyu aliyenasa mwenyew nae amuachie we
Bahati mbn hivyo na wewe
Humu Tu
Bahat kaenda kupunguza upwipwi😂😂😂
Bahat hati una upwiru hyo kaka umeanza kupenda lini
😂 Mimi wagapi vile
Bahati umetolewa upwuru leo
Bahati nirikuwa namukuvali sasa kafanya hivo
Leo wa kwanza kbsa
Wakwanza toka burundi
Bahati mbona umetuzalilisha wanawake??? Yaani mtu hata humjui umeeenda lala nae,,na je kama alikuwa ni miongoni mwa wala wakabaji?? Daaah umefeli sam akijua utarudi kwenu
Bahati mjinga
Mama yake Bahati
Waokoke
Bahati ni mke mwema, lakini swala la kuuza mtoto hicho kipengere sio ,kwani mtoto anauzwa amekuwa ng'ombe au mbuzi hapo sijapenda
Nc🎉🎉🎉
Leteni epi 25
Kesho satatu asubuhi
Yale uliyoyapitiya yalitokana na roho mbaya uliyonayo sijui ka ndiyo sababu huna roho ya kiutu kila kitu ni ushirikina na waganga tu.
Bahati alikua na hamu kubwa sana.fala kamlealea
Wanne leo sijachelewa sana
Naomba mawasiliano na bahati
Bahati kicheche cn uyu
Mh wa mwisho naomba likes zenu plz
Samu kaniuma kwelikweli kamkosa bahati
Bahati ushapata mpenzi sasa tulia
Mvi language pendant sasa behaviour mbona umekubali kirahisi hivi bila kumquat mtu
Bahati ww
wewe bahati unawezaje kulala na mwanaume kama ujaenda kupimwa
🎉