Nyimbo yangu ya mwaka🔥🔥🔥💪💪Huyu marioo sio mzur kbs ni zaid ya hatar yan!!ajitahid tu kukijua kizungu ili baadae aanze kuchanganya na kizungu atapaa sn kimataifa
*Barnabas ft Marioo-Marry me lyrics by **#WazambuliTv** 😃👇* Abbah Yagaa shiii eeh eeh eeh Would you marry me baby eeh eeh eeh Ah asante angalau ninafuraha Yale majeraha ah ah Ah asante angalau ninafuraha Teena majeraha aah Ati si unanipenda Kwa dhati Na Mimi ninapenda unavotii Kama mkate kwenye tea Ah eti unanipenda habity Na Mimi nakupenda siskii Kama kitasa kwenye key Would you marry me Ndo naamini Kila mwanzo Unakuwaga mwisho wake nishaumizwa Would you marry me Eeh eeh eeh Would you marry me baby Eeeh eeh eeh Would you marry me Yah Badman mopao Hisia zangu ziko Jojojo Moyo umelainika rojojo Nime summarize nimezama ndani in deep We are firm Mbona wataomba popopo Ma ex watalala kama popoo Ume summarize umefit size Tell me anything that man can do Say it loud baby yes I do Uta realize good man never lie Kama ni Mali tuta spend You wear designer you like Fendi Would you be my lover Would you be my destiny I can give you more baby I like the way you touch me I like the way you want me Eeeh eeh Nisha Fall in Love Mwenzako I'm in love Would you marry me Eeeh eeh Nisha Fall in Love Mwenzako I'm in love Would you marry me (Would marry me)
Hii nyimbo nimeisikiliza zaidi na zaidi ni nzuri na kali sana, ila barnaba umeharibu mwanzo kuanza kujitambulisha. Inaanza na sound moja kali sana ya hisia hata ilipofika marioo alivyoipokea alipatia ila Barnaba umeharibu pale ulivyojitambulisha ungeacha iwe plain mpaka marioo alivyoanza. NAKUSHAURI SIYO KILA NYIMBO UJITAMBULISHE
Nafikiri huu wimbo ukitoa chekutua alioimba na kiba ndio wimbo mzuri zaidi kuliko nyimbo zote zilizobaki! Marioo sauti yake sijui Ina Nini! Yaani akiimba nyimbo hizi za kubembeleza moja kwa moja sauti yake Ina connect na hisia pamoja na moyo wa msikilizaji! Very powerful and touching voice! Kazi nzuri Sana!
🤍New Addiction 🤎🎶Forever abusing this song 🎶 Isssaaa New Anthem 🔥💯This Album 💿 is lit 🔥 Barnaba you deserve trophy! You nailed this Album 💿! Marioo you ate this song 🎶 💯💫💯
Hii album umetupiga misumari ya kufa watu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sasa jamanii mmetisha😋 nimependa mnoo....❤❤
Naomba like kama umeipenda kama mm💪
Hatariii
#ila marioo gomba ila kaua kaua kaua Hana mpinzan anajua mbak kero
Nobody is talking about the ka guiter 🎸🔥🔥🔥
Kenya represented
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 this is one of my fav from Love sounds different..... When Mario touches the tune, he normally do justice for it
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@@adrammadega5489 🇰🇪♥️
sho shoo bro
Very true, love from Kenya
Aaaaakh, marioo jau bhna broh. mistari unatoaga wapi kwani broh... unatuua kaka😓 daaah marioooooooo utengwe kaka, wewe sio mtu ni jiniii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nimeiskiliza Album yote lakini hii ndo nime replay mara nyingi🥲🥲Marioo is smth else🤭🔥🔥🔥🔥
Hadith umeionaje 🤗🤗
@@Johny255Official ni nzuri lakini hii ndo wametisha 🔥🔥🔥
Nimeipenda hii2
#yan kaua kaua kaua marioo hana mpinzani gonge ragoma
A
Wawooooooo akiiii marioo 😍😍😍 Barnaba kweli ww ni msani bora hii kitu nadhani ww ndio ume uaaaaaaaaaaa💟💟💟💟💟💟💟💟
Nyimbo yangu ya mwaka🔥🔥🔥💪💪Huyu marioo sio mzur kbs ni zaid ya hatar yan!!ajitahid tu kukijua kizungu ili baadae aanze kuchanganya na kizungu atapaa sn kimataifa
Nobody talking about Mario mapao chemistry !!!!!incredible
barnaba hiii ngoma wote mmekutana mafundi wakuandika mmeua hiii album hakuna itakayo ipita miaka mitano mpaka ipita haisee nikali sana💥💥💥💥💥
Jamani marioo kumbe ni mkali hivi 🙆🙆
I think Marioo is the future of Tanzanian industry music after this current one of diamond platnumz,,,all the best 👌 Marioo
This is the best song of all in the album! Whatever Marioo touches becomes ignited! Mob love from Kenya 👏👏👏💯💯💯💯
Hii ndo no. One song kwenye Album 🔥
Hii Ngoma nkubwa sana
Marioo is better than medicine, I hope I get a chance to feature him one day
My heart pounds unusual wherever and whenever hearing Mario singing...thanks God for bringing him into our lives..
Blessing
That's true dear
I totally agree with you dear
I agree
Marioo's voice,vocals for me💯🔥🔥🔥🔥🔥
Marioo ako na mashairi mazuri....penda wewe from kenya
*This song makes me miss somebody who does not deserves to be missed* 😢
This life no balance
@@angelmarcelina5336 So sad😌
@@mullahkaposo6663 ,a🤣
@@mullahkaposo6663
🤣
@@sufianiaisha8550 unanicheka?
Marioo wewe uwezi niangusha🔥🔥🔥🔥🔥💪✌️✌️✌️✌️
Marioo uliuaaa. Yani my no 1 favourite song katika album
*Barnabas ft Marioo-Marry me lyrics by **#WazambuliTv** 😃👇*
Abbah
Yagaa shiii eeh eeh eeh
Would you marry me baby
eeh eeh eeh
Ah asante angalau ninafuraha
Yale majeraha ah ah
Ah asante angalau ninafuraha
Teena majeraha aah
Ati si unanipenda Kwa dhati
Na Mimi ninapenda unavotii
Kama mkate kwenye tea
Ah eti unanipenda habity
Na Mimi nakupenda siskii
Kama kitasa kwenye key
Would you marry me
Ndo naamini Kila mwanzo
Unakuwaga mwisho wake
nishaumizwa
Would you marry me
Eeh eeh eeh
Would you marry me baby
Eeeh eeh eeh
Would you marry me
Yah Badman mopao
Hisia zangu ziko Jojojo
Moyo umelainika rojojo
Nime summarize
nimezama ndani in deep
We are firm
Mbona wataomba popopo
Ma ex watalala kama popoo
Ume summarize umefit size
Tell me anything that man can do
Say it loud baby yes I do
Uta realize good man never lie
Kama ni Mali tuta spend
You wear designer you like Fendi
Would you be my lover
Would you be my destiny
I can give you more baby
I like the way you touch me
I like the way you want me
Eeeh eeh
Nisha Fall in Love
Mwenzako I'm in love
Would you marry me
Eeeh eeh
Nisha Fall in Love
Mwenzako I'm in love
Would you marry me
(Would marry me)
Marioo Toto bad nation never disappoint 🔥🔥🔥🔥🔥
All Mario's songs are very touching. He is my best in Tanzania.
Hunishindiii jamaniii Marioooo over everythngs
I love how Barnaba is collaborating with the young generation in this album 💥❤️🇹🇿
I have seen ur comment in hadithi hadithi
🤩 fireeee
Sure
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Nawakubali san💥💥
Shida moja ya huu wimbo ni kwamba unaisha. Dah, on repeat
Mabingwa wawili mastar wakutunga mashairi Tz big up
Nyimbo nzuri kuliko zote
Hii nyimbo nimeisikiliza zaidi na zaidi ni nzuri na kali sana, ila barnaba umeharibu mwanzo kuanza kujitambulisha. Inaanza na sound moja kali sana ya hisia hata ilipofika marioo alivyoipokea alipatia ila Barnaba umeharibu pale ulivyojitambulisha ungeacha iwe plain mpaka marioo alivyoanza. NAKUSHAURI SIYO KILA NYIMBO UJITAMBULISHE
True
I think this is the best in the album...yaani I can't get enough of it.....you killed it man..ata sijui nimeskiza
I'm speechless but This song is amazing... Barnaba+Marioo=Unforgettable
Marioo is just the best thing coming from Tanzania ryt now.. He's good
U can't compare this with any song, because this is the true definition of a good music ever the
Singles gonga like tumepata song yakuproposiwa😂🔥🔥🔥🔥
Sawa
BARNABA CLASSIC WASAFI CLASSIC 🔥🔥🔥
Marioo kaua sana humu, hii ngoma iko on repeat kwa simu yangu
Marioo ft barnab Kali.sana
Marioo😀😀 Mzee Wa HIT Song.....
Jaman huyu mario huyu dah katisha kweli
💯💯💯💯Marioooooooooooooooooooooo.... Collaboration yoyote ya Mario hua hit direct 💕💕💕one love my people.. love from kenya..Wapi likes za TZ artist
The best song of album 🔥🔥🔥🔥
Barnaba nmekukubali brother pamoja na kaka marioo.. u guys mumekill sana
This is Barnaba Boy Classic, i see you brother Marioo, its more than fire you killed it perfectly 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My favourite song 👌👌🔥🔥 my big brother congratulations for this BG album ❤️❤️
Guys if you love music let me seen your comments here
Huu Ni Moto
♥️❤♥️❤♥️
Nafikiri huu wimbo ukitoa chekutua alioimba na kiba ndio wimbo mzuri zaidi kuliko nyimbo zote zilizobaki! Marioo sauti yake sijui Ina Nini! Yaani akiimba nyimbo hizi za kubembeleza moja kwa moja sauti yake Ina connect na hisia pamoja na moyo wa msikilizaji! Very powerful and touching voice! Kazi nzuri Sana!
Point
This is my favorite song from the album 🔥🔥🔥🔥🔥
BEST TRACK FROM THE ALBUM 💥❤🇹🇿
Marioo mtu bad. Hiii ndio Good song katika zote
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿msanii uyu jaman nampenda sanaaaa
My favorite songs from LOVE SOUNDS DIFFERENT #TRUST Dis is next level 🏆✊🙏
Shiiiiiiiiiiiii Badnation ❤️🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
#marioOmarykichwaa💯.
My favorite song in this Album 👌🏽👌🏽
Album mzmaa Huyu Mtoto Ameuaa Uwomg Dhmbh Brooo
woooo🤭🤭Mariooo umetishaaaa🔥🔥🔥
This guy marioo really touches my heart with his voice 🥰🥰
Ngoma Kali Sana'a hii kwenye album kwa sisi tunaojua mziki mzuri sikiliza maneno na melody na beat
This is new sound in East Africa, you’re de beast, barnaba ungeimba mwenyewe hili goma ni balaa
🤍New Addiction 🤎🎶Forever abusing this song 🎶 Isssaaa New Anthem 🔥💯This Album 💿 is lit 🔥 Barnaba you deserve trophy! You nailed this Album 💿! Marioo you ate this song 🎶 💯💫💯
Hii nyimbo ndo kali album mzima isipofika mbali hii nyimbo mniite mbwa🔥🔥🔥
but being honest, we all admit that this is one of tanzania's best released albums for a couple of years😫🔥🔥 damn!
Fact
Kabisaaaaa
what a beat , what a voice what a combination 👏 😍 👌
One to 10 this get number 1 on this album🚺❤️
Hongera kaka
Marioo nakwambia duh 🔥🔥❤️❤️
This song should strictly play on my wedding 🥹
Mario ni msanii mkubwa sana hii melody ni kubwa sana
This is the best in the album🌟
Mario killed it 🔥
Marioo has now become a brand you can miss him in your album
Marioo manze much love 💕 some from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪👊
Marioo hizo vocals wow 🔥🔥🔥 unatisha kweli
Ngoma kalii sanaaa...marioo kaua mazima🐾🐾🔥🔥🔥....mario unawanyima usingizi wasanii wakubwa..wanakuwaza sanaa
KALI ALBUM NZIMA
Sheeeeeesh marioo🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯❤️❤️
This song deserves a video when it is still hot ...🔥
Barnaba ft marioo never disappoint
when marioo sings the song becomes really touching
For real
@@bobsalim4285 we all agree on that
There at somepoint when you see Marioo's name on your youtube screen you already know that is a hit.
@@wasaficlassic5070 true
This man Marioo
Barnaba, Marioo, you guys my best artists mazee, mentor wangu wakubwa sana, i love always your work, ❤❤💓
When the best meet it's owesome
Well done Barnaba n Marioo
2 of my favorites in one tune!!!!!🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾MAD 🔥
Baddyy🔥🔥mario mtoto mbya✨💯Chiii
Mkuu nesikiliza ngoma zako sana tangu kitambo kile muhanga. Duuuuh hili goma is the best is my number 1.big up sana mkuu
Hii ndo nyimbo bora Kweny album.🔥🔥
#kwer wengin Marioo na jux wengin waneimba uarisho to ila Marioo namb 1 sijaon goma karii mpak rinakera
Kenya tunapenda, huu ni mwaka wa Marioo 💥
Anything involved with Mario MUST be lit🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii Kali sana one love jamaa zangu Tanzania 🇹🇿…. Big up from Kenya 🇰🇪 more love
Ukimshirikisha Marioo itabidi uwe makini sana
Ngoma kali sana iyo love much from drc lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
I’m getting married to this song 🥺🥺🎶✌️❤️❤️💃💃
best song in the alburm
Marioo u kill it 🔥from🇰🇪
Toto bad 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
My best song Mario nakupenda sana the way unaimba💪💪💪
Just imagine this song in heavy speaker...🔥🔥🔥 Abbah the monster..😎😎 #Marioo #barnaba.🔥🔥🔥
Kali yao
Marioooooo u kill it❤️❤️❤️👌
Love mario from kigali 💞💞💞💞🔥🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼💞💞💞