Mashaallah... Tumepata bahati ya kutembelewa na Sheikh Said Mwaipopo kutoka Tz ... 9 January 2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 88

  • @abassonlinetv
    @abassonlinetv  Рік тому +2

    please subscribe like and share

  • @hassanmacalin9358
    @hassanmacalin9358 Рік тому +5

    Mashallah my brother who displaying us this dispute about between Muslims and non believes . So may Allah bless you and enter in his paradise

  • @aziza9093
    @aziza9093 Рік тому +2

    Allah akupelijanna naawaifuzi katikadini

  • @mohamedsalat1066
    @mohamedsalat1066 Рік тому +1

    Mashaallah sheikh said mwaipopo mfikishiye salamu zangu

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Рік тому +1

    Mashallah Allah

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому +1

    Mashallah karibu Kenya kwakuendeleza dawaa Allah awahifadhi kwa neema inshallah

  • @ukweliwauislamushortclips9388
    @ukweliwauislamushortclips9388 Рік тому +1

    Masha Allah, sheikh mwaipopo Jazahullahu kheyran

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 Рік тому +2

    mashaAllah

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 Рік тому +1

    Mashallah sheikh Mwayipopo in Nairobi

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Рік тому +1

    Maa shaa Allah ❤❤❤

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 Рік тому +1

    Kipenzi chetu Mwaipopo, Allah Akbar

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Рік тому +1

    Maa shaa Allah

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Рік тому +1

    Masha Allah Ustaz

  • @husnanancyatieno2391
    @husnanancyatieno2391 Рік тому +1

    Mashallah Tabarakallah

  • @somane512
    @somane512 Рік тому +1

    ALLAH AKBAR

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 Рік тому

    SHEIKH MUONGO UYU,,,MIHADHARA ILIYOKUA IMEZUIWA NI YA KISIASA,,,CRUSADS KUBWAKUBWA ZIMEFANYIKA LKN ZA KISIASA ZILIKUA ZIMEZUIWA,,,😂😂😂😂 AIBU KUBWA KWA SHEIKH KUA MUONGO

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 Рік тому

    Labda kwa wasiojua wacha tuwajulishe ninaposema uislam bila uongo ungekuwa umekufa, Eti walifunga mihadhara sababu watu wanaslimu sana ...!🤔😂 na ndio maana mtu kama huyo haoni aibu kuudanganya umma huo na walimu wenu.
    Kwa kifupi mihadhara ya kidini Tanzania ilikatazwa miaka takriban 10 oliyopita kati ya September na October 2012, alieikataza alikuwa mkuu wa mkoa wa kipindi hicho Said Meck Sadick (mwislamu) mzuri tu, chini ya Rais Dr Mrisho Kikwete (mwislam) na kipindi hicho kila sekta kubwa kiongozi wake alikuwa mwislam. Sasa leo mtu anasimama hadharani na kudanganya watu eti miaka 5 iliyopita sababu tu anajuwa Rais alikuwa Magufuli ( mkristo), Magufuli alikuwa anashinda misikitini wala hakuwahi kuwa mbaguzi wa kidini.
    Sasa hapo uongo wote wa nini? Au ndio ile tunasema biashara matangazo? Kwani nyie walimunwa kiislam bila uongo hamtoboi au ndio masharti ya uislam.

  • @bibliakweliyaduniayote1137
    @bibliakweliyaduniayote1137 Рік тому

    Kafiri ni mtu anaye binga kauli iliyo tangulia ya manabii wa mwanyezi Mungu kama Muhammad amebinga kauli ya manabii wato walio tangulia yeye ndiye kafiri mkubwa

    • @captenndunga6745
      @captenndunga6745 Рік тому

      Wee mwenyewe ni kafiri mana ukristo ndio unapinga manabii waliopita.. mana manabii wote wameingia msikitini lakini nyi mnaingia kanisani mnamfuata nani huko chach.

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 Рік тому

    Hahaha eti mihadhara ilifungwa sababu watu walikuwa wanaslimu, huyu jamaa kaja na Kenya kudanganya, kuuza dawa na kutapeli watu🤣🤣.
    Na style yake haisahau kuwa alikuwa mchungaji na kaenda nchi nyingi na hayo ndio maneno yake siku zote.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Рік тому +5

      Kwa hiyo!!! Ulitaka auze maji ya maiti kama wachungaji?

    • @jumafundi3133
      @jumafundi3133 Рік тому +1

      Wewe hunaadabu tu sasa unataka auze nn au unataka awe jambaz Acha ujinga

    • @samxx411
      @samxx411 Рік тому

      Heshimu kazi za watu, hebu jiulize huko nyumbani anaekulisha kazi yake kazi gani.

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 Рік тому

      Kwa hiyo swala la yeye kukaa hapo na kudanganya mnaona ni sawa? Eti walifunga mihadhara sababu watu wengi walikuwa wanaslimu khaaa, kweli uislamu bila uongo unakufa🤣🤣muungisheni basi acheni povu

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Рік тому

      @@mobutu3884,mpaka apo ulimuunga wewe?