Huku Nairobi kuna kijana alikufa kwa hali ya utata alifirwa kisha akatupwa kwa 10 storey building kulienda kulivyoenda mwisho mshukiwa " Faxtso " alishinda kesi . So hii Kenya ni kama wanaruhusu hizi story chini ya maji.
Mimi nikiwa mkenya na natoka county 001,nige sisitiza kwa vyombo au vitengo vya usalama kupata ukweli wa hilo tukio, maana nikashiva,hujuma na aibu kwa kitengo cha county management na taswira chafu kwa pwani nzima,wahusika ni wakati muafaka kutafuta na kuthibitisha ukweli na kitengo cha mahakama sheria zitumike pasi na dhuluma au mapendeleo.haki iwe ngao na ulinzi.
Amali sonko mnafiki
Kwa nini vijana wanapo taka haki yao wana siasa wana watambua kwa jina la wahuni
Hao watu wasipochukuliwa hatua Kenya itakua ya kudhulumiana.mwanaume anaingilia mwanaume mwenzake nyuma sidhani hua na kichwa nzuri
Ameharibu sharifu 😂😂
Kweli hapo amechemsha
Hao wafiraji wachukuliwe hukumu kali
Kabisa
💪
Huku Nairobi kuna kijana alikufa kwa hali ya utata alifirwa kisha akatupwa kwa 10 storey building kulienda kulivyoenda mwisho mshukiwa " Faxtso " alishinda kesi . So hii Kenya ni kama wanaruhusu hizi story chini ya maji.
Dah
Abdul swamad has ruined the late sharif naseer's reputation
Kweli kabisa
I think it's u who ruined
Mimi nikiwa mkenya na natoka county 001,nige sisitiza kwa vyombo au vitengo vya usalama kupata ukweli wa hilo tukio, maana nikashiva,hujuma na aibu kwa kitengo cha county management na taswira chafu kwa pwani nzima,wahusika ni wakati muafaka kutafuta na kuthibitisha ukweli na kitengo cha mahakama sheria zitumike pasi na dhuluma au mapendeleo.haki iwe ngao na ulinzi.
Nice message Asante
Kwani wahuni sibinadamu hawana family?
Munge mlani yule alie anza kumbikiri huyo shoga. Mashoga wajulikana.
Mwenyewe alikua vitu vya nazi
Hata kama inchi yetu hairuhusu hivyo vitendo hata kama hairusiwi kumweingia mtu lazima hata bibi Yako ukimwingia kwa nguvu utashikwa na kesi