KASWIDA YA MADRASAT NNURI ILIVYOWAUNGANISHA KUCHEZA PAMOJA SHEIKH WA MKOA MPYA NA WA ZAMANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Maulidi haya yalifanyika Madrasat Nnuri ya Mtoni DSM

КОМЕНТАРІ • 48

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 Рік тому +1

    Mash Allah

  • @samirsaid762
    @samirsaid762 Рік тому +2

    Hawa bwana kwa daresalama hii waacheee nasema jaamaa nuuru wapo Kama jina lao lilivyo mashallah popote itatoa mng'ao wake

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 Рік тому +1

    NI TUKIO LA KIHISTORIA,
    MAASHAA ALLAH MASHEIKH ZANGU, TUNAZIKA TOFAUTI TUNAUNGANA PAMOJA TUNAJENGA MUSTAKBALI MPYA, HII NDIYO LADHA HALISI YA DUFU LA PWANI YA KUSINI... TOKEA MTWARA, LINDI, KILWA, MAFIA, RUFIJI YOTE, KISIJU, MPAKA MKURANGA. KWENYE LADHA HII WALITAMBA MADRASAT DAMBA YA MTWARA NA SASA NI NNURI YA MTONGANI. AMA KWA HAKIKA HAPA NCHINI LADHA KUU ZA DUFU NI MBILI TU, DUFU HIZI KUBWA ZA PWANI YA KUSINI NA DUFU NDOGO ZA PWANI YA MASHARIKI, PWANI YA ZARAMO MIDUNDO MARIDHAWA YA KIBAGAMOYO NA JIJI LA DAARU SSALAAM, MIRINDIMO HII YA DUFU NDOGO NDIYO INAYOSIKIKA KTK MADRASA MBALIMBALI KAMA IBADURAHMAN, ITSWAM NA KADHALIKA... QASWIDA ZAKE ZIKINAKSHIWA NA MAGWIJI WENYE SAUTI ZENYE KUDUWAZA NAFSI, SAUTI ZA KINA SHARIF KOBA, MOHAMMED KHAMIS, USTADH HARUB, USTADH MASOUD ADAM NA MAFANNANI WENGINEO WENGI WA DUFU HIZI NDOGO ZA KIZARAMO.

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 Рік тому

    Nataman oil Leo nione umoja huu, wasiowatakia mema wawe mbali naumoja huu ndio uislam Masha allah

  • @braqutourssafaris4672
    @braqutourssafaris4672 Рік тому +2

    Mashaallah yaan ladha kma hii hata hao masheikh wa kianswar pia waliwahi cheza na kupiga na kma wapo hawajah piga hz waseme.tukizungumia mauli bc ladha yake ndio hii msituletee wahun wa mataan hata kuswali hawaswali na bangi zao mfukon na viduku vyao kwa kua tu wana vaa kanz ndio mseme ni maulid.raha walahi.

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 Рік тому

      Unakomenti usichokijua wewe,masheikh wa kiansar hata kama waliwahi,je baada ya kusoma na kuona maulid inakatazwa walifanyaje??? Si kuacha au?! We kaa na bakwata yako uone,kitu ushaambiwa haitakiwi bado na elimu yako ndogo unasema Raha,kaa na Raha zako lkn ujue ni hasara kwako. Huwezi Pinga ya Mola na ukawa salama haijawahi tokea

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 Рік тому +1

    MASHA ALLAH.

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 Рік тому

    Huu ni mtihani hya mambo ykina dada mwanaume utakataje viuno

  • @jumachoro
    @jumachoro Рік тому

    Wewe unaona bidaa sisi twaona yafaa shekh!!

  • @AhmedMohamed-un4zh
    @AhmedMohamed-un4zh Рік тому

    Dini gani hii???

  • @AliAhmed-vd6qp
    @AliAhmed-vd6qp Рік тому

    Ama kweli hii ndio bida

  • @ahmedrage9664
    @ahmedrage9664 Рік тому

    Hawa wazuushi wamefanya dini kuwa ni mziki,,, afadhali wasanii, kuliko hawa wanaochezea dini,, Allahul muta3aaan

    • @ahmedrage9664
      @ahmedrage9664 Рік тому

      @Omar Hamisi mm nashangaaa na nyinyi wapumbavu mnao chezea dini.... Mkiambiwa ukweli, Ety husdaaa..!!!! Kila kitu husdaaa..! Sasa mna nini mpka tuwafanyie husda... Majaaaheel wakubwaaa

    • @ahmedrage9664
      @ahmedrage9664 Рік тому

      @Omar Hamisi wewe ni mjinga hujui lolote.. siwezi bishana na wewe.. nenda kasomeee uwajuee wanawachuoni ni kinananii.... Sio hao mashehena wako wanaokata viunoo

  • @samirsaid762
    @samirsaid762 Рік тому

    Eeeeeeeheeeeeeeee

    • @allysalumu9344
      @allysalumu9344 Рік тому

      Allah awaongoze muweze kuthibiti katika haqq

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 Рік тому

    Kweli hii ni ibada?

    • @juniorndago8488
      @juniorndago8488 Рік тому +2

      Ndio kufurahi ni ibada,ila kwakuwa umemezeshwa ujinga huwezi kutambua!

  • @khelefomary4486
    @khelefomary4486 Рік тому +2

    Hili ndio Dufu halina mchanganyiko na wanawake

    • @osmaniidrisa6290
      @osmaniidrisa6290 Рік тому

      KwA hiyo na mziki tusipochanyika na wAnawake inakua hali?

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 Рік тому +2

      @@osmaniidrisa6290 mtume kapigiwa dufu kichwa wewe mbururu wasema haifai kwahiyo we na mtume nani bora

    • @khelefomary4486
      @khelefomary4486 Рік тому

      @@osmaniidrisa6290 historia ya Dufu haichezwi na wanawake. Nasema ivyo mziki ni nin? Na ngoma ni nin? Pia kusengenya ni makosa makubwa kuliko Dufu sasa wewe Jana tu umemsengenya ndugu yako hatari

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 Рік тому

      @@khelefomary4486 Wakati anamsengenya ulikuwepo?? Je wewe ni muislamu? Mbona hukumkataza? Maana waislamu wamekuwa umma Bora kwa Sababu ya kuamrishana mema na kukatazana mabaya

    • @khelefomary4486
      @khelefomary4486 Рік тому

      @@mwajumamohd7930 nilikuwepo na nikamkataza. Huyu namuelewa sana .jee unajengine LA kuniuliza kuhusu yeye?

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому

    Ahal Al bidaa!!

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Рік тому

      wacha ujinga wewe punda

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому +1

      @@mafiatv5479 Ahal Al bidaa!!

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Рік тому

      @@jumakapilima7295 wewe punda

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Рік тому

      @@jumakapilima7295 na wacha ujinga wako

    • @tahaddath
      @tahaddath Рік тому +2

      Hakuna watu majaahil kama mawahabi,,,,, kazi kuvaa sketi za dada zao tu