MAPOKEZI YA JPM KALIUA TABORA AKITOKEA KIGOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 130

  • @margarethorgenes4874
    @margarethorgenes4874 4 роки тому +9

    AYO umetenda Haki kwenye kuonyesha eneo lote umewazidi hata TBC Hadi inafurahisha maana tunaona nyomi yoteeeeeeeeee.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 роки тому +4

    Magufuli furaha yako ndio furaha ya Taifa letu umefurahi tumefurahi mungu atubariki sote a tuepushe na mabaya AMINA TUNAKUTAZAMIA TUNAKUTEGEMEA JPM

  • @janethmrishi5370
    @janethmrishi5370 4 роки тому +8

    Nchi umepata baba tunakupenda Sana ccm oyeeeee

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 4 роки тому +4

    Mwaka uhuu baba kasema tusi mchanganyie tarehe 28 jicho letu ni kijanituu 👍ccm oyeeee

    • @janethmrishi5370
      @janethmrishi5370 4 роки тому

      Ndy mafinga 3 yote ni ccm oyeeeeee

    • @peterjohn1969
      @peterjohn1969 4 роки тому

      @@janethmrishi5370 😘😘😘❤

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 4 роки тому

      Kijani ndio nembo ya ya Rutuba ya Tanzania nyekundu inahusu nembo ya mataifa wauwaji

  • @stephenpaul8679
    @stephenpaul8679 4 роки тому +10

    Mzee Fanya kazi siasa waachie wengine

    • @andulilemwakihabha2048
      @andulilemwakihabha2048 4 роки тому +1

      Hapa Kazi tu

    • @JohnWick-tl6zt
      @JohnWick-tl6zt 4 роки тому

      Leo Ni SIKU nzuri 🌹 nawe Ni Mtu wa Muhimu sana, nina Imani una Bando . pata Kisa Cha Nyerere 🎇 ua-cam.com/video/4TlVwbmMr3Y/v-deo.html

    • @stephenpaul8679
      @stephenpaul8679 4 роки тому

      Jon wick nitaangalia nikifika tz uko nilipo mega zinasumbua sana

  • @olivadickson1466
    @olivadickson1466 4 роки тому +6

    Magu nakuombe usk huu sana 🙏 unafanya kazi kubwa bb wa mbinguni akupe maisha mema ⚒️⚒️

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 4 роки тому +1

    Magufuli firee kaliua balaa kotee anakopita magufuli endeleeni kumpokea kwa shangwe kama lotee jaeni sanaaaa

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 4 роки тому +2

    Piga kazi baba laooo Jpm naona mashoga wanateseka sana🤣🤣🤣🤲🤲mungu akupe afya njema ushinde ushindi wa kihistoria

  • @stevenkaboku2208
    @stevenkaboku2208 4 роки тому +5

    na watu bado wanamiminika tanzania yetu inchi yetu raisi wetu

  • @zakariagitano4680
    @zakariagitano4680 4 роки тому +5

    Hizo nondo alizotoa za nguvu kuwaombea wabunge na madiwani razima wapgiwe kura kwa wingi sana

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 4 роки тому +2

    TUNAKUPENDA SANA KIPENZI RAIS WETU. MUNGU ATULINDIE JAMANI

  • @Johnmasanja27
    @Johnmasanja27 4 роки тому +12

    Magufuli baba lao

  • @freddymurinde9149
    @freddymurinde9149 4 роки тому +11

    Makufuli ni rahisi wa anatakiwa aongezewe muda zadi miaka 20 wenye wivu wajinyonge.

  • @gwajiboiboi8664
    @gwajiboiboi8664 4 роки тому +1

    Duuuuuuuuh Ni Mara3 ya Mapokezi ya Wenzetu na Majirani Zetu Mashoga Kule Mbeya

  • @thomasbussa5301
    @thomasbussa5301 4 роки тому +3

    Me naomba tu
    Atutatulie hii kero ya hospitali ya wilaya urambo
    Kwanini tunalipishwa elfu tano 5000/=mapokezi?
    Na kwanini tena mama mjamzito akijifungua, anatozwa shilingi elfu tano 5000/= anaporuhusiwa ?

    • @seleseleli7064
      @seleseleli7064 4 роки тому

      Ndo mkome si mmeipenda wenyewe wacha iwanyooshe

  • @godfreyedwin3096
    @godfreyedwin3096 4 роки тому +2

    Mungu ibariki Tzania Mungu umbariki rais wetu Dr. John Joseph pombe Magufuli amen

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 4 роки тому +1

    Mungu Akupe Afya njema Mzee Wangu.

  • @galawesakayala806
    @galawesakayala806 4 роки тому +4

    Raisi anayejiamini,anasema akiwa huru,anaomba wananchi wasimwangushe wamchagulie wabunge na madiwani ccm.hongera mh.mitano tena

  • @starcostantine6250
    @starcostantine6250 4 роки тому +2

    Du hii ni hataree CCM ni otooo JPM anakubalika

  • @Bongovillagex
    @Bongovillagex 4 роки тому +5

    Kijani wakuhesabu

  • @ابوابرهيم-ر5خ
    @ابوابرهيم-ر5خ 4 роки тому

    📹HOSPITAL NZURI SANA YA GOROFA ILA DAWA HAKUNA PUMBAAVJPMCCM📹

  • @mwambatv5202
    @mwambatv5202 4 роки тому +4

    Millard mmekuwa wanafki sana, mbona mikutano ya upinzani hampost

    • @leonelleo4425
      @leonelleo4425 4 роки тому +1

      Wewe ni kuma..ni mara ngapi ameposti..na usipangie watu nini cha kuposti kwenye channel zao..
      Anzisha UA-cam channel yako na uposti utumbo wa wapinzani.

    • @canibalgazaboy8325
      @canibalgazaboy8325 4 роки тому +1

      Wew mwenyewe si una Tv MWAMBA TV sasa kwa nin usiwarushe hao watu wako wa upinzani

    • @devidpanja115
      @devidpanja115 4 роки тому

      Kwanu kuna upinzani tz

    • @yusufuvea5311
      @yusufuvea5311 4 роки тому

      @@leonelleo4425 umejua kumjibu uyo zezeta

    • @seleseleli7064
      @seleseleli7064 4 роки тому

      @@leonelleo4425 Acha matusi wewe mtoto wa kiume utafyokolewa bulee na ushoga wako

  • @tabumussa6705
    @tabumussa6705 4 роки тому +1

    Jamani rahaaa sana MAGUFURI oyeeee

  • @veronicabenezeth6602
    @veronicabenezeth6602 4 роки тому +2

    Nataka niwaeleze ukweli ndiyo msamiati pekee.Nenda darasani Dr.ukaongeze misamiati huchaguliwi saw hizi.

    • @kasalimareju6052
      @kasalimareju6052 4 роки тому

      Uyu mzee bwana MUNGU anamuona maana ilo neno la ukwel ilo sijui Amaliamiaje?

    • @devidpanja115
      @devidpanja115 4 роки тому

      Vero muache rais wetu

  • @crispius7271
    @crispius7271 4 роки тому +6

    Mapokez ya kigoma haya mfanooooo👍👍👍👍

    • @khamissnassor1462
      @khamissnassor1462 4 роки тому +4

      tulienda kuangalia show wala msijifariji CCM ovyooo tu

    • @ruthenock4540
      @ruthenock4540 4 роки тому +1

      @@khamissnassor1462 uliitwa mfiyuuuuuuuuu

    • @khamissnassor1462
      @khamissnassor1462 4 роки тому +3

      @@ruthenock4540 show tumeangalia bure na kura hatuwapii 😀😀 inauuma ila itabidi mzoee,, imeisha hioo

    • @eischerschwederm7876
      @eischerschwederm7876 4 роки тому

      business kwahiyo wewe shoo tu ndo ikufanye uuze utu 🤣🤣

    • @eischerschwederm7876
      @eischerschwederm7876 4 роки тому +1

      business halafu sema mimi nipo kwenye mitandao huku kufokea wana CCM kwasababu its killing inside 💃

  • @royalsecuritysolutions5610
    @royalsecuritysolutions5610 4 роки тому +1

    FUNDI UMEME TZ- 0710201330
    🔴Karibu tukufanyie wiring ya kisasa kabisa yenye mifumo yote inayojitosheleza.. sheria zote za umeme zinafuatwa (I.E.E Regulatio) ili kupata matumizi sahihi ya nishati ya umeme pamoja na uimara wa mifumo yote ..
    ➡️Usikubali kufanyiwa wiring na fundi ambaye hana utaalamu au hajakidhi viwango vya kufanya kazi hiyo .
    🔺Madhara ya kufanya hivyo ni makubwa ikiwa ni pamoja na matumizi makubwa ya umeme ambayo hayaendani na matumizi haisi .
    🔺Kuungua kwa vifaa vya ndani kila mara
    🔺Hatari ya nyumba kuungua moto hi.
    KARIBU KWETU UPATE KINACHOSTAHILI ,IKIWA NI PAMOJA NA USAFI WA KAZI NA UBORA . TUNAFANYA KAZI POPOTE KWA UAMINIFU MKUBWA SANA
    0710201330

  • @veronicabenezeth6602
    @veronicabenezeth6602 4 роки тому +4

    Hapo hakuna sera JPM.

  • @athumanijumanne4685
    @athumanijumanne4685 4 роки тому +6

    Ila kumbuka kauli zako mzee maendeleo hayana chama .

    • @edinadevis3856
      @edinadevis3856 4 роки тому +1

      Mzeee baba katishaaa kura yangu unayoo sababu najua, from mbokokomu moshi vijijini ,ila akiahidi moshi vijijini kura Kama zote Ccm hoyeeeee naitakua kwajina la yesu.

    • @edinadevis3856
      @edinadevis3856 4 роки тому +1

      Ccm hoyeeeee, tunaomba San kijani itawale, Ccm ishinde kwa kishindo, chagua Magufuli Ccm chagua mmbunge Ccm chagua madiwani Ccm mpo? Ccm hoyeeeee,

  • @johnmichael1898
    @johnmichael1898 4 роки тому +5

    😂😂😂 et manati ✌ ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 роки тому +5

    Safi Mr president

  • @falesiboniphace2194
    @falesiboniphace2194 4 роки тому +1

    Mmmmmh! Maendeleo hayana chama,lkn akichaguliwa mpinzani maendeleo hakuna kupata.Mh. raisi mmmmmh

    • @mimiwewe6617
      @mimiwewe6617 4 роки тому +1

      Kwan hao wapinzani wanakubali maendeleo we si unaona jinsi wanavyopinga kila kitu

  • @jumamkumbwa4513
    @jumamkumbwa4513 4 роки тому

    Hata wakiombwa wewe ndio uruhusu umeamua kuishikilia nchi nakujiaminisha wewe ndio last say mungu anakuona

  • @suleimayahya2099
    @suleimayahya2099 4 роки тому +2

    Kilometa 5 zimejingwa 2 miaka 5

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 4 роки тому +1

    Vipi,wasanii wasingekuwepo tusinge kuja ,maendeleo hayana chama ,hatuhitaji punje za mahindi ilituapigie kura maendeleo nihaki yetu ,sote ni walipa ushuru.

    • @macaroeliya4609
      @macaroeliya4609 4 роки тому

      Kaliua kulikuwa hakuna wasanii. Ni mapenzi ya wanakaliua kwa Raisi wetu.

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 4 роки тому +1

    CCM OYEEEE 💘✌

  • @danielalphonce1653
    @danielalphonce1653 4 роки тому +6

    Hivi hapo watu hawajaja kumuona Ally Kiba na Harmonize

    • @jordanfromyt2861
      @jordanfromyt2861 4 роки тому

      Daniel Alphonce swali gani Hilo?

    • @danielalphonce1653
      @danielalphonce1653 4 роки тому +2

      @@jordanfromyt2861 mbona swali zuri maana kuna wahuni f'lan hivi wadai JPM bila wasanii hawezi kujaza watu...

    • @khamissnassor1462
      @khamissnassor1462 4 роки тому

      @@danielalphonce1653 we huskii sauti za wanawake wazee wa kufuata mkumbo

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 4 роки тому +4

      @@khamissnassor1462 utapata tabu sana ukiwa na wanawake ujue basi umepita

  • @veronicabenezeth6602
    @veronicabenezeth6602 4 роки тому +2

    Ukweli wako ni kwamba Bado hujawaongezea watumishi wenzio mishahara.

    • @johaally669
      @johaally669 4 роки тому

      Kampingie kula tundu awaongeze ili nyoyo yako isuuzike

    • @kasalimareju6052
      @kasalimareju6052 4 роки тому +1

      Umesema kwel yeye anaonaga rami

    • @hamisisonga9342
      @hamisisonga9342 4 роки тому

      Tunajenga inch kwanza kama unapokea laki tano zinakutosha kama huwez acha kazi Fanya biashara watu ambao hawana kazi watafanya inch inajegwa wewe unataka tumbo lako kwanza vp bwana wewe

    • @devidpanja115
      @devidpanja115 4 роки тому +1

      Unafkir mshahara utakuja kukutosha acha uboya tafta pesa

    • @hamisisonga9342
      @hamisisonga9342 4 роки тому

      @@devidpanja115 kweli babu mtu anae pokea milioni na makato atapa laki nane hazimtoshi bado sana binadam tumeumwa na tamaa so hat mtu ukimlipa million 10 atakwambia mshahar mdogo ndio maana bilionea bad wanafanya ili azid pata pesa hajaridhika hahahhahahahahahahah pesa haitoshi kila siku

  • @kelvine6167
    @kelvine6167 4 роки тому +4

    ahahhahahahhahah ndo maendeleo hayana chama hayooooo

  • @msimrehani9725
    @msimrehani9725 3 роки тому

    Wanyooshe magu

  • @wilfredmlaki822
    @wilfredmlaki822 4 роки тому +1

    Magufuli oyeeeeeee

  • @peterwilliam5411
    @peterwilliam5411 4 роки тому +3

    🙏🙏🙏🙏

  • @mariavianeypeter2991
    @mariavianeypeter2991 4 роки тому +1

    Magu safiiiii

  • @khamissnassor1462
    @khamissnassor1462 4 роки тому +4

    *CCM hovyoooooooo* 😀😀😀

  • @youcallbbh9607
    @youcallbbh9607 4 роки тому +5

    Maguh ndo raisi wengine chenga tu

  • @neemajuman5213
    @neemajuman5213 4 роки тому +1

    Mziki huo damond

  • @bundukitv1322
    @bundukitv1322 4 роки тому

    Njia 7 rahisi za kutibu KIPANDAUSO
    www.mrbunduki.com/2020/09/jitibu-kipandauso-kwa-njia-hizi-7-za.html?m=1

  • @directorshebby2240
    @directorshebby2240 4 роки тому +2

    😍

  • @jericojacobo3342
    @jericojacobo3342 4 роки тому

    Hili nyom c mchezo xjuikusoma jamni hata picha nisipne

  • @monicaupendo9511
    @monicaupendo9511 4 роки тому

    Ccm oyeeeeeeee

  • @nass.pofficial4086
    @nass.pofficial4086 4 роки тому +1

    Naomba saport zenu me kijana wenu no msanii naomba munipokee
    ua-cam.com/video/BrWgfUmV_RY/v-deo.html

  • @joshuamkupi6893
    @joshuamkupi6893 4 роки тому +3

    HATIMAYE ZITO KABWE AJIUNGA CCM💥💥🔥❗️
    Link👇👇
    ua-cam.com/video/m915JRu4XCs/v-deo.html

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 4 роки тому +1

    Hata mm sijaona mkutano hatamoja uliojaza watu kama wa lisu,kama huu ccm huu ndo mkutano wakwanza unaoweza kukaribia nyomi LA mwana mageuzi ya kidemocrasia,mbeba maono tundu lisu.

    • @malahimartine4397
      @malahimartine4397 4 роки тому +1

      Una utani ww na cha ajabu unaongea bila kujua unaongngea nn, yaan mkutano gan wa lisu ulifikia ata robo ya nyomi la Chato, mwanza na sehm zingne yaan lisu ata moja ya kumi ya population hajafika tangu aanze kampen, au ww una makengeza nn

    • @zainabumwagiroabdallamwagi97
      @zainabumwagiroabdallamwagi97 4 роки тому

      @@malahimartine4397 labda sioni maana lisu hana alikiba wala wasanii watajika wala malori yakuongeza vichwa na makada lkn wananchi ni siafu waliojitokeza kumuondoa nyoka aliye gonga mbuzi.hiyo niishara ccm imezeeka kilicho baki ni hasira,tuu.hataww bila shaka umekasirika ,ccm haiwezi kujibu hoja kwa hoja,

    • @hamisisonga9342
      @hamisisonga9342 4 роки тому +2

      Mbona unajielewi zainabu pole dadayangu kwani ccm ndio Mara ya kwanza kufanya kampen na wasinii jakay alaifanya na wasanii 2010/ kumi na tano magu alaifanya na wasanii sasa unashangaa 2020 kuona magu anafanya na wasanii

  • @jumambonga5266
    @jumambonga5266 4 роки тому

    T2020JPM

  • @danwayne786
    @danwayne786 4 роки тому

    Video moto

  • @abubakarimussa1637
    @abubakarimussa1637 4 роки тому +1

    ✌️✌️✌️✌️✌️

  • @rabanikisusi386
    @rabanikisusi386 4 роки тому

    Mhhhhhhh!

  • @rayvannymohamed3339
    @rayvannymohamed3339 4 роки тому +1

    Acha uongo mm wakaliua

  • @veronicabenezeth6602
    @veronicabenezeth6602 4 роки тому

    Mvuto huna JPM.

    • @margarethorgenes4874
      @margarethorgenes4874 4 роки тому +1

      Mwenye mvuto Nani unayemtaka ili aku aku aku aku aku......,......Pole.

    • @andulilemwakihabha2048
      @andulilemwakihabha2048 4 роки тому

      Mvuto anao bwana ako hapa Kazi tu

    • @modestamgongolwa4331
      @modestamgongolwa4331 4 роки тому

      Hapa kazi tu mvuto kwenu kwani anatafuta mchumba hapo mpaka useme Hana mvuto

    • @stephanomgalla4709
      @stephanomgalla4709 4 роки тому

      Aposawa mze

    • @rahmaoman5122
      @rahmaoman5122 4 роки тому

      Kahaba mkubwa wewe naona unawashwa maana kila idara upo sijui umetumwa nahuyo shoga wenu lisu nyooo😏😏😏

  • @bundukitv1322
    @bundukitv1322 4 роки тому

    Njia 7 rahisi za kutibu KIPANDAUSO
    www.mrbunduki.com/2020/09/jitibu-kipandauso-kwa-njia-hizi-7-za.html?m=1