Koku shkamooo 🤣🤣🤣 au uncle kulwa Ako na undugu na koku ??? Au uncle kulwa Ako na jambo lake Kwa koku maana so Kwa upendo huo jaman koku maua Yako 🌹🌹💐🌺🏵️🏵️💐 chukua uncle kulwa asijekua ka Mzee korongo 🤔🤔🤔🤔
🎉🎉 hi my best family, mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili nawaomba supports zenu, plz follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰🥰 Asante sana
Bi haja amenifulahisha sana anaweza kuongea na watoto
Koku shkamooo 🤣🤣🤣 au uncle kulwa Ako na undugu na koku ??? Au uncle kulwa Ako na jambo lake Kwa koku maana so Kwa upendo huo jaman koku maua Yako 🌹🌹💐🌺🏵️🏵️💐 chukua uncle kulwa asijekua ka Mzee korongo 🤔🤔🤔🤔
🎉🎉 hi my best family, mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili nawaomba supports zenu, plz follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰🥰 Asante sana
Acheni kumsingizia muli kama kaiba pesa za koko banza ,muli kawa mzuri ❤
Muli jumba bovu limekuangukia natabia yako mby bora uwache😂😂😂😂😂
Issabella ni nani katika hio nyumba 😇🤔
Nlijua tu uncle atamlipia hahaha
Hahaha mimi wananifuraisha😅
😂😂😂😂mboro hatari ikishaa kolezwa vizuri hakiri potea koku chukua ua lako mama🌹🌹🌹🌹🎉🎉🎉🎉🎉🎉🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Koku,,,,ulinogewa ukasahau pesa kwa bwana ako
Kiswahili cha koku kinanifurahisha😂😂😂❤❤
Namba4 like ziwe zakutosha jamani
Wizi sio mzuri
𝐍𝐚𝐦𝐛𝐚 3❤
Yani huyu mama sam ni wa ajabu sana,,na ww Isabella ebu jitambue acha kupambania mume wa mtu,,
Wapi wale beki tatu wa gulf tujuane😘😘😘
Nko huku Lebanon n ww
Huyo boss wa koku nae Hana akili anajua koku akili zake niza kuazima tena anampea pesa akalale nazo
Tamdhilia inainua gomu hii imenoga hatari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hongereni team kigosi
🤣🤣🤣🤣🤣
Bihaja nakupenda bure
Mjimba shukran sana lkn koko pia ww wacha ukware ukitumwa nenda kwanza ndo baadae uwende huko kw wanaume wako 😂😂😂😂😂
af muli anakuanga mrembo sio chocha 😂,af namuonea uruma aki huyu muli
Yooo. Muli pole wamekuzoea ww tu
Wacha uwizi toa pesa zawatu kijana mbya sana😢😢😢
Wa 2🎉🎉🎉
Muli huko kulia😂😂😂
Jamani Nikita - Isabela amabadilika mpaka Mimi shabiki wake mkubwa nashindwa kumtambua. SI ni nikita huyu Jamani.
Jamani niambieni myaka ya Muli!!!!
We koku ww umependwa Bure na huyo mzee
😂😂😂😂😂mchukuaji maarufu wa hela eti🤣🤣🤣🤣bi haja hiyo tumeskia🤣🤣🤣🤣🤣🤣chukua ua lako mama shughuli🌹🌹🌹🌹🤣🤣🤣🤣🤣
Maskini muli ndo mshukiwa ila sio muli koku alipeleka kw mskaji kaisahau kw raha aloipata 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mjomba Kulwa Ana kigodaaa 😂
Good job
❤
Sasa ww dada unampaje koku ela akanunue vitu wakat unajua alivyo?😂😂
Mjomba wamekutana akili na koku.
Bi haja kweli unachekesha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bihaja na muli😂😂😂😂😂😂😂😂
Muli n mtoto wa b haja 😅
Bihaja ana shoo kali ety msiba wa saaa ngapi 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂aki
Bi Haja Unanibamba mbayaaa😂😂
Waine
❤❤❤❤
Masikini Muli nimekaonea huruma 😂😂😂
😁😁😁😁🤣muri na biyaja mnaniuwa naceko krista bera tafuta mume wako 🇧🇮
Maskini muli ushakua n bahati mbaya kila kitu utaambiwa n ww dah 😳
14 maua kwa B haja
Muli pole ilatabiayaako ndo shida hawa kuamini
Tatu 😂😂
Jaman muli aachwe sasa jamani
Na venye kamekonda sijui kama kalitoa mimba😂😂😂
Muli😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂mjomba kulwa unataka kumuowa koku nn
Au bibiake chiku n mchawi
Isabela kinkankanizi🙄
❤❤❤❤❤😂
Jmn mbn vpnd saiv vifupii 😭😭
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤