MHUBIRI ASKOFU MOSES KULOLA..... UJUMBE... KIKOMBE NIKINYWEACHO UTAKINYWEA 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @rostertweve9437
    @rostertweve9437 3 роки тому +1

    Nabarikiwa sana na ujumbe wa baba yetu wa Imani katika Kristo.

  • @nezerinejuma5510
    @nezerinejuma5510 Рік тому +1

    Tunaangaika baba sikiyakiliyo chitu eeeee yesu njooo nipe macho nihone Nani anaye kuabudu katika kweli nakuubiri Nenolako kwauhaminifu 😭😭😭 hona umemchukuwa uliye wahonyesha wazaziwetu 😢

  • @reginahgaturi1551
    @reginahgaturi1551 5 років тому +6

    Nime barikiwa sana na ii injili ya kweli tena nzito mno Yesu kristo apewe sifa

  • @musadaud652
    @musadaud652 5 років тому +6

    Asante na ubarikiwe unaetupa mafundisho ya mtu wa Mungu alietutangulia mbinguni mahubiri haya mazito sana

  • @nathanaelsanga1990
    @nathanaelsanga1990 5 років тому +8

    amina habari njema. za miaka ya 90 na 80 tewekee nazo. tunashukuru kwa yote

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 років тому +5

    Amen MUNGU ni mwema kweli tena ni mwesa wa kila kitu na kwa Jina La yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wetu amen

  • @francispatrick6737
    @francispatrick6737 4 роки тому +8

    Haya ndio mahubiri na sio hawa wakujiita manabii wanahubiri juu ya kuwafariji watu tu na wanahubiria utajiri wa dunia tu na sio kutubu dhambi.
    Pumzika kwa amani mtumishi wa bwana.

    • @severincishugi4324
      @severincishugi4324 4 роки тому

      Umebarikiwa wewe unaye tusaidiya ku ya sikliza mafundisho haya

  • @DenisCasey-kh8ub
    @DenisCasey-kh8ub Місяць тому

    Amen baba

  • @sehewagidion2620
    @sehewagidion2620 5 років тому +6

    Mungu akubariki mtoa post,,nabarikiwa Sana na mafundisho ya askofu wetu ambaye kwasasa amepumnzika.

  • @nanutuannet5134
    @nanutuannet5134 5 років тому +3

    Ameen ubarikiwe Sana

  • @MaryMwasumbi-ph7no
    @MaryMwasumbi-ph7no 4 місяці тому

    Amina

  • @eraxsalum4556
    @eraxsalum4556 2 роки тому +1

    ulisimama

  • @edgercriss5800
    @edgercriss5800 2 роки тому

    MUNGU NI MKUU SANA

  • @paulojohn2580
    @paulojohn2580 Рік тому

    Amen

  • @ngosimabwai322
    @ngosimabwai322 4 роки тому +1

    Hallelujah!!!

  • @hugowilfredlukoo4971
    @hugowilfredlukoo4971 5 років тому +3

    sawa

  • @zazajack9987
    @zazajack9987 4 роки тому +3

    AMEN

    • @danieljacob4094
      @danieljacob4094 3 роки тому +1

      Amina Yesu yuaja, sasa ni mwisho wa dunia injili ya uzima imeanza kuadimika

  • @hugowilfredlukoo4971
    @hugowilfredlukoo4971 5 років тому +3

    DVD za mahubili haya tunapata wapi? nijuze

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  5 років тому +1

      Zinapatikana Dar es Salaam duka la Upendo book shop Lipo Kariakoo mitaa ya Aggrey

    • @bokimmwamba2322
      @bokimmwamba2322 4 роки тому

      @@Cado_TV. ni mahubili yake tuu

    • @bokimmwamba2322
      @bokimmwamba2322 4 роки тому

      Nahitaji DVDs za uyu mzee

  • @agnesjulius1422
    @agnesjulius1422 3 роки тому

    Nabarikiwa na bwana

  • @salvashaban9194
    @salvashaban9194 3 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @hajimnzava3423
    @hajimnzava3423 5 років тому +2

    Jamani

  • @nasmamponde198
    @nasmamponde198 5 років тому +5

    Hawa wanao dislike ni mashetani

  • @victoriaaman38
    @victoriaaman38 3 роки тому

    Amen