Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 30/10/2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Simba SC imeishushia kichapo kizito cha mabao 5-0 Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
    Pape Ousmane Sakho amefunga magoli mawili dakika ya 48 na 90 huku mengine yakitoka kwa Mzamiru Yassin dakika ya 38, Augustine Okrah dakika ya 63 na Moses Phiri dakika ya 73.
    Katika mchezo huo pia, wachezaji wawili wa Mtibwa Sugar Pascal Kitenge na Cassian Ponera walitolewa kwa kadi nyekundu kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana.

КОМЕНТАРІ • 186

  • @mariyamsalalah8204
    @mariyamsalalah8204 Рік тому +3

    Pira wanaume 💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯hakuna Cha kubebwa Wala nini Simba nguvu Moja❤️❤️❤️❤️

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 Рік тому +6

    Shukrun my team 🙏

  • @lizyboyofficialy3019
    @lizyboyofficialy3019 Рік тому +4

    Simba yangu❤️

  • @mxomalitz5909
    @mxomalitz5909 Рік тому +4

    This is simba 🔥🔥🔥🔥

  • @esbdemmanuelnikola9127
    @esbdemmanuelnikola9127 Рік тому +3

    🇿🇲🇿🇲🇿🇲🙏🙏🙏 ZAMBIA SIMBA NGUVU MOJA

  • @ilyasmuhsin3285
    @ilyasmuhsin3285 Рік тому +3

    I was waiting for this...

  • @esterkomba4072
    @esterkomba4072 Рік тому +1

    Walipania kucheza rafu imewaghalimu hinifundisho kwa timu zinazocheza hovyo Simba nguvu moja 💪💪💪💪💪💪.

  • @mrjerrytz2685
    @mrjerrytz2685 Рік тому +4

    Namba moja

  • @wemadavid1974
    @wemadavid1974 Рік тому +3

    Simba ♥️👌📌

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 Рік тому +4

    Hata mwanamke anawazidi kuchezesha vizuri wanaume pumbavu

  • @SIMBAYETUTV
    @SIMBAYETUTV Рік тому +4

    Simba moto

  • @razalomgala8935
    @razalomgala8935 Рік тому +5

    Kwaiyo yanga match zote mnazoshinda mnanunua ndio maana kimataifa mnaferi

  • @simonmagaigwa5496
    @simonmagaigwa5496 Рік тому +7

    Hiki kipigo kuna siku tutakitoa kwa timu fulani yenye misifa hapa nchini.

  • @jacksonmaphie3480
    @jacksonmaphie3480 Рік тому +19

    Wenye mnasema mech imeuzwa wachen fitina coz me hapo sijaona goli hata Moja la kizembe yote wachezaji wame struggle kuyapata Cha pili hakuna kadi hata Moja yenye siyo stahik wachezaji wamefanya mistake wamepata card so hapo hakuna wakulaumiwa kocha kafanya Kaz yake wachezaji wamefanya Yao😳😳😳 finally let's say viva Simba🦁🦁🦁🦁🦁💪💪💪💪👊👊👊

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 Рік тому +25

    Kama timu yako haijawai pigwa goli5 na Simba hapo kwa mkapa nyoosha kidole juu

  • @bukima_tv8557
    @bukima_tv8557 Рік тому +1

    Azam Tv you are the best in town

  • @mdakiyasin6939
    @mdakiyasin6939 Рік тому +5

    Jaman mbona mnapenda maneno .kwani kutoa kadi nyekundu shida au inakuhusu Kwan ww ndo ulikuwa Refa wa huu mchezo .kama mkono tumewapiga tayari na kama nyie mnataka mkawapige mguu tuu

  • @sylviajohn605
    @sylviajohn605 Рік тому

    hatujawai shindwaaaa naipenda simba jamaaniii🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @josephsimba12
    @josephsimba12 Рік тому +1

    🔥🔥 🇲🇼 niko malawi

  • @filipdjod9903
    @filipdjod9903 Рік тому +3

    Mm ni simba dam ila nmemkubali sana huyu refa dada Tatu Malogo ni bonge la refa kama TFF watamuwezesha ni refa wa kiwango cha Dunia hana huruma ukikosea unapata unachostahili na ndo mpira wa sasa unatakiwa kuchezeshwa kama ulaya vle daah ni refa mzuri ssna haangalii itakuwaje kwako baadae ila anakuwajibisha tu,saf sn Tatu Malogo keep it up nakups asilimia za marefa wa dunia upo zaid ya 80% keep going mum.

    • @filipdjod9903
      @filipdjod9903 Рік тому +1

      Penalt ya smba aliyokataa nilimuona anaakili sana coz ule mpira ulifata mkono wa mchezaji so hata kuikataa ni sawa tu ili wachezaji wasitegemee kupata penalt rahc na kujipatia magoli yasiyo halali tena za bahat mbaya na iwe fundisho kwa marefa wengine,Viva Tatu Malogo.

    • @zaharatijuma6623
      @zaharatijuma6623 Рік тому +1

      Huyi ndo mtanga bhana

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Рік тому +4

    Yaani hiyo ni zaidi ya Nyekundu na kama mwalimu wao anawafundisha hivyo basi naye apewe red vile vile

  • @jumamnambangule1957
    @jumamnambangule1957 Рік тому +7

    Ila huy sakho jmn anamapenz kw wenzie

    • @omarymahanyu5748
      @omarymahanyu5748 Рік тому

      Kabisa. Yaani kila goli analofunga mwenzie lazima atoe ushirikiano kwa namna anavyoshangilia huyo mfungaji wa goli!

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 Рік тому

      Ni kweli anawapenda wenzie halafu wachezaji wote wanapendana kweli wanaipenda timu yao

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Рік тому +7

    Me ni yanga ,ila nampenda moses Phiri kafanana na ex wangu 😋

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Рік тому +6

    Simba saivi mgunda alishausoma mchezo hakuna kutumia nguvu ni mwendo wa akili tupu

  • @mc_mackpesa
    @mc_mackpesa Рік тому +5

    Sisi uku kenya game jo gover ilikula pesa wacha tushabikie tz

  • @florencesinkonde1453
    @florencesinkonde1453 Рік тому +1

    Nmefurahi.wanasema. tumebebwa.asante.kwao

  • @SHOWTV338
    @SHOWTV338 Рік тому +1

    hiii ndiyo simba tunayo ijuwa sisi

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 Рік тому

    Simba mnyama mkali🎉❤️❤️🦁

  • @Arabqq_777
    @Arabqq_777 Рік тому +1

    Asante simba

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 Рік тому +1

    This is Simba brother 🦁💪🏼 #nguvumoja

  • @fettykilango2814
    @fettykilango2814 Рік тому +1

    Kuna timu inataman kusema mtibwa vibonde lakini wakikimbuka na wao walikula🖐️ hawanaa la.kusema

  • @DaudAshery-rm2zc
    @DaudAshery-rm2zc Рік тому +1

    🔥

  • @elviskawegere9458
    @elviskawegere9458 Рік тому +1

    Mechi nzur kuitazama wachezaji wanajituma Sacko ana upendo wa agape, anayebeza mechi hii wala maamuzi ya refa wakampime IQ,.,☝️☝️☝️☝️🤫

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 Рік тому +5

    Safi sana mwamuzi una akili sana hakika haki mbele mengine nyuma yasn huyu angechezesha debya kariakoo haki Yanga nao wangelamba nyekundu nyingi sana wanatumwa waburuze wachezaji wetu na kuwakanyaga na sasa imewagarimu mmekutan na mwamuzi mahiri sana

    • @mamalamama7010
      @mamalamama7010 Рік тому

      Si unajua sisi wanawake tuna moyo wa huruma lkn kwenye ubaya hatupepesi macho

    • @robertkhamvuras3458
      @robertkhamvuras3458 Рік тому

      Huna hata haya iv yanga na simba siku ile nani alifanya faulo nyingi nyie mshukulu dadaake mgunda kawabeba tu tim hamna huyo mwamuzi katoka tanga ulifikili nn kitokee huyo sako kscheza fauro mbaya mbona hajapewa kadi

  • @saidmkinga5140
    @saidmkinga5140 Рік тому +5

    Mashabik tuwe na uzalendo na uvumilivu, wachezaji kiukwel wanajitoa sana. Hivi pata picha Sako alivyo jigonga kwenye nguzo pale maumivu yake yapoje? Tusiwalaumu sana Kaz wanayo fanya ni ngumu sana

    • @charleschao9809
      @charleschao9809 Рік тому

      Mpira ni kazi yake

    • @mohamedisalimu5925
      @mohamedisalimu5925 Рік тому

      akafanye checkup ile ni hatari yale manguzo bora yawekwe fiber au plastic kwa nje da!!

    • @zaharahassan8685
      @zaharahassan8685 Рік тому

      YAan mpaka nimemwonea huruma sijui mechi ijayo kama atacheza au vipi

    • @kemmyabdallah353
      @kemmyabdallah353 Рік тому +1

      Kweli Kaka tatizo wengi mashabiki mandaz mashabiki wa kweli awezi laumu mchezaj

  • @jacstan0756
    @jacstan0756 Рік тому

    Highlight mbn camera inakuw poor hivi?

  • @doreensportswear_
    @doreensportswear_ Рік тому

    HIYO SPIRIT YA SAKHO HAPO SIMBA NI EXTRAORDINARILY

  • @simonelia7831
    @simonelia7831 Рік тому +3

    Uto wameteska game utafkil wamefungwa wao😂🤣

  • @mamalamama7010
    @mamalamama7010 Рік тому +4

    Hamsa bin sufuri

  • @yusscodollars7714
    @yusscodollars7714 Рік тому +3

    Nguvu moja Apo

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Рік тому +1

    Ukubwa wa simba unaonekana popote.. Simba n dude kuuubwa

  • @BenLeeBl
    @BenLeeBl Рік тому +1

    Hilo jamaa linachez raf sanaa

  • @fettykilango2814
    @fettykilango2814 Рік тому

    Mzamiruu yupo on fire

  • @dicksondenis3768
    @dicksondenis3768 Рік тому +2

    Kila timu itakayo kuja vibaya tu bila nidhamu hiki kikombe utakunywa tu na ww ndo utachagua unataka kunywa vingapi

  • @zaharatijuma6623
    @zaharatijuma6623 Рік тому +2

    REFA NIMEMKUBALI SANA JAPO MIE YANGA

  • @emmanuelisendema3010
    @emmanuelisendema3010 Рік тому +1

    Msimbazi Raha kweli

  • @zaharahassan8685
    @zaharahassan8685 Рік тому +1

    Maskin sanko pole sana

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 Рік тому +1

    Jifunze hukmu za quran kuswalibkwa vitendi gusa maandushu ya bluu
    ua-cam.com/channels/iIyK3R72QZNvRlzWezWIKw.html

  • @dottosweetbert8879
    @dottosweetbert8879 Рік тому +2

    KWANINI kicha wa Simba queens baada ya ushindi dhidi ya Green buffalo alijifunika bendera ya Uganda badala ya Ile ya Tanzania?
    Anawakilisha Uganda au yupo kininafsi zaidi mpaka afanye hivyo?

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Рік тому +2

    Mgunda ametisha

  • @johnurassa3209
    @johnurassa3209 Рік тому +1

    Bado Simba inamhitaji kiungo waa asili,no mbili kwa shabalala,na straika mmoja hii nidirisha dogo

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 Рік тому

      Goli 5 unasema bado tu em washauri yanga wenye kufunga goli tenaa kupewa huku tuache kidogo bro

  • @jeshilamtu863
    @jeshilamtu863 Рік тому +3

    Kono la nyaniiii 🤣🤣

  • @zaharahassan8685
    @zaharahassan8685 Рік тому +1

    Nimemuona matola kumbe yupo jaman

  • @mussadesgner9211
    @mussadesgner9211 Рік тому +2

    Wa pili

  • @elikanabugumba4552
    @elikanabugumba4552 Рік тому +1

    Kitenge hufai kabisa huo sio uungwana hata kidogo

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 Рік тому +2

    Saloot kwa Simba. Nawapenda kuliko ugali na soda!! Pamoja wanangu. Sio kwa furaha kama hiyo!! Hakika ni furaha hatari.

  • @mashymelody67
    @mashymelody67 Рік тому +1

    Kuna mtu anataman kusema tumemwonea kibonde lakini akikumbuka alishawahi kula Tano hapa anafyata mkia

  • @kelvinhappygod3706
    @kelvinhappygod3706 Рік тому +2

    huyu ndo refa, kwenye maamuzi anafanya maamuzi

  • @hastatz
    @hastatz Рік тому +1

    Kila nikiangalia hii machi huzunika maana sakho alipata mateso sio ya kawaida

    • @abdillahrashidnassor7973
      @abdillahrashidnassor7973 13 днів тому

      unajuwa sakho nilimpenda sana kwanza alikuwa alikuwa akicheza kwa uchu pili ana kasi tatu anafanya maamuzi kwa haraka. Aisee naombea siku moja arudi simba

  • @dicksondenis3768
    @dicksondenis3768 Рік тому +3

    Hata ao wanaosema mechi imeuzwa mbona na wenyewe pia tulishawapigaga 5 kwa iyo na wao pia waliuza mechi uto mkae kwa kutulia

    • @innocentmakala6542
      @innocentmakala6542 Рік тому

      Exactly. Ok ntajie mbabe wako aliyekugonga mara nyingi zaidi 🤔

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Рік тому +1

      @@innocentmakala6542simba hana mbabe yeye ndo mbabe wa timu zote anatawala nchi nyie vinyesi ni wake zetu tumewaoa ndomana miaka 6 mfululizo simba ndio tunAtoka nje kwenda kutafuta ili mke wetu utopolo aje kula

  • @MasanjaMasanja-mf1qp
    @MasanjaMasanja-mf1qp 11 місяців тому +1

    Goooooooooooooooooooooooooooooooooo

  • @muhammedjuma7722
    @muhammedjuma7722 Рік тому +2

    Wanafungwa mtibwa wanasikitika wengine

  • @peterstanslaus2477
    @peterstanslaus2477 Рік тому +1

    Duh

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Рік тому +1

    Hmna kitu hapo watu pungufu ndo mnajitaapaaa bado sijaona

  • @oswardchitunguli5394
    @oswardchitunguli5394 Рік тому +2

    Sema simba inajua mpira uongo zambi

  • @stephenmasolwa8680
    @stephenmasolwa8680 Рік тому

    The game (Mtibwa Sugar) was/is below “national premiere level. Very disappointing!

  • @anthongomo5689
    @anthongomo5689 Рік тому

    Walisha pigwa 5 wengi sana kama na timu yako ilipigwa 5 acha kumcheka mtibwa😁😁😁😁😁

  • @zehrahaji1566
    @zehrahaji1566 Рік тому +1

    Hyu no 25 Kweli mcheza rafu

  • @zaharahassan8685
    @zaharahassan8685 Рік тому +2

    Utopolo mnasikitika. Hahaha

  • @elinsamoshi3213
    @elinsamoshi3213 Рік тому

    Jamani eti akpa alicheza

  • @tongue_tv
    @tongue_tv Рік тому

    Mimi nashangaa azam aliyepewa red car ni nani cassian ama Okrah ahahaha bongo

  • @abernegosabaya6296
    @abernegosabaya6296 Рік тому +1

    magoli mazuri na assist. Yanga wapo wapi.

  • @isaackaitira7654
    @isaackaitira7654 Рік тому

    Kanoute yuko wapi kama asipochezeshwa kwa sababu za fitina kuna Simba atapoteza maana Mkude hawezi kukaba hasa zile mechi kubwa

  • @idrisaabdulwakil9618
    @idrisaabdulwakil9618 Рік тому

    Mbona inonga siku ya yanga hakupewa nyekundu

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Рік тому

    Eti wanaume kwa kipi Sasa hapo jmn nashangaa saaana jmn

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 Рік тому

      Kwani nynyi hamjawahi kupokea 5 hapo hapo?!

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Рік тому

    Simba alinyimwa penalti ambayo ni wazi kuliko ile ya utopolo sijui yule refa atapatiwa adhabu gani

  • @milalitz8066
    @milalitz8066 Рік тому +1

    Nguvu moja

  • @abdulybadishaa5475
    @abdulybadishaa5475 Рік тому

    Inonga achezeshwe namba sita anaweza beki wa Kati onyango named tutaupiga mwingi. By chacha mkama from mkuranga

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 Рік тому

    Kitenge KAIGHARIMU TIMU YAKE KIPUMBAVU KABISA

  • @saidijuma339
    @saidijuma339 Рік тому

    goli5 za wiki hzoooooooo

  • @isaackaitira7654
    @isaackaitira7654 Рік тому

    Mkude hawezi kukaba tunataka Kanoute arudishwe kiungo mkabaji

    • @filipdjod9903
      @filipdjod9903 Рік тому

      Mkude hajui mpira sio kukaba tu aondoke kbx hajui hata kufanya counter attack.

  • @msimamoclan6846
    @msimamoclan6846 Рік тому

    Yule alie chezesha mech ya yanga alikua mzoefu kumbe!!!.

  • @zehe449
    @zehe449 Рік тому

    Wrrt

  • @hussenhussen3210
    @hussenhussen3210 Рік тому

    TFF hawa waamuzi wa ovyo wamewatowa wapi

  • @saidijuma339
    @saidijuma339 Рік тому

    Yaa ndo kpombe huyoooo

  • @masaisoba3042
    @masaisoba3042 Рік тому

    Mm

  • @rahimumkumba7673
    @rahimumkumba7673 Рік тому

    Watu nane

  • @ZuberiMohd
    @ZuberiMohd Рік тому

    Vp

  • @mohdswahili7219
    @mohdswahili7219 Рік тому +1

    Hao wamehonga tunawajuwa kwa rushwa simba

  • @diamondplatnumz48
    @diamondplatnumz48 Рік тому

    𝙎𝙞𝙢𝙗𝙖 𝙗𝙖𝙗𝙖 𝙡

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 Рік тому

    Refa amethibitisha kuwa Hana ozoefu wa mechi kubwa km hiz ndo maana hata ulaya kulikuwa na mechi enzi hizo unajuwa kabisa colina ndiye atachezesha. Unajuwa kwann?!🤔🤗

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 Рік тому

      hujui mpira

    • @saidhamza5318
      @saidhamza5318 Рік тому

      @@jameskilasa759 kumjuwa colina tu inatosha ..

    • @omarymahanyu5748
      @omarymahanyu5748 Рік тому

      Kwahiyo huyo Colina ameshastafu hizo mechi kwasasa anachezesha nani? ...UTO mna nongwa sana!

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 Рік тому

      @@omarymahanyu5748 😁😁😁😁😁

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 Рік тому

      @@saidhamza5318 tatizo unaongea sana dah

  • @saidmkinga5140
    @saidmkinga5140 Рік тому

    Marefa wanawake Bado hawaja mudu kuchezesha ligi kuu, wanaharibu mpira

  • @zehe449
    @zehe449 Рік тому

    Eerwert

  • @guccij6236
    @guccij6236 Рік тому

    Kipa wa maelekezo uyo

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 Рік тому +1

    Mechi imeuzwa kisayansi kbs ..aliejibamiza kwenye chuma hajaumia ila aliepigwa na mpira kavunjika meno kashindwa kuendelea Ili aingie golikipa pazia watu wajipigie tu..Kisha wakamalizana na refa wa mchongo..huku ni kujidanganya ndo maana Azam waliwatoa jasho .

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 Рік тому +2

      Aisee wee jamaa ni kilaza sijawahi ona!utopolo mshazoea kununua mechi ndomana kimataifa hamna mnachofanya mana kule hakuna marefa wa mchongo mliowazoea

    • @officiallcoolest_khid3223
      @officiallcoolest_khid3223 Рік тому

      @@adaboychibu1659 iyo ni mezani

    • @saumsaid1966
      @saumsaid1966 Рік тому

      Unatia kichefuchefuu

    • @omarymahanyu5748
      @omarymahanyu5748 Рік тому

      Yaani umeongea pumba sana utafikiri umekalia kitu chenye ncha kali!

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 Рік тому

      @@officiallcoolest_khid3223 haujaeleweka🤔

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 Рік тому

    Hilo ni la kawaida sn

  • @dotoomary6889
    @dotoomary6889 Рік тому

    Huyu okra kafungaje pale

  • @officiallcoolest_khid3223
    @officiallcoolest_khid3223 Рік тому +3

    KA BOMU MOCHWARI 😂😂

    • @361NEWS
      @361NEWS Рік тому

      Wale Caf champions league

    • @361NEWS
      @361NEWS Рік тому +1

      Achana na Miaka 24+ ya kuingia makundi gongowazi

    • @yusscodollars7714
      @yusscodollars7714 Рік тому +1

      Hahaha utopolo 😝😝

    • @guccij6236
      @guccij6236 Рік тому

      🤣🤣🤣

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      WEWE MZOGA UKO KABURINI TULIYA KINYESI

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Рік тому +1

    Manyonyo wanatamba saana,tunajua mtibwa kauza match shenzi kabix

    • @tonyspencer1928
      @tonyspencer1928 Рік тому

      Na wewe ulipigwa tano VP ulituuzia sh ngapi wakati tunakupiga tano!?

  • @pepchallanga3626
    @pepchallanga3626 Рік тому

    Kiungo punda