UTACHE UFE JUMA NATURE ALICHOKIFANYA BAADA YA KUMUONA DIAMOND KWENYE UZINDUZI WA 7 MEDIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
    #alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
    #BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

КОМЕНТАРІ • 7

  • @awadhjamal3430
    @awadhjamal3430 3 місяці тому +1

    Shikamoo pesa yani babalevo anamuita mondi "MZEE WANGU"

  • @WOLFGANGfr
    @WOLFGANGfr 3 місяці тому +2

    Sherehe yake mc yeye promoter yeye

  • @ismailkasim9060
    @ismailkasim9060 3 місяці тому +2

    Juma , bangi haimuachi mtu salama

  • @GeorgeMarcky-og6os
    @GeorgeMarcky-og6os 3 місяці тому +3

    Mnatuigizia hyo 7media ni ya Mond unammilikisha mapema ili kuja kuepuka maswali mmewazaa mkaona namna ya kufight na crown si nyingne ila kufungua kijimedia kingine by the way hongereni sio mbaya ni ushindani wa kibiashara ila b levo una hisa ndogo sana hapo mmiliki ni bos wako note

  • @ZurehaMiraji
    @ZurehaMiraji 3 місяці тому +1

    MashaAlla baba Levo

  • @ismailkasim9060
    @ismailkasim9060 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂