CHEMICAL na ROSA REE hakuna BEEF, Cheki alivyopita kwenye BEAT ya Rosa REE, Ni Motooo
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2018
- LilOmmyTV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interview kutoka kwa masta unaowakubali.
Hakikisha una Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp au mitandao yako ya kijamii (facebook na twitter).
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea lilOmmy.com - Розваги
Woyo kama umaini chemical ni fire gonga like tuwe pamoja
Daaaaaaaaaaah huyu amefunika ata marappa wanaume...kali sana I say from 254💥🙌🙌🙌🙌
Chemical ni zaidi ya nomaaaaa,, big up mdada,, kama unamwelewa Chemical gonga like hapa
Neema Emmanuel sfgjok
Noma sana day
Mimi hapa neema na muelewa Sana chemical tangia anaanza gemu
Nyimbo yake hii nilikuwa naipendaga, aliyoimba, na beka
Na Ile. L
Damng, ulivo flow mistari ya #BekaFlavour hapo, nimevua kofia🙌🙌🙌
✅✅🔥
Moto sanaaaaa
Hizo lyrics manze.
Chemical you made my day
Nakupenda bure dada❤️💕❤️💕❤️❤️
Kama unamkubali chemical gonga like twede
Wonderful lyrics and superb rap my guy
katika Madada ninao wakubali kwass yani ww Namba 1#Wajepangeeee
My favority girl RAPPER 👧 IN EAST AFRICA
You are the best, have a good lucky chemical 🔥🔥🔥
Salute Chemical!!!!!Respect girl
Pamoja xana
Vp
jaman we CHEMICAL nakupenda balaaa😂😂😂Umentekaaaa,nawewesekaaa baby😘😘😘
good
Nakubar
Kipindii.tunasoma.chemika.alipenda.sana.picha.za.ex.
Nampendaa chemical saana jamanii
sho la kibabe yani 🔥🔥🔥🔥 i appreciate you chemical
nlikua ckusomagi,, daah nmegundua wewe mkali,, your🙌
Chemical Is the best one I love her voice
Chemical ur so great if possible please can u make something with recho rey a ugandan rap star just like u r coz ur almost the same
Wow u are the best I really like you 💯💯 chemical u are the best 4life rap is ur thing no body else
Yupo vizur sanaaaaaaaaaa
Waoh
Yaani ngoma yako sio ya mchezo chemical,nampenda sana interview zako you talk sense sana
kemikali mkali kwa mistari jamaniiiiiiiii uwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
zuwena simfukwe namubLi sana kemikoli
Duh! We nomaaa 👍👍❤️❤️
Gnakuelewaga kinyama. Kwa hzo flow zako
Didn't know you exist now am loving music 😘
Dadangu nakupenda sana be blessed dear
Much respect 2 Rosa ree a.k.a Mick Minaj wa Bongo
Kweli una juwa naku waka naku kubali sana yani salute💪👌
Kemikali,chemical the light
I love u girl u are the best wachana na akina femi one,uko top girl
Akina Femi 🤔
Poa sana angalau japo co mguum ki viile
Noma Sanaa's keep it up
This was ahead of time kali sana
Sanaaaaaa chemical uzidi uwe kama nick minaj kama unakubali hiyo like nyingiiiiiiiii dondoshaaaa....
Nakubali sana kazi zake bidada mungu awe upande wake cku zote
namkubali hyo toka tuko shule
Anajua kuchana na sauti anajisaidia
SaNaaaa
Super talented
Chemical your de one and only love Mingi mingiiii
nakuelewa sana tangu enzi zile nangwanda high school chemical kam chemical 💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Yeah yeah.... God bless your chemical girl
tunata dakika kumi za maangamizi za hamorapa achane free style
Haaaaaaaaahaaaaaaha
Wow.... Nice
Sina macho kwa wagine naona uchafu tu... Kali sana
good voice chemical
Mkali sana huyu dada BIG UP
Nakuku Bali SN mtu wng❤❤❤❤❤❤
Uk vzr mdad has Il Mov ulioekt n wem km dad ak niliipend
Woyooooo.. nomah sanaa
wooooow... Piga keleeleeeeeeeeee....yan unanipandsha Mzuk mbak nimepiga kelelee
daaaah nakuelewa saaana
Unaweza big up tzm mble nawaza jia gn unwz kufikaa
Nakukubali nilikumisi🥰🥰🥰🥰
mmmmh kweli kiama razima kifike mapema
Presenter mkali
Chemical naye bado ni disease,,,, 🔥🔥🔥🔥
uko vizuri chemical sauti yako tuu naipenda
Chemico jiandae kgirl nipo njian nakuja
xo nice
💣💣TAMBWEEEEEE
Ni sheeeeedah umetisha sana
Napenda sana matom boy
Is she from Kenya 🇰🇪 or Tanzania 🇹🇿? Is she got BARS🙌🏻🔥🔥🔥
Tanzania
Ujitahi dada yang
Wow piga mama Mindo Nisha kukubali sana
Nakuelewaaa sanaaaaa.......
Oooo nember one
Dah .....real rapper aiseee
Jomoni unanikosha sana iyo saut yako amazing,. Bless
Good song
I say, uko poa sana yaani hawakushiki big up.
Nakukubali sana
respect chemical
Big up sana girl
I love you chemical
nawakubali sana chemical na rose ree
safiii sana
🥰🥰🥰🥰🥰😍😍🥰🥰 girl fly 💋
unanipaga raha mie jomon love you mwaaaaaaaaaa
More fireeeeeee uko vizur kemikali
Namkubali chemical she got dat swagg😏
Eyoooooo paapa. Chemical ni motooo💥
Nakubali sana kaz zako sister
good
Nick Lwiwa
noma kam noma
Fire girl yani bongo shunja song zako zanimada zote😁
Unajiweza dadaaa
Nakukubali kinoma
safiii
Wow nakupenda bure
Wow nice
Great
Nakukubali
Nakukubalii
Salut chemical love u
Love you chemical
mambo ni fire
Tabweeee Tz!!!! wewe ni presenter wa Moto .mzazi!!!!!! big up Kwa huyo chemical...ni mkali Aisee mambo ni 🔥🔥🔥🔥ilaa management yke bull shit 🙈
Chemically🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊📢
Huyu sis yupo real nampenda
Salute sana cemicel
Nice chemical you're real
Asanteeeeee chemical
Chemical ua real MC, best woman MC nice for you
dd ukovizur komaa san
Is too real
I like her
Chemical your 🔥 🔥🔥
Love sis che
🔥🔥🔥🔥🔥🔥