Mungu anajua kabisa alichotufichia kwenye nyimbo tamu kama hizi. Asanteni saana. Brother Tumaini; aaah wewe basi tu! Mwenyezi Mungu awatunze, mbarikiwe saaaana♥️
Jamani sauti ya pili kwenye beti uwiiii mtaniua Mimi naimba mpaka nywele zinakua jaman mimiiiiii....... Nawapenda sana alto Mbarikiwe pia kwaya mzima mmeimba vizuri ❤🎉🎉🎉🎉🎉
Two months later…. And I can’t have enough of this beautiful song! 😩🥹❤️❤️🙏
Kweli Bwana ndio alfa na omega🎉🎉asante kwa wimbo mtulivu mtamu😊
Mwalimu Tumaini,mungu azidi kukubariki na kukuongezea maarifa🙏💪
Hongera sana mw swai kwa wimbo mzuri halafu waimbaji pia wameutendea haki wimbo huu hongerenisana by Festo mnjia mtinko singida
Mungu azidi kuwaongezea sauti tamu na muendelea kumsifu Mungu..mwalim swai Mungu akupe maisha marefu
Mungu anajua kabisa alichotufichia kwenye nyimbo tamu kama hizi. Asanteni saana. Brother Tumaini; aaah wewe basi tu! Mwenyezi Mungu awatunze, mbarikiwe saaaana♥️
Amina kaka Gasper
Asante sana
Kazi safi,,, hongera sana fel❤❤❤
Kwakweli hongereni sana kwakuimba vizuri mungu awabariki kwakuwa mnamsifu vizuri sana MW swai hongera sana
Wow🎉,, lovely song,, Alfa na omega,,,sauti nzuri sana 🔥 na video💯🔥🥰
@@Arati3 Thank you 😊
Chris kilonzi says congratulations 🎉🎉🎉😊
Very nice❤ adoration song,
sound and beats takes me on my knees🙏
Hongera mama🎉🎉
Mungu ni yeye milele hata milele. Naabudiwe daima
Hongera sana dada felista❤❤ wimbo mtamu🎉🎉🎉
@@VeronicaAdamu Asante sana mrembo
Mungu akubariki sana T swai kutoa vitu vikali
Mwalimu swaj Mungu akupe maisha marefu na muendelee kumsifu Mungu
Amina
Great song ❤
Mbarikiwe kwa wimbo na sauti nzuri
Hongera sana dada. Kweli yeye ni Alfa na Omega
Amina...❤❤❤
Congratulations 🎉 my colleague feli and your team, nice melody he is truly Alpha and omega God bless you great people
@@rebeccahsang7416 🙏🙏
Hongereni sana, melodi na ujumbe umetulia sana
Kazi nzuri dada❤
Hongereni kw Kaz nzuri hakika Atlanta mlopew na Mungu mmeitekeleza hakika mbarikiwe
Wow ...kazi tamu sanaaaaa
kazi safi
Hongera sana,,wimbo mtamu❤
@@sylvia430 Thank you
Nice @felistas🎉🎉wimbo mtamu....Alfa na Omega
@@mwanikikennedy77 Asante sana Mwaniki
Mmeimba kwa hisia adi raha jamani.❤
Huu ndiyo utunzi bora kabisa, wimbo mzuri hadi raha.
Moja ya kishua...
❤❤❤ 3:16
Uliyekuwa kwanza, Uliyeko, Utakaye kuja🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@wangarikangangi3727 Thanks gal
Wewe ni alfa na omega ,wewe ni mwanzo na mwisho.Wimbo mzuri sana dear😊❤🎉🎉go go gal❤❤
@abigaelmumbua432 Thank you my dearest 💖 ❤️
Hongera dada, naomba nota zake kama inawezekana@@felistasmburugu
Congratulations sister@@felistasmburugu
Waaooooaaahhhhh...tamu sana......sauti maridadi...kinada nacho kiko top...exparts
Jamani sauti ya pili kwenye beti uwiiii mtaniua Mimi naimba mpaka nywele zinakua jaman mimiiiiii.......
Nawapenda sana alto Mbarikiwe pia kwaya mzima mmeimba vizuri ❤🎉🎉🎉🎉🎉
Amen, , Hallelujah glory to God
Kazi nzuri sanaa .kipaji kitukuzwe
Wewe ni mungu ni wa jana, leo na hata kesho.Wimbo Mzuri sana🎉
❤ that dress is killing.... nice song for adoration... congratulations cuz
Hongereni sanaaa ❤❤❤❤
Woow nice one
Wew ni Mungu uliyekuwako na uliyeko na itakayekuja❤🎉🎉🎉🎉
Anastahili.sifa.zote.milele.namilele.👍haleluyaa
@@daudimhoha320 Amina
Awesome. Keep on keeping on
Wow this amazing hit congratulations feli. Kweli yeye ni alpha na omega yeye ni mwanzo na mwisho
❤❤ Hongereni sn
Kazi nzuri felistus 🎉🎉🎉
kazi safiiiiiii
Asante
Wewe ni Mungu Kweli 🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana dadangu na team safi sana kwa Wimbo huu wa kufana sana
Wimbo mzuri Sana hongeren Sana waimbaji mko vizur sana hongera zaid kwa dada felista🎉🎉❤❤❤
Wimbo mtamu Sana,,God bless you
Awesome
Mwanzo na mwisho wangu ni wewe Mungu
Ibwega Felly mwathani akutharime na ngugi yaaku🎉
@@mamanikita2026 Ibwega mono itu my sister 💜
Kazi nzuri. Hongereni sana🎉🎉🎉
Good job team. Congrats 🎉🎉🎉
Amina.. Mbarikiwe kwa wimbo mzuri
Asante sana
Wimbo mtamu sana
Moja safi sana❤❤ weka score mtandaoni... Tuupakue kule
@@frdiazgirls sawa .
Congratulations
Swai you never disappoint 🔥🔥🔥
Good one ❤❤❤
Safi sana 🎉🎉🎉❤
Kaz nzur sana felii keep it up sis❤️🥳
A wonderful song, and great voices, congratulations Felly
𝕎𝕙𝕒𝕥 𝕒 𝕓𝕖𝕒𝕦𝕥𝕚𝕗𝕦𝕝 𝕤𝕠𝕟𝕘
Hongera sana mtunzi na wanakwaya wimbo na melodi zinagusa rohoni
I can't get tired of this song
Kazi njema
Good composition ❤
Lovely song. May the Name of our Lord be praised.
Wewe ni Alpha na Omega, Mungu ulikuwepo na utakayekuja
Kazi nzuri Sana Hongereni
@@musamabogo182 Asante sana Kaka Musa 🙏🙏🙏
Hongereni Sana Kwa uimbaji bora
@@AnnastaciaSafarin Asante
Congratulations Felly
Wonderful❤🎉 hongera my dear 🎉❤
Wonderful 👏👏
Hongera sana felistas and team.
Hello kwa composer na producers
Congratulations 🎉🎉🎉
Hongera kwa kazi nzuri👏
Everything is beautiful 🥰
@dianaraymond5170 Thank you Diana 😊 🙏 💓
Kazi safi🔥🔥🔥
Kazi nadhifu ❤
@@richardkingi660 Asante
❤❤ beautiful... Alfa na omega, beginning and the end, a very beautiful piece alafu the melody is just on point👌
Asante sana
Ubarikiwe sana Felister wimbo mtamu sana ❤❤
Kazi safi sana Felly😊👏 He is the beginning and the end👌
Keeping shinning ❤❤❤❤
Muziki mtamu kweli
Thank you Denis
Beautiful melodies 🎉🎉 Everything is on top 👌👌 congratulations dear and more Grace 🙏
Amazingly done, hongera Fel and the team, kweli Mungu ndiye Alfa na Omega❤❤❤
The world is changing drastically 🎉🎉🎉 congratulations 😊
I love quiet songs like this one
Wooooooooow🎉🎉🎉
Congrats, receive lots of love from this side❤❤❤
Good work my boss 👍. Be blessed.
Waooo...... Beautiful song n dressing is dope
Thanks gal
Hongera dada yetu, 👏👏
Thank you sana Gorret
Good work ❤❤❤❤❤
Good message
Congratulations Felly. Yeye ni alfa na Omega, aliyekuwepo na atakayekuwepo❤❤❤❤
@samkamuchwe3465 Thanks Sam 😊 🙏
I like it🎶🎵🔥
😍🔥🔥🔥
What an amazing song...God bless
A very nice song ❤😊
Congratulations dear sister 🎉🎉🎉
Guys thank you for your lovely song.
May GOD bless you.