JINSI YA KUREKEBISHA SINDANO ILIO VUNJIKA, NA SINDANO KUVUNJIKA MARA KWA MARA SABABU NI NINI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 28

  • @markvitalis1256
    @markvitalis1256 Рік тому +4

    Cherehani yangu inashida ya sindano kugonga kwenye pasi. Nimeangalia vzr inapita bila shida kwenye tundu la chini lkn inagonga kwenye pasi naomba msaada kwa ilo

  • @BeatriceMushi-n2y
    @BeatriceMushi-n2y 17 днів тому

    Samahani nimepanda hii nina shida kidogo cherehani yangu unashona uku unakata uzi sijui nifanyajenaomba misaada asant

  • @SaraphinaMwakisisya
    @SaraphinaMwakisisya 5 місяців тому

    Saiz inakata sindano nikiweka bobil naomba msaada apo

  • @yumnatz9742
    @yumnatz9742 2 роки тому

    Jinsi ya kuweka mafuta kwenye cherehani..? Teacher

  • @happymathew7414
    @happymathew7414 2 роки тому +1

    Je kuna nguo za kutumia namba tofaut za sindano? Mashine yangu haishoni nguo za mpira

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 роки тому

      si kila chereani inashona mpira kuna baadhi azishoni adi utumie karatasi

  • @aquelinendihokubwayo8578
    @aquelinendihokubwayo8578 2 роки тому

    Uzi wachini unasumbuwa gupandisha wanaupandisha je munisaidie asante

  • @francisanyingisye9974
    @francisanyingisye9974 8 місяців тому

    Naomba nisaidie namna ya kukaza mwichi wa sindano

  • @SaraphinaMwakisisya
    @SaraphinaMwakisisya 5 місяців тому

    Samahan yang inakata ikikutana na sindano ya chin

  • @mrsally-v1g
    @mrsally-v1g 4 місяці тому

    MShine ya ng inasumbu kwenye kushon
    😮

  • @mwalagomkare1760
    @mwalagomkare1760 Місяць тому

    Cherehe yangu meno yanshuka chini
    Nini thiba yake thafadhali

  • @safinakemibalo723
    @safinakemibalo723 2 роки тому

    Naomba unielekee kutengeneza kamba ya cherehani

  • @happymathew7414
    @happymathew7414 2 роки тому

    Naomba msaada cherehani yangu haishoni vizuri Uzi wa chini unajisokota

  • @glorymkony3986
    @glorymkony3986 2 роки тому

    Naomba unielekeze jinsi ya kuunganisha cherehani nzima kuanzia miguu, meza na kichwa cha cherehani

  • @JoseMission-tw5sm
    @JoseMission-tw5sm 8 місяців тому

    Naomba unisaidie jinsi ya kuyapandisha meno ya cherehan maana ukishona nguo ina ng'ang'ania nisaidie

  • @felistergeorge7364
    @felistergeorge7364 2 роки тому

    Naomba unisaidi nmjinsiyakuweka sindano

  • @barakajulias872
    @barakajulias872 2 роки тому

    Naomba mswada cherehani yangu kila nikirekebisha kama cjawek nguo unashona nikisema inavunjika

  • @aquelinendihokubwayo8578
    @aquelinendihokubwayo8578 2 роки тому

    Mimi nataka munisaidie gupandisha uzi rule uzi wandani ya cherehani wa upandisha je munisaidie

  • @LinaPatrick-d8f
    @LinaPatrick-d8f 9 місяців тому

    Jee ikiwa ngumu kushona ikiwa unashona nguo ya marinda

  • @edsonipareso4207
    @edsonipareso4207 2 роки тому

    Cherehani yangu inashida ya kuruka ruka nafasi kubwa na kutoshona kabisa,,,shida itakuwa nini??

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 роки тому

      rekebisha ukubwa wa mshono na shindano

  • @AminaKamau-v9v
    @AminaKamau-v9v 8 місяців тому

    Naomba msaada nina cherehan ni ya jukky ila tangu nilivyo nunua inanisumbua sana

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  8 місяців тому

      sasa tukupe msaada upi, mana hujaelezea ina shidagani

  • @athumanochu6769
    @athumanochu6769 2 роки тому

    Sumaiy

  • @HusnaSemindu
    @HusnaSemindu Рік тому

    Sindano yangu haishoni kabisa nikaelekezwa jinsi ya kukaza kwenye kidude huku kwenye ringi lakini bado inagoma

  • @joharimohamedy8717
    @joharimohamedy8717 2 роки тому

    Mashine yangu ningum yani mpaka miguu inauma msaada tafadhali

    • @sakapallaTV
      @sakapallaTV  2 роки тому

      Weka mafuta kila kwenye maungio