Mahubiri ya Askofu Gwajima Kanisani baada ya kuachiwa na Polisi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 сер 2024
  • Askofu wa kanisa la Ufufuo Josephat Gwajima aliachiwa na Polisi jana February 11 2017 baada ya kushikiliwa toka February 9 kituo cha Polisi Kati Dar es salaam kutokana na kutajwa kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya Dar es salaam.

КОМЕНТАРІ • 58

  • @sonthadei7443
    @sonthadei7443 7 років тому +1

    Gwajima u are the best preacher I ever seen.. God bless you

  • @nickykimambo4803
    @nickykimambo4803 7 років тому

    Nimekuelewa sana Gwajima endelea kufanya kazi ya Mungu, hakika atakupigania na kila hila za shetani.

  • @bahatidan4751
    @bahatidan4751 7 років тому +1

    Preach Pastor Gwajima ...God is with u🙏🙏🙏🙏🙏 the devil is a lier

  • @adoncamramadon8474
    @adoncamramadon8474 7 років тому

    bigup bro

  • @osiepsendvictorminyory301
    @osiepsendvictorminyory301 4 роки тому

    Haya si mahubiri ya mungu niyakishetani

  • @akademkkz
    @akademkkz 7 років тому +1

    13:24 seriaz jamani kwenye nyumba ya kuabudu watu badala y kumwabudu Mungu mnamuombea mwenzenu apigwe!😩 so sad...

  • @lulugama1547
    @lulugama1547 7 років тому +1

    watu mmnashindwa kuelewa kuwa Gwajima baada ya kutajwa hofu ilitanda kanisani kwake na walikuwa wanashauku ya kutaka kujua je mlitaka asitoe kisa kilichotokea kikafanya kanisa zima lihamie police? anaemmbeza gwajima namshangaa mlitaka akaongelee wapi kama sio kanisani kwake? kuchafuliwa jina sio kitu kidogo. sio kila mtu mwenye maendeleo aliebarikiwa basi anauza madawa! nimekuelewa Gwajima

  • @planetmediatv7590
    @planetmediatv7590 7 років тому +2

    msimseme mtumishi bila kujua ukweli

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 років тому +5

    Icho sichakuhubir fanya kaz yamungu kama ww nimchungaj naao watu awana kaz zakufanya alafu wanakaa wanalalamika maisha magumu wamejazana tu kuskiliza udaku

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому +2

      Fafi 90 c una juwa wanapenda ushuduh time yao inapotea bure ibada gan masaa9 aiiiii mm kuwa hpo cwez

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому +1

      samwel wilfred c jui kama una uwakika kama tunarudi kitu kile tlichafanya kwa swala ya adhuhri aturudi magharib upo kama ujui Muslim vle wana swali nyamaza

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому

      samwel wilfred cku zte ukweli unauma na kudanganya wngine ilitushinda

    • @fafi9092
      @fafi9092 7 років тому +1

      samwel wilfred Uwelewa wako finyu akuna alie kashifu din hapa

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому

      samwel wilfred c ku zte anayesema ukweli hua funny c shangia na ww haaahaaahaa

  • @tarikj3782
    @tarikj3782 7 років тому +3

    nimemuelewa sana kimsingi jamaa biashara yake ni kanisa.

  • @boykissymusicians6827
    @boykissymusicians6827 7 років тому +1

    Pamojasana mchungaji

  • @nehemiahrwezaura6053
    @nehemiahrwezaura6053 7 років тому +1

    Kweli!?❓❕ ni Pastor huyo anayewaambia watu waelekezee Mapepo kwa KIUMBE kilichochaguliwa na Mh. Rais!?

  • @bennymgaya2277
    @bennymgaya2277 7 років тому

    Huo ni uchonganishi,mi nadhani base kwenye uchungaji wako kama kweli umeitwa>

  • @geofreykulanga1282
    @geofreykulanga1282 7 років тому +2

    13:07 "Mwl. Nyerere kaandika siju 4 au 5 maisha yake yote" Askofu kitabu chako kimoja kati ya hivyo 37 kinaitwa "JINSI YA KUFUFUA WAFU" halafu unaweza ukajilinganisha na Mwl. J.K Nyerere mzee? Kabla haujendelea kuandika vitabu nenda ukasome na UELEWE hivyo apo chini...
    Freedom and Development - Uhuru Na Maendeleo - 1973
    Crusade for liberation - 1978
    Man and development - 1974
    Rencontres avec Julius K. Nyerere - 1995
    Africa's development in a global perspective - 1994
    Uongozi wetu na hatima ya Tanzania - 1993
    Binadamu na maendeleo - 1974
    Awamu ya pili ya mradi wa kuimarisha chama - 1990
    Sasa em chukua kitabu chako unachokiamini ni vizuri kila mtanzania akisome halafu ufananishe na hiyo list! mzee wa kazi unawaambia wenzio WAWEKE AKIBA YA MANENO halafu wewe haufanyi hayo??! Walk your talks!

    • @geofreykulanga1282
      @geofreykulanga1282 7 років тому

      samwel wilfred Kama wewe umemuelewa vizuri Askofu basi alitakiwa ajilinganishe kwa idadi ya vitabu na wenzie wanoandika vitabu vya dini,,, sasa ni mimi sijamuelewa? au wewe haujamuelewa au Askofu amekosea kujilinganisha na mtu asie andika vitabu vya dini?

    • @bone102
      @bone102 7 років тому

      Geofrey Kulanga safi

  • @anicetasevarist3506
    @anicetasevarist3506 7 років тому +1

    pesa zote wanazosema anazo kwa nini asijenge kanisa lenye hadhi

  • @robinedson
    @robinedson 7 років тому +3

    Shame on You! Hufai kua muhubiri kabisa.......unahubiri chuki waziwazi? kama kweli una roho wa mungu haukupaswa kulipiza kisasi....

    • @haimonmputanyirenda9899
      @haimonmputanyirenda9899 7 років тому +2

      Rorya Finest unapochafuliwa ukiwa unaakili timamu lazima uwaeleze wenzako kilicho jili uwaeleze ndio ustarabu ukikaa kimnya utakua unatatizo

    • @christsflowe.r
      @christsflowe.r 7 років тому +1

      Rorya Finest kahubiri wewe, unaijua chuki wewe? Kama huijui chuki, chuki ni mtu anaejifanya kuwa rafiki yako mnaenda cheza mpira anakuja kukutembelea kanisani kwako halafu baadae anakupakazia hadharani kuwa unatumia madawa ili kuharibu maisha yako, hiyo ndiyo chuk!!

  • @sadocksebastian7620
    @sadocksebastian7620 7 років тому

    Usilipe baya kwa baya, waombee wanaokuudhi, kisasi ni cha Bwana si cha mwanadamu:- this is according to the gospel.Ooh LORD, have mercy on us..

  • @user-fm9gr6jb6e
    @user-fm9gr6jb6e 7 років тому +1

    ila kawaibia wakiristo wengi

  • @honestbsn3044
    @honestbsn3044 7 років тому +1

    wewe hata ningekuwa sijasoma usingeweza nihubiria nikakusikiza kwa haya uliyo yaongea. MUNGU Ndio hakimu. yesu alikuwa na maana kutuma mapepo ya waingie ngurue lakini una hata ufahamu juu ya hilo. JINGA KUMBE

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 7 років тому +1

    nimecheka mno. Gwajima nouma

  • @francislucas113
    @francislucas113 7 років тому

    Mzee gwajima wewe ni kiongozi lazma utumie hekima uwezi .Ayo maneno siyo yakuhubiri kanisani

  • @bone102
    @bone102 7 років тому

    hivi kweli hao waumini wanaakili kweli yaan MTU anawaambia anawaibia kabisa na wanashangilia eti wakichanga elfu 10 ni billion tayar badala ya kuwasaidia masikin yeye ananunua ndege na waumini wanakaa kwenye Manisa bovu hvyo

  • @rachelmwakatika8084
    @rachelmwakatika8084 7 років тому +1

    😂😂🤔 isn't funny but can't help laugh 👣

  • @penuelfullsalvationchurch3350
    @penuelfullsalvationchurch3350 3 роки тому

    Tumepewa mamlaka ya kukanyanga nyoka na ng,e ivo vyotevyote vile tunaweza ...nafkr mmeelew..

  • @masumbukomsongo807
    @masumbukomsongo807 7 років тому

    Hawa watu wanaenda Mbinguni kweli!! mhh, Bible inasema samehe saba mara sabini na si kulipiza kisasi so Makonda hawezi pata mapepo kwa njia hiyo mnachopaswa kama kawakosea ni kumsamehe na ndio maagizo ya Mungu wetu huyu aliye juu yetu siku zote. Hizi dini zingine za visasi hizi angalieni msije mkawa kuni ktk ziwa liwakalo moto. Kusamehe ni jukumu la mwanadamu yeyote na mtuhumiwa hataishi milele akifa tu atapambana na Mungu mwenyewe huko akhera

  • @jamesngatunga7608
    @jamesngatunga7608 6 років тому

    jamani hii ndo injili gani ya kaisari MPE kaisari jamani watu hawa uja kama malaika wanuru hila sio, Mungu atatutetea tu

  • @paulrichard858
    @paulrichard858 7 років тому

    eti unakemea pepo nenda kwa makon.. .😂😂😂😂😂 lazima yaingie kwano .....neno la bwana haliko hivo

  • @umuturanyidrc5536
    @umuturanyidrc5536 7 років тому

    hahahaaa

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому

    mchungaj unachunga nn ??

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому +1

    hyo nyumba ya mung kwl mbona makelel hvyo achen uongo kama we gwajima mfufuaj wafu monchwar mait zimejaaa mbona uend kuzifufua achen kukufur nyie

  • @emilyemanuel7174
    @emilyemanuel7174 7 років тому

    Askofu ayo ni majaribu yakupasa uyashinde na kama umeshayashnda muombee busara makonda ivo tuu

  • @christsflowe.r
    @christsflowe.r 7 років тому +1

    Apigweeeeeeeee

  • @oyay2821
    @oyay2821 7 років тому

    kuna mtu amefananishwa na nguruwe?

    • @markakhereokhale8788
      @markakhereokhale8788 7 років тому

      kwenye biblia ukisoma imeandikwa kisasi sio chenu ni chamungu

  • @kelvingipson3683
    @kelvingipson3683 7 років тому

    sasa hapo ni kanisani au niwap jaman

  • @salimatuyahhaya5772
    @salimatuyahhaya5772 7 років тому +2

    Utawapumbaza hao hao

    • @sirialemmy37
      @sirialemmy37 7 років тому

      Salimatu yahhaya
      I see you my dear

    • @salimatuyahhaya5772
      @salimatuyahhaya5772 7 років тому +1

      Siria Lemmy Nakula 2 Ubuyuuu

    • @sirialemmy37
      @sirialemmy37 7 років тому

      Salimatu yahhaya yes me Too!
      Kenya is problem also lecturers are striking no training going on...coming Tz kesho

    • @salimatuyahhaya5772
      @salimatuyahhaya5772 7 років тому +1

      Siria Lemmy 😨👍