CHEMICAL ATAMBA KUWA 'ROMANTIC' KWENYE MAPENZI - "HUWEZI KUNIACHA UKIWA NA MIMI"
Вставка
- Опубліковано 26 лип 2022
- CHEMICAL ATAMBA KUWA 'ROMANTIC' KWENYE MAPENZI - "HUWEZI KUNIACHA UKIWA NA MIMI"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Bora mwanamke kujidai dume ila dume kuwa jike inanikera sana sana
Nakukubali xana na umeijali Rangi yako ya asili..
Chemical I love you I’m in Congo 🇨🇩 naku kubali sana
Kama ulizaliwa bas InshaAllah na wewe ukijaliwa Mungu akubariki n'a wewe uwelete mtoto
ua-cam.com/video/Cp272sWCIUI/v-deo.html
Nakupenda sana Chemical
Ni kweri madem kama hawa ni watam kwasababu hawa tumiki Sanaa
😀😀😁😁😆😆 Chamical eti hawezi deka Ana mambo mengi yakufanya.
Nampenda huyu dada
Chemical, Frida wangefanya collaboration
I love you dea
congole my classmate👊👊
Mm napenda nyimbo zake2 mavaz apana
Anahitaji msaada flani hivi.
Du nakupenda sana kemiko natamani uwe sweet wangu ata kesho mimi sitaki ubadilike nataka uwe mgum ivoivo
😂😂😂
Nakuelewa
It's true kunyoa huku ni bei kubwa sana... Mm mwenyewe hapa nimeweka dawa.
Na mimi natak kuja nisaidie bas mamy
Kuwa real hip hop sio kuwa kama mwanaume muda unakuacha heshimu jinsia yako tafuta mume akuoe mpate watoto utajutia nafasi waangalie nick minaji da brat da joe q ratifa lil kim rah p na rapaZ wakike wengine wek up mrembo hip hop ni kipaji kinathamani yake na jinsia ina nafasi yake tafuta ndoa ujaze ulimwengu acha kulala bint.
❤❤ nakubali
Utabaki kuwa mwanamke tu hata ugaragare ubinuke jua wewe mwanamke tu
OMG kumbe muhaya 🤪😝 waoooo
Unajifanya wakiume uku unaliwaa😂😂😂😂
Namshangaa
Kweli bwan
Kwanza Mimi nikikutizama nakuona upo romantic indeed yaan tupo wachache wenye macho hayo
Apa aanehusika ni salama bila ubish huyu Fatma sjui Nani na wakiendlea iv watajua awaolewi kisa ubishoo mwingi sema wote nawapendaa Sanaa kwasbb maalum wanajituma basi
Ukitoka africa ukaenda nje nje huko ukiishi kwa ku convert hela kwa kila huduma unayonunua utaona kama unapigwa kila kitu ama kama maisha magumu😂😁
Et kupiga dek kuinama kupishana&makoch hahahaaa we dada nimecheka hahahaaa
Ana mtt jmn 😂😂😂kumbe hajui
Nice bby
Mimi ndo nimemuoa kemikali mwanalubagu
Mwana Wa Rubao
Maisha haya jamani, Eti akajioa
Mbona kupiga deki dizaini izo ni km mazoezi kwa kina dd mi sioni km kuna ubaya jitahidi ujaribu kufanya
Chemical anipe nafasi nimuowe
Coz hata mimi napenda pigo zake
Sasa Kama ndo hvo ww wazaz wako wataishi milele?
Mwanamke kujifanya dume miziwa ime jaakifuwani ata alipendezi
mwambie chemical aje nimuoe nampenda
Dah! chemical nakuelewa nanimejikuta nakua kama wewe mie nashindwa kabisa kuvaa gauni dah.
Endereen2 maan mungu amekosea🤣🤣
Wewe ndio ujackiliza una Mambo mengi mbona wanamziki wa hip-hop wapo wengi kina trixy Tonic!ujackia vepee?!afu embu kua mwanamke bana achana na udume jike bana ww
Anasagana
Picha linaanz demu lakin mavaz yake ni dume dume tuu sas ww na mumeo mkitok sijuw itakuaje
Hahaha et kupiga dek kwa kuinama 😄🤣😂😆
😂😂😂😂
Huyu mgumu real hata show ataka za kibabe
Ila chemical yaan ungekuwa chemical ya kweli basi ww tindikali
🤣🤣🤣
Hahahahahaaaa
We chizi ee🤣🤣
😂😂😂
Kumbe anataka kufatiliwa tuu
Huna lolote wewe utakua jike dume wewe unawananihii wenzako
Hd msasa official video BORA LAWAMA gusa maandish ukasikie tulichofanya na MESEN SELECTA ua-cam.com/video/ZXoVZuZFMy8/v-deo.html
huyu kuna kipindi alipost ana mtt wakiume mm nikajua wake
Huna lolote msagaji
Alikusaga
ua-cam.com/video/uL9EHn5uMGw/v-deo.html&feature=share huu n mhaya bwana
NEVER EVER use this unknown guy VOICE AGAIN....
very BORING indeed..
ALIYAH is needed here.........
🤣🤣🤣
Pongezi kubwa sana kwa wanawake
ua-cam.com/video/iYjijfV-YRw/v-deo.html
ni hatar ikiwa haturudishi shukrani za dhati kwa wanawake🙏ua-cam.com/video/iYjijfV-YRw/v-deo.html
One love
Kuna tofauti gani na MJEDA.....😂😂😂😂
😂
Pongezi kubwa sana kwa wanawake
ua-cam.com/video/iYjijfV-YRw/v-deo.html