Boondocks Gang Bongo Ni Ya Bongo Lala
Вставка
- Опубліковано 21 лип 2019
- Send in Your FeedBack And Comments to SMS 40920
Like our pages and follow us on twitter for more hot entertainment. Twitter: / ebrutvkenya Facebook: / ebrutvkenya #EbruJibonge #SMS40920 - Розваги
2:44 huyu jamaa alikua prefect highschool nlisomea na alikua mtiAji vibaya sana. Naona maisha inampeleka na rieng hadi anatembea na notebook town 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 karma is a bitch
anakaa tu mtiaji
😂😂😂😂😂😂
😂😂JOBO
hio jamaa
I appreciate your music take it to the next level go go 🇰🇪 to the fullest
hii ni ufala mnauliza watu hawana idea hii ni gang kali
Xray bana kuna vile huyu mzee flow yake uwezaa mbaya ....endeleee kutufeed na mangoma wenye wanataka kuskiza ngoma na mama zao wakaskize willypaul
Kwanza x ray wah ako poa
Ambulance #45 mwenye hapa.. Boondocks all way
This music is for now generation. We also had our time. These guys are repn straight up. Party music.
No haterism. If y'all want another type of music there's so many you can listen to.
Kp up the Tallent Boondocks and other young generation in the industry.
Hawa wazae ni watiaji sana😂😂
MTU mzima hajui Rieng' ni nini😂😂😂
Bana
Street language ziko different kila kitaa so ushishangae % kubwa wanaojua meaning ni kutoka nai thn sioni awajamaa wakifika far na hii style yao iko soo local can't compete with international artists
Red tsho guy mouths toooo much.. 😂😂🤣
Wako sawa na io iko pwa
Odi wa muranga 🔥🔥🔥🔥
Moto sana
You asked the wrong peaple , venye tunawarespect hao hawatambui
wazazi wana sema ni mbaya juu wasiki message ziko ndani 🤗😂😁🤗🤗
Bana na venye ikona message
Samco Boy mwathani
Ati CD😂😂😂😂😂😂😂😂hiyo error tulitoka
Acha baba aitishe CD 😂😂
@@askkahihuofficial hahaha kweeeraaaa
Kwanza napenda odi wa muranga 😍😘that voice lol
The guy with a red t-shirt na trouser iko na mifuko kubwa tells alot no wonder hujui meaning ya boondocks gang ni nini
Kwani ni lazima ujuwe
Eeh odi wamurang'a c amekula ma hugs😂😂😂
Napenda hii content nikipata chance kama hii ata sijui
Uyu msee watosho ya red apelekeshe vitisho huko
You asked the wrong people...you could have asked the youths
Exray😌❤💯💯
Bongo flavour asahivi iko kwenye chati so acha tu ijiuze
From 255 imbeni mueleweke msi make noise tuuu 🥴🥴 tutawasikiliza 🇹🇿
Wivu
Nionyeshe ujanja😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Uyo mse anadai ati waget support ya willy Paul.
Rieng ni kukumbatia na kukemba, Gengetone ndo form, Boondocks Gang till I D.I.E
Vintage "Kako njaa nakapea miti!" 😂
after exray alianza bigfish kicheko ikaingia 😂😂
mad respect for this vibe, KE forever. For the culture 🔥🔥
Wakali wa0 x-ray 💪🇺🇸. Support from U.S.A
Gengeton all the time
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ati willy paul,bomboclaat!!!
XRAY anakaa anadai kusanya msee
Xry nany ukuuwa Kila taim ju ako ju kakamba yakujiyoga nimu migindogo
Kiyogindogo
We mse wa jibonge kwani hujui kuangalia wale watu wa kuinterview😂
Boondoks genge
Yes😂
Love you guys 💖🔥💯
Mii napenda chipukezy na Kartelo
wachani kuuliza wazee😬😬 uliza mangoko
Gengeton 🔥🔥🤩
Huyo mamas boy aende tu kwa mamake
Hahahahaa
Nice to see my fellow UA-camrs doing a great job. Congrats.
4:50 This guy is a secondary teacher
Kwanz nikama anafunza etiquette 😂😂😂😂
😂Hawa ndio wale wanabonga class nikama amabaye washamake it in life na hata wanangoja ku catch flight ya kwenda Dubai 😂
😅😅😅 true
Gang ya Boondox.$$
Huyu odi wa murang'a hukuwa sawa ajabu
Inaitwa ? Aluta ....Nimeiskia😂😂
This guys are so underrated honestly they are better than Ethic
💥💥💥💣💣💣💣ukweelliiii
254looooow Foreverrrr.. Booobdocks Gaang
Na kwani hawakulangi......😂😂..tuone maendeleo.
Damn, wtf 😭😭
Huyo mzae wa red anaboo....next time usiulize wazee vitu za vijana
Akii
Bt hi muliuliza clueless people.. Only the girl knew the gang..
Surely...who listens to any music with their parents
Just being lame hizi song I hated but nowadays napenda
Mjama anadai collabo ya boondocks na willy paul ama nimeskia zangu😂
lakini mmeniudhi kuongea vbaya kuhusu fans wa bongo whereas wengine n fans wa both bongo na gengetone ka mhm
These songs are associated to those who smoke bhang. If u don't, u can't get the message.
Exray
😂😂😂gengetone wako fiti
huyu msee wa grey anatory boondocks ati CD
Greatest hits
Under 18 ndo huskiza mangoma zenyu.
Out 6 that came through only 1 dint have but in the statement.
That should show something
Huyu mwenye t'sho ya red aende askize ken wa maria
Mziki haiweziskizwa na kila msee ,wale wanafeel offended by gengetone kuna Rhumba,soul, rnb ,zilizopendwa joh
rieng ni jibonge
Willy paul 🤣🤣😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂
Nani ameskia ata ndo huyu mum anacall
Ati cd tena😂🙄🙄
Mnapig madong mzk wa bongooo🙂😂😂😂😂😂😂😂
Hawajui kama kizuri cha jiuza
Nani amskia genge drone huyo mseh wa kwanza???
Hahaaaaaaa uwi
huyo wa tisho red a kwende huko
Bongo ni ya bongolala
10:00 that guy is on point kansol walianza pia sai hawana relevance ethic walianza mbaya buy sai wanagrow, either way though siwezi kaa chini naskia ngoma zinabonga kuhusu madem, drugs and alcohol and nothing more, there is a lot of content out here but they seem blind to it
exxxxxraaaayyy
Advise ya huyu msee amengaria red zinachanyanga 🤔🙄
Kama hajasikiza aluta asipeana advice😆
😂😂😂😂😂😂😂😂
Genge tone wat we need 😉😉😎
Bongo ni ya bongo lala, 😎 Acheni ukuma nyie mabwege tu kimziki bado hamtuwezi !! Nyie mtaishia macomedy yenu ya kishamba !! Usifanye mzaha na 255 wewe!!🖕
These are my guyz anytime any day...
9:00 x ray ame cheka wakati ameskia willy paul
Willy Paul, how
Ati rieng inamaanisha nini.... Ngui
ubwa wewe ati bongo lala...naenda unsubscribe kwa channel yenu...we hujui vile bongo hunitouch..shetani
Haitaki feelings oya...freedom of expression
😂😂😂😂😂😂😂😂
exxxxxraaaayyy
lakini mmeniudhi kuongea vbaya kuhusu fans wa bongo whereas wengine n fans wa both bongo na gengetone ka mhm