JAMAA ALIYETUMIA DAWA ZA KULEVYA MIAKA 20, AACHA NA KUFUNGUA KITUO CHAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Beda Shirima ni mkazi wa Arusha ambaye ametumia madawa ya kulevya miaka 20 iliyopita lakini baadaye aliacha baada yakupelekwa soba nakupata tiba nakumwezesha kuacha kutumia madawa hayo miaka saba hadi sasa nakuamua kufungua kituo chakuwasasaidia watu amabo tayari wameshaathirika.
    Beda amesema baada yakusaidiwa na watu wengine ilimuwezesha na yeye Kkukodisha nyumba nakufungua kituo ambacho kwa sasa ameshawasaidia vijana zaidi ya 30 kuachana na madawa hayo nakuiomba serikali kumsaidia

КОМЕНТАРІ • 22