Mmh hata kama umezoea kuua ndo ukaue hadi Padre uwiii hujihulumii maandiko yanasema ukiua kwa upange utakufa kwa upanga maandiko hayajawah kubadirika .Raha ya Milele umpe Ee bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa aman Amina
😭😭😭😭😭😭Mungu zitakase nafsi zetu yaarab unyama gani huu jamani hivi unakuwa namtu wakawaida kwelii unafanya jambo gumu kama hili huyo alifanya unyama huu roho yahuyo ndugu yetu itamsimbua hadi ajutee
Mauaji yamekuwa mengi mimi nilijuwa nchi zingine inavyosemakana watu wanauliwa wanateswa wanatolewa figo heee kumbe Tz ndio inaongoza kwa mauaji mtihani kwakweli duh
Unasemaje? Au unajua? Kwa kauli yako kajiua, manake kanichinja kutoa KICHWA kisha akaniviringisha kwenye blanket na kujitupa mtoni sio? Kuwa na staha ndugu, hebu fafanua kajiuaje?
Mmmh ila mim sii msemaj Mungu kapigane na waliofanya huo unyama kama huo. Amina
Jaman Dunia imeisha ubinadam aupo mungu tukumbuke 😭😭😭
Kamanda anaonekana yuko smart Sana mfata Sheria...Safi sana Mungu ambariki na pole Kwa wafiwa
Mmh hata kama umezoea kuua ndo ukaue hadi Padre uwiii hujihulumii maandiko yanasema ukiua kwa upange utakufa kwa upanga maandiko hayajawah kubadirika .Raha ya Milele umpe Ee bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa aman Amina
Jamani jamani 😭😭😭😭😭
Mungu turehem Hadi watumishi wanauwawa jmn
Ee mungu
Dah inauma sana 😢
Jmn hii nchii tunakwenda wapi eee mungu wangu😭😭😭
Kuna sababu zake ila watu hawajui
@@mamialsawafi8020 Mami unaweza kutujulisha tujue kama wewe unajua
Mmmh pole yake aisee R.I.P padre
Jamani Mungu tuhurumie kwakweri
Uchunguzi Tanzania mara zote hazijawahi kuzaa matokeo chanya,
Daaaa!! Hatari sana
Waziri wa mambo ya ndani jiuzulu mauaji yamekua mengi
My country is too wase now😭
Mapadre wengi huhusishwa na vitendo vya ngono. Ndo chanzo cha mauji ya walio wengi
Kweli pengine alihisiwa kuwa na mahisiano na mtu wa mtu
😭😭😭😭😭😭Mungu zitakase nafsi zetu yaarab unyama gani huu jamani hivi unakuwa namtu wakawaida kwelii unafanya jambo gumu kama hili huyo alifanya unyama huu roho yahuyo ndugu yetu itamsimbua hadi ajutee
Eti Tanzania ni nchi ya Amani 😥😥😥😢😢
😭😭😭😭
Daaa jamani unyama gani huo
Hifi jaman mbon watu wanauwa sana binadam wenzao yan mpk nishindwa kuelewa
Mtihani sasa kwakweli
Mmmmmh
Tanzania nchi yngu kuna nini jamn 😭😭😭😭😭
Jamani kunanini mbona Padre aliye kufaga mwenye teki na uyu wote ni shirika moja police chunguzeni
Huyo alikutwa na mke wa mtu ndio maana kauliwa mapadili wengine wanahisababishia tu
He na mazabahuni tena jamani mungu awakamate waliofanya jicho kitendo ola siku waliokamatwa watajua kuzaliwa
Jamani watu wa Tanzania bara mbona mnsuana kikatili kila siku badae mnasema hii nchi ya amani
Uchunguz wa Tz hauna mashiko
Dah Mungu aikumbuke nchi hii, so bad mtu anauwawa kama mnyama
Uwaniaji wa Vyeo mara nyingi husababisha vifo Kama hivi kanisani
Kwakweli niatali
Duuuh ni atar kwa kwer nchi hii
Miye naona ata bendera wabadili rangi waweke nyekundu tu maana kila muda damu za watu zinamwagika vita ya wenyewe kwa wenyewe
Poleni sana
Binadam anachinjwa kama mnyama bila huruma dooh!
Ata Padre wetu Fransis kangwa alipotea na akakutwa kafariki sasa sijui mapadre wamewakosea nn jmn
🙄🙄Eeh
kwani tanzania inanini jamani
Mauaji yamekuwa mengi mimi nilijuwa nchi zingine inavyosemakana watu wanauliwa wanateswa wanatolewa figo heee kumbe Tz ndio inaongoza kwa mauaji mtihani kwakweli duh
Walisema jpm na makonda wauwaji
Mh
Mbeya. Meanza balaa ( ushirikina huo)
Jpm aisee tutakufufua tu
Wakati wa Jpm hayakuwepo haya?yalikuwepo,Watanzania tuwe na hofu ya Mungu,vinginrvyo tutajimaliza wenyewe,Mungu tuhurumie.
Hata huyu kajiua
Unasemaje? Au unajua? Kwa kauli yako kajiua, manake kanichinja kutoa KICHWA kisha akaniviringisha kwenye blanket na kujitupa mtoni sio? Kuwa na staha ndugu, hebu fafanua kajiuaje?
Prince denice uneongea pumba sjui kama we n mzima
Mmmmh