Hongera sana kaka @ramadhani Kwa kweli huwa tunajifunza mengi sana kutoka kwako Kwa kweli tuliofollow account zako huwa tunajivunia madini ya soka kutoka kwako🔥👏🙏
Hongera sana Mzee wa data, TV na wachambuzi wengine wanajaribu kukuiga lakini wamefeli saana. Maama TV na wachambuzi wa bongo ni kukopi na kupaste na hawana muda wa kufuattilia jambo kiundani na kwa data kabla ya kuliandika au kuongea. Wanakurupuka tu huku wakielemea kwenye uchambuzi wa kishabiki wa kutetea timu zao hata kama ni mbovu wao wataipambania mpaka inaposhuka daraja na bado hawakomi.
Mie naomb wote twende makundi na tuvuke hapo ila dua yangu tumpite simba ktk rank wanaongea san na ndio wanaringia saiv mjin...kidogo tu si club kubwa kisa rank
Ni kipaji ndugu si kila mtu anaweza kuwa hivyo,IQ ya watu wa namna hii ni kubwa,ubogo wao unakuwa smart kueelewa,kukalili,kufikiri,kufuatilia,kusoma mambo mengi kuhusu taaluma yao.
KAKA MBWADUKE WEWE NDIO ANALYSIS FOOTBALL IN TANZANIA UKO VZR BROO NIITE NICKSON MAGEMBE 🎉🎉🎉🎉

Kaka huna baya ,, pia huna ushabiki wa timu yoyote kwenye kazi Yako hongera sana
Hongera sana Mzee wa data, TV na wachambuzi wengine wanajaribu kukuiga lakini wamefeli saana. Maama TV na wachambuzi wa bongo ni kukopi na kupaste na hawana muda wa kufuattilia jambo kiundani na kwa data kabla ya kuliandika au kuongea. Wanakurupuka tu huku wakielemea kwenye uchambuzi wa kishabiki wa kutetea timu zao hata kama ni mbovu wao wataipambania mpaka inaposhuka daraja na bado hawakomi.
🎉🎉
Nilikuwa nasubilia kwa hamu mzee wa data❤❤❤
Father Good work
Fundi sn hajawahi tokea mchambuzi kama wee big up farther
Mie naomb wote twende makundi na tuvuke hapo ila dua yangu tumpite simba ktk rank wanaongea san na ndio wanaringia saiv mjin...kidogo tu si club kubwa kisa rank
Dua zetu moja tukiingia kumi bora kelele zitaisha
Uncle Mbwaduke uko vizuri mno, usipokuwepo kwenye Kandanda Mubaashara NBC League huwa sielewi kitu😂
Wakuletee na yule jamaa wa za ndaani😅
@@bestman3651 😀 Yule Miyeyusho
Nice, Sauti Iko poa Now 😊, Kazi Nzuri Mzee wa Data.
Upewe maua yako shekhe Ramadhani
Katika wachambuzi bongo unanafasi ya kwanz
Anatixha sana huyu mzee wa kulidadavua socar kiukwel ni wa aina yake na hana kigugumizi kwenye mada husika ixhaallah mungu awe p1 nae
Huyo ni chuma kina noa chuma bwana ramadhani mbwaduke
Caf wanafeli sana, yaani ukimfunga Zalan fc, Asas, Vital'O na CBE viwango vinapanda?😅
Apewe maua yake hyu baba jamni anajua ball mpka natamn niwe kama yeye🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakubali
Nakukubali sana mzee wa data
Kwel yanga ni bora ila kesho,watujulishe kuwa wao ni bora wanchiiiiiiiiio
Unajua Sana mkuu ... Mbwaduke
Huna baya kaka
Unafanya kazi yako kwa ueledi
Upewe mauwa yako
Nakukubali sanaa nafikia kusema kwa tz hakuna mchambuzi kama wewe
Punditry
Mbwaduke huyu bint anajua usimuache.
Uchmbz uk pw kaka
Huyu mzee namuelewaga sana akichambua mpira
Huna baya mzee wa data
Amani iwe nanyi pia
HIV huyu jamaa yeye kichwa chake kikoje sjawah para Mtu mubeba takwim kubwa kama hizo inje ndan majina ya wachezaj Moja mmoja daa
Ni kipaji ndugu si kila mtu anaweza kuwa hivyo,IQ ya watu wa namna hii ni kubwa,ubogo wao unakuwa smart kueelewa,kukalili,kufikiri,kufuatilia,kusoma mambo mengi kuhusu taaluma yao.
Tunafyeka hicho kichaka soon
😂😂😂😂 Kicha wanacho tamba nacho kila siku kina nikera
Umetisha
Tisha sana
Nimesubiri sana