MZEE WA UTOPOLO AWAJIA JUU SIMBA KISA TUZO/NAFURAHI SANA SIMBA WAKINUNA/YANGA TUNAJADILIWA NA PUTIN.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Mwamba huyu hapa Mashaka kapingo maarufu kama Mzee wa Utopolo akiendeleza tambo juu ya watani wao wa jadi Simba SC baada ya kupita siku chache toka amfunge goli 5-1 katika Dimba la Benjamin Mkapa.
    Pia Mzee Wa Utopolo amezungumzia matumaini ya ushindi juu timu yake kwenye mechi za ugenini na anaimani na Yanga itarudi na ushindi dhidi ya CR Belonzidad huko nchini Algeria.

КОМЕНТАРІ • 5