LISSU AFAFANUA UTATA KUHUSU KUMPIGIA KURA MBOWE |HATA CCM WANAUPANDE KWENYE UCHAGUZI | AMKATA WASIRA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 19

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 9 днів тому +1

    😂😂yaan waandishi bhana hata kama hujafanya wao watafanya uingie 18 zao ili ubabauke kujibu swali lao😂😂😂😂🙌

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 7 днів тому

    Lissu,,wewe ni mwalimu,,wewe ni darasa,,tena darasa la chuo kikuu,,huwa nakuelewa sana,,lissu umekiponya chama

  • @gastomushi-v4m
    @gastomushi-v4m 10 днів тому +5

    Lisu ni machine kiboko ya mafudenge

  • @gilbertngowi2072
    @gilbertngowi2072 8 днів тому

    Ukimuangalia Lisu mda mrefu unamuona Magu. Hongera mwenyekiti tuko na wewe. .

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga 9 днів тому

    Mtukuzeni Sana lakini mtaweza kumwelewa bado kitambo kidogo tu

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 10 днів тому +2

    Chuma kimeingia mzigoni

  • @MakuoeJafary
    @MakuoeJafary 8 днів тому

    Sasa Mimi ccm Ila nakuomba ubadili Aina ya uongeaji ongea kiuongozi siyo kichawa Kam MDA ule

  • @marthaswai1185
    @marthaswai1185 4 дні тому

    Kugombea wote wawili kulileta kuipaisha CDM.Ni vyema kazi ifanyike sasa.Hata hivyo msingegombea kama CDM ingekuwa dhaifu.Mbowe kama amelamba asali ,kwanini msifukuze na wengine wote waliokuletea rushwa ili kusafisha chama ???

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 9 днів тому

    Ila mvutano ni mzuri ili ujue ubira wako na wanachama wajue ulivyo bora

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 10 днів тому +2

    Mm ni CCM damu, Damu. Kindakindaki. Ila pongezi sana CHADEMA mmeonyesha ukomavu sana mko juuu

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 9 днів тому

    Lisuu oyeeee Mbowe oyeeee, CHADEMA OYEE

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 9 днів тому

    Mbowe.mjinga.mchaga wa wapi??.asiejua upepo wa kusini na kaskazini hafai mnamwita mtoto wa.mjini mjinga sibora.mkulima wa singinda

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai 8 днів тому

      Tueleze huo ujinga wake kulingana na ujinga wako wewe.

  • @marymremi1051
    @marymremi1051 7 днів тому

    脑那个啊

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 10 днів тому

    Ila nitafurahi ukimtoa mwendazake Mfalme wetu Magufuri .leta Sera tuijenge nchi

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 9 днів тому +2

      Anamtoaje sasa wakati yeye ndie aliesababisha akawa hivyo alivyo Sasa?

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid 9 днів тому

    Mpumbavu msenge