Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hakika wimbo huu umenifanya kuwa mtu wa msamaha sana na nina amani sana. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu , mmenitia moyo sana kwa wimbo huu
Nyarugusu you are the best 🎉🎉❤
Nimejifunza mengi kupitia nyimbo hiii na zingine nyingine Mungu awabariki na aendelee kuwatumia na nyie mfike mbali ila msipote nawaomben Sana
Mungu awabariki sana nyimbo zinagusa kwa kwel
I'm not tired to hear this Best song so sweet God bliz nyarugusu forever and ever
Tunamshukuru mungu kwa kubarikiwa na hii kwaya kwa njia ya nyimbo kambi la kihonda morogoro,mungu awabariki
AY nyarugusu jamani... Mbarikiwe na Bwana.. Mungu asiwapungukie katika kazi yenu ya injili.... tunabarikiwa saana na ujumbe wenu.. Mungu kweli anaonekana katika kazi zenu..
Mungu awabariki sana waimbaji wa SDA Nyarugusu, choir hii huniongezea nguvu za kiroho na zaidi. endeleene na Mungu awajazie vipaji. Amen
Nimelia sana kwa ujumbe huu.Kusamehe kuna hitaji neema ya Mungu.
Kama na wewe unawaombea hawa vijana Mungu azidi kuwabariki na kukuza karama zao plz nipe like yako hapa.
Awape nguvu
Yap!!
Rrrŕŕ
Nimewapenda bure wimbo mzuri na wenye mguso MUNGU wa mbinguni aendelee kuwatumia sana muwabariki watu.wonderful voices.
Mbarikiwe san Nyarugusu Ay, nawaombea kwa Mungu mzidi kuendelea na mwendelezo huo huo
Wonderful song..am in Love with the wonderful songs from you guys..God bless you 🙏
Nimebarikiwa na ujumbe huuMungu awabarik sana AY nyarugusu
Nimejikuta machozi yananitoka tu ujumbe bora sana Mungu atusaidie sana
Ndugu Saimoni...Barikiweni sana.Ujumbe mzuri sana wanaNyarugusu.Amina.
Mungu awatangulie mfike mbali mwisho mbinguni (ameeen)
Aliyesema shikilia msimamo kawakilisha mawifi... Kaka shikilia msimamo
Safi sana mwalimu enock na anachukua ubuyu hapo safi sana wakuu
good song best message Simon umevaa uhusika🙌🙌🙌🙌
Utukufu ni kwa Bwana Yesu,wimbo umenigusa
Supper Directed 🏆🏆🏆🏆🏆🏆😋
I loved this choir the first day I came across it. May God continue using you! What a message!
Sn wanaimba vizuri
Nice video nice song and scrip on point. Hongereni Nyarugusu
Iiii
Nn
"Forgive them freely'" sameheme bure Mbarikiwe sana
I love how u bring the message home ....God bless u 🙏🙏🙏
Amina! Mmenigusa sana waimbaji.
Ujumbe mzito sana. Samehe ili usemehewe
mwenyezi mungu awapaishejuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mawiinguniiiii mwabheja sana bhatogwa bhamwasebhaaaaaaaaaaa aminaaaa
Amen
Barikiwa watumishi kwa ya BWANA Ahsante.
Nimebarikiwa sana..Mungu awajalie Nyarugusu
Mbarikiwe sana Nyarugusu AY. Powerful song
Amina muende mbar msipotee
Ujumbe wenye baraka. Mbarikiwe.
I really adore this choirGod bless you
Karibu kiamunyi east nakuru Kenya
Mbarikiwe Sanaa mnatubalik mm na wazazi wangu pamoja na wadgo zangu MUNGU awabalik katika kazi. Zenu na saut zenu pia Ameeee
Mbarikiwe mnooo. Kwa kazi ya MUNGU. Ni nzuriii
Hskika Mungu azidi kuwatumia
Really mnanibariki sana nawapenda Mr Enock
Ninyi ni wa Pekee... Mwalimu abarikiwe kwa utunzi bora.Mkaribieni BWANA nae atawakaribia Ninyi...
MUNGU awabariki kwa kazi nzur
Duh mungu awabariki kiukwel mwajitahidi vijana
Mbarikiwe AY Nyarugusu
Nyimbo zinahubiri saanaa
Powerful message. Keep it up nyarugusu
Blessed message my wonderful people...May God bind you together..
Nyarugusu sijui niseme nini ila mjue hamjawahi niangusha mbarikiwe sana,kweli samehe ili usamehewe,
Mubarikiwe xana Ay nyarugusu kwa nyimbo nzuri
Asante kwa ujumbe
Nipo tena leo jomoni navyowapenda nyie,
Wow jmn AY nyarugusu mungu awabariki Sana nimemuona na past Jacob Luck
nyimbo nzuri..,,,ujumbe mzuri
MUNGU awabark. Nabarikiwa sana na nyimbo zenu
Beautiful song and also sad ..Yahweh bless you all singers
Hahaha mtumishi unaweza kuigiza
How wonderful is the song!May the Almighty God be with you
Mungu Hawabariki sana
Mungu azid kuwatumia....
Mubarikiweeeerr sana kwa wimbo mzur
Yani Mungu awabariki
Nabarikiwa na kazi njema
My all time choir.
Nyimbo nzuri sana
Jamani nimetoa machozi
Safi sana
mungu awabaliki sana mpaka machozi yamenitoka
GOD BLESS AY NYARUGUSU .
Wimbo huu umeniguza kweli
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri
Kaka simamia msimamo😂😂😂
Barikiwa
Natamani kujiunga nanyi
Mungu awabariki na awainue zaid
Bwana azid kuwa nanyi katika Uingilisti
nawapenda
Love it
🎹🎹🎹🕪🕪🕪mnanibalik sana
Bila maombi sio kitu rahisi mtu anafanya makosa makusudi na aombi msamaha Anarudi tena jamani ndoa pasipo yesu ni hatari
Mbarikiwe sana
They heped me to forgive someone
Samehe usamehewe
Best song
Appreciation to Nyalugusu
forgive freely
Amen forgive
Jamani hii nyimbo google mmeiattach vipi kila nikidownload haitaki yani naangaika hadi jasho linanitola mp3 inagoma mp4 inagoma shida nini?
Amin
Forgive indeed
Naupenda huu wimbo umenisaidia
😊
Asanteni sana Mungu awabariki
samaha wewe!!!
Amina
wapi Naweza kupata Number zenu
ThanksByMläsu
Mnaibariki sana
Nawapenda
Ameeen
Jina full la mwanangu mpaka babake duuuh
Hakika wimbo huu umenifanya kuwa mtu wa msamaha sana na nina amani sana. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu , mmenitia moyo sana kwa wimbo huu
Nyarugusu you are the best 🎉🎉❤
Nimejifunza mengi kupitia nyimbo hiii na zingine nyingine Mungu awabariki na aendelee kuwatumia na nyie mfike mbali ila msipote nawaomben Sana
Mungu awabariki sana nyimbo zinagusa kwa kwel
I'm not tired to hear this Best song so sweet God bliz nyarugusu forever and ever
Tunamshukuru mungu kwa kubarikiwa na hii kwaya kwa njia ya nyimbo kambi la kihonda morogoro,mungu awabariki
AY nyarugusu jamani... Mbarikiwe na Bwana.. Mungu asiwapungukie katika kazi yenu ya injili.... tunabarikiwa saana na ujumbe wenu.. Mungu kweli anaonekana katika kazi zenu..
Mungu awabariki sana waimbaji wa SDA Nyarugusu, choir hii huniongezea nguvu za kiroho na zaidi. endeleene na Mungu awajazie vipaji. Amen
Nimelia sana kwa ujumbe huu.Kusamehe kuna hitaji neema ya Mungu.
Kama na wewe unawaombea hawa vijana Mungu azidi kuwabariki na kukuza karama zao plz nipe like yako hapa.
Awape nguvu
Yap!!
Rrrŕŕ
Nimewapenda bure wimbo mzuri na wenye mguso MUNGU wa mbinguni aendelee kuwatumia sana muwabariki watu.wonderful voices.
Mbarikiwe san Nyarugusu Ay, nawaombea kwa Mungu mzidi kuendelea na mwendelezo huo huo
Wonderful song..am in Love with the wonderful songs from you guys..God bless you 🙏
Nimebarikiwa na ujumbe huu
Mungu awabarik sana AY nyarugusu
Nimejikuta machozi yananitoka tu ujumbe bora sana Mungu atusaidie sana
Ndugu Saimoni...Barikiweni sana.
Ujumbe mzuri sana wanaNyarugusu.
Amina.
Mungu awatangulie mfike mbali mwisho mbinguni (ameeen)
Aliyesema shikilia msimamo kawakilisha mawifi... Kaka shikilia msimamo
Safi sana mwalimu enock na anachukua ubuyu hapo safi sana wakuu
good song best message Simon umevaa uhusika🙌🙌🙌🙌
Utukufu ni kwa Bwana Yesu,wimbo umenigusa
Supper Directed 🏆🏆🏆🏆🏆🏆😋
I loved this choir the first day I came across it. May God continue using you! What a message!
Sn wanaimba vizuri
Nice video nice song and scrip on point. Hongereni Nyarugusu
Iiii
Nn
"Forgive them freely'" sameheme bure
Mbarikiwe sana
I love how u bring the message home ....God bless u 🙏🙏🙏
Amina! Mmenigusa sana waimbaji.
Ujumbe mzito sana. Samehe ili usemehewe
mwenyezi mungu awapaishejuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mawiinguniiiii mwabheja sana bhatogwa bhamwasebhaaaaaaaaaaa aminaaaa
Amen
Barikiwa watumishi kwa ya BWANA Ahsante.
Nimebarikiwa sana..
Mungu awajalie Nyarugusu
Mbarikiwe sana Nyarugusu AY. Powerful song
Amina muende mbar msipotee
Ujumbe wenye baraka. Mbarikiwe.
I really adore this choir
God bless you
Karibu kiamunyi east nakuru Kenya
Mbarikiwe Sanaa mnatubalik mm na wazazi wangu pamoja na wadgo zangu MUNGU awabalik katika kazi. Zenu na saut zenu pia Ameeee
Mbarikiwe mnooo. Kwa kazi ya MUNGU. Ni nzuriii
Hskika Mungu azidi kuwatumia
Really mnanibariki sana nawapenda Mr Enock
Ninyi ni wa Pekee... Mwalimu abarikiwe kwa utunzi bora.
Mkaribieni BWANA nae atawakaribia Ninyi...
MUNGU awabariki kwa kazi nzur
Duh mungu awabariki kiukwel mwajitahidi vijana
Mbarikiwe AY Nyarugusu
Nyimbo zinahubiri saanaa
Powerful message. Keep it up nyarugusu
Blessed message my wonderful people...May God bind you together..
Nyarugusu sijui niseme nini ila mjue hamjawahi niangusha mbarikiwe sana,kweli samehe ili usamehewe,
Mubarikiwe xana Ay nyarugusu kwa nyimbo nzuri
Asante kwa ujumbe
Nipo tena leo jomoni navyowapenda nyie,
Wow jmn AY nyarugusu mungu awabariki Sana nimemuona na past Jacob Luck
nyimbo nzuri..,,,ujumbe mzuri
MUNGU awabark. Nabarikiwa sana na nyimbo zenu
Beautiful song and also sad ..Yahweh bless you all singers
Hahaha mtumishi unaweza kuigiza
How wonderful is the song!May the Almighty God be with you
Mungu Hawabariki sana
Mungu azid kuwatumia....
Mubarikiweeeerr sana kwa wimbo mzur
Yani Mungu awabariki
Nabarikiwa na kazi njema
My all time choir.
Nyimbo nzuri sana
Jamani nimetoa machozi
Safi sana
mungu awabaliki sana mpaka machozi yamenitoka
GOD BLESS AY NYARUGUSU .
Wimbo huu umeniguza kweli
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri
Kaka simamia msimamo😂😂😂
Barikiwa
Natamani kujiunga nanyi
Mungu awabariki na awainue zaid
Amen
Bwana azid kuwa nanyi katika Uingilisti
nawapenda
Love it
🎹🎹🎹🕪🕪🕪mnanibalik sana
Bila maombi sio kitu rahisi mtu anafanya makosa makusudi na aombi msamaha Anarudi tena jamani ndoa pasipo yesu ni hatari
Amen
Mbarikiwe sana
They heped me to forgive someone
Samehe usamehewe
Best song
Appreciation to Nyalugusu
forgive freely
Amen forgive
Jamani hii nyimbo google mmeiattach vipi kila nikidownload haitaki yani naangaika hadi jasho linanitola mp3 inagoma mp4 inagoma shida nini?
Amin
Forgive indeed
Naupenda huu wimbo umenisaidia
Amen
😊
Asanteni sana Mungu awabariki
samaha wewe!!!
Amina
wapi Naweza kupata Number zenu
Thanks
By
Mläsu