Mbarikiwe sana mlio kuwa kwenye kamati ya maandalizi ya hafla hii, uchaguzi wa kwaya umezingatia vigezo na uelewa wa kanisa wa kibiblia juu ya mavazi na mitindo ya nywwele, vijana wako smart, sioni mawigi hapo kama vile ambavyo kwaya zetu nyingi zimeamua kuiendea namna ya kidunia, lakini hawa vijana ni wa kuigwa sana nyakati hizi tunapofunga historia ya dunia, hawa ni waimbaji kweli wa injili, Mungu awapiganie muiishi imani vijana wenzangu, ili hatimaye tukaimbe pamoja na malaika mbinguni AMinaaa
Kuna tofauti Kati ya wasabato na waadventista wasabato nyarugusu Ni kwaya ya waadventista wasabato sio kwaya ya wasabato ,kwaya sa wasabato ni za mitindo na burudani Ila kwaya ya waadventista wasabato Haina mda wa mitindo waangalie nyarugusu inaishi maadili ya kibiblia sio maonyesho ya kusuka au mavazi ya ajabu hii ndo kwaya inayopaswa kutumiwa katika mikutano ya injili hakika kwaya pekee inayoimba na kuishi ujumbe
Hakika, Mungu awabariki pia na kanisa la nyarugusu na viongozi wote wa kanisa hilo, ni dhahili kuwa kanisa la nyarugusu ni la waberoya kwelikweli, neno lipo nyarugusu, naomba Mungu anifanikishe siku moja nifike kwenye hilo kanisa nikajifunze ni kwa namna gani limeweza kuwatiisha vijana kusimama kwenye maadili ya kibiblia katika uimbaji wao, maana kwanya za vijana zina shidaaaa lakini hii ni ya tofauti sana, wanyenyekevu, na tunawaona kwenye yutube wanaoana kwa amani kikiristo zaidi hawana makuu, jamani hawa nao ni wa kuigwa
Mara kwanza kusikia kwaya ikiimba kuiombea inchi na serikali,na kuwakilisha inchi nzima God bless you from Kenya
Ay nyarugusu hakika mungu anainuliwa kupitia nyimbo zenu mungu awainue daima
Daa!!!! Nyarugusu choir mnaimba mungu awatie nguvu
Taji ni Kwa wale watakaoifanya Kaz songeni mbele 💪
Mhh sio kwa kupanda huko Tanzania ni mmoja hongera Nyarugusu mbarikiwe Sana
Ooooooh Waooooh Halleluya BWANA atukuzwe milele na Milele
Amina
Mbarikiweee sana kwa kazi njema❤️❤️❤️ nawapenda sana at nyarugusu ur steel reflect the real picture of SDA
Amina
Mbarikiwe milele my choir
Nawapenda mno AY NYARUGUSU MUNGU AWABARIKI MNO
God bless my favourite Choir in the world
Mbarikiwe sana nyarugusu mungu awapatie nguvu nyingi ya kumtumikia mungu
Amen
Mbarikiwe sana mlio kuwa kwenye kamati ya maandalizi ya hafla hii, uchaguzi wa kwaya umezingatia vigezo na uelewa wa kanisa wa kibiblia juu ya mavazi na mitindo ya nywwele, vijana wako smart, sioni mawigi hapo kama vile ambavyo kwaya zetu nyingi zimeamua kuiendea namna ya kidunia, lakini hawa vijana ni wa kuigwa sana nyakati hizi tunapofunga historia ya dunia, hawa ni waimbaji kweli wa injili, Mungu awapiganie muiishi imani vijana wenzangu, ili hatimaye tukaimbe pamoja na malaika mbinguni AMinaaa
Amen
I really want to know how nyarugusu does its things. This choir is just nice to listen now and then very classical
Waooooohhh be lifted up our brethren nyarugusu 🙏🙏🌹🌹🌹🌹
Amen
Wasabato nawapenda bure barikiwa🙏
Mungu akubariki sana sana sana barikiwa
Amina
Ameen
Hapo kwenye mhhhh
Mbarikiwa sana Nyarugusu choir and President Samia
Amen
I love their song “nyimbo nne”.
And this one here is a great song. Love from Kenya 🇰🇪
Amen
Aiseeee woooow!!! Mnaimba vizuri sana
Amen
Kuna tofauti Kati ya wasabato na waadventista wasabato nyarugusu Ni kwaya ya waadventista wasabato sio kwaya ya wasabato ,kwaya sa wasabato ni za mitindo na burudani Ila kwaya ya waadventista wasabato Haina mda wa mitindo waangalie nyarugusu inaishi maadili ya kibiblia sio maonyesho ya kusuka au mavazi ya ajabu hii ndo kwaya inayopaswa kutumiwa katika mikutano ya injili hakika kwaya pekee inayoimba na kuishi ujumbe
Amina
Bwana aongoze safari
Hakika, Mungu awabariki pia na kanisa la nyarugusu na viongozi wote wa kanisa hilo, ni dhahili kuwa kanisa la nyarugusu ni la waberoya kwelikweli, neno lipo nyarugusu, naomba Mungu anifanikishe siku moja nifike kwenye hilo kanisa nikajifunze ni kwa namna gani limeweza kuwatiisha vijana kusimama kwenye maadili ya kibiblia katika uimbaji wao, maana kwanya za vijana zina shidaaaa lakini hii ni ya tofauti sana, wanyenyekevu, na tunawaona kwenye yutube wanaoana kwa amani kikiristo zaidi hawana makuu, jamani hawa nao ni wa kuigwa
Amina Bwana awatetee mkaimbe mpaka mbinguni
Amen
Always performing to perfection kudos
Amen
🤗🤗muuende mbele
Amen
Aminaaa!
Amina be blessed 🙌
Amen
Powerful presentation, Mbarikiwe
Amen
Amina
My favorite choir
Amen
Kuna Wasabato na waadventista Wasabato je, hao akina nani??? Utajibu Mwenyewe..,
Bwana atusaidie
Barikiwa sana 🙏
Amen
Barikiweni sana
Amen
J'aime
Natamani tuimbe hd mbnguni
Hongera waasisi walioanzisha kanisa sabato mbarikiwe mmojawapo Mzee Okeyo Bwana awape miaka mingi
Amen
Amen
Amen
Ujumbe mzr mbarikiww
Amen
Be blessed