halima yusuph Unamaanisha nini dada. Yaliyokusudia ni kwamba maiti kama amekufa hajamaliza kulipa ramadhani au amekufa haliyakuwa amewakaga nadhiri ya kufunga na hakufunga, basi inabidi alipiwe yaani atokee mtu wa karibu katika familia yake amfungie.
May Allah forgive ur sins and grant you Jaannah.. rahimahu llah . Sheikh Nassor bachu. Amen
Allah akurehemu na akujaalie pepo yake ya juu
13:34 Allah Akujaalie pepo ya juu Sheikh wetu
Allah amrehemu ya rabb nasisi atupe husnil khatima
Ya rabb warehemu wazazi wetu maiti
Ewe mola wetu mtukufu mpe sheikh nassor bachu jannatul firdaus
Ameen thuma Ameen
Aminy
Sheikh Allah akuhifadhi. Amen
Allwah mrehmu. Sheh. Wetu
Allah atupoze wagonjwa waislamu
Ameen
Allah akurehem
Ameeen
Allaahummah ghfirlahuu
Allah amrehemu sheikh wetu sheikh Nassor Bachu
Allah amrehemu
Allah s.w.t amrehemu na amsahee mathambi zake zote in shaa Allah yeye na waislamu wote in shaa Allah
Allah amrehemu sheikh nassor bachu
Maashaallah
7/7 clip siwezi kuiona anyone can help would appreciated. Thanks in advance
Allah amrehem.
Allah atusaameh
MUSTAJABA MOHD RAJAB
WENGI WETU BADO HATUJAFAHAMU
asalam alykum..samahani umesema kumlipia mait funga yake ni kibaha viwili au kimoja..kibaha ninin
KILALAKHERI JUUYAKO TUKAONANE PEPONI
Allah akurehem
asalam alykum..samahani umesema kumlipia mait funga yake ni kibaha viwili au kimoja..kibaha ninin
halima yusuph Unamaanisha nini dada. Yaliyokusudia ni kwamba maiti kama amekufa hajamaliza kulipa ramadhani au amekufa haliyakuwa amewakaga nadhiri ya kufunga na hakufunga, basi inabidi alipiwe yaani atokee mtu wa karibu katika familia yake amfungie.
In shaa Allah Allah s.w.t amrehemu na amsahee mathambi zake in shaa Allah amepushe na athabu ya kabri in shaa Allah