Amen!! Ushuhuda huu ni kweli kabisa!!! Sijaona shida!! Nimehakikisha!! Yesu hakika ni Bwana Mungu!! Njia ni Yesu Kristo!! Yohana14:6!! Yohana8:12. Yohana15:7. Yesu ni Mungu Wafilipi2:5-11, Tito2:13, 1Yohana4:1-3, 1Yohana5:1. Yesu hakika ni Bwana Mungu wa wote wenye mwili Yeremia32:27, Yesu hakika ni Mungu hakika Isaya9:6. Amen!! Bwana Yesu asifiwe sana!! Jina la Bwana Libarikiwe!! Ameeeen!!!
Alleluia, Alleluia, Alleluia, Jina Bwana YESU KRISTU Libarikwe, Kweli ume honja Raha ya Mbiguni, Bwana wetu YESU KRISTU Abarikiwe kwaku kupa kibali hicho, Pia Bwana aku Bariki kwa kua Mwaminifu Ktk kutoa Ushuuda. YESU KRISTU NDIE YOTE KTK YOTE. Lakini usi jihuwe tena.
Mbarikiwe kwa ushuhuda huu, nimejifunza kila kiumbe cha Mungu kina thamani mbele zake basi mwanadamu anapoharibu mazingira anatakiwa atubu pia kama anavyotubu dhambi zingine
Asante Yesu kwa promover tv na kwa ushuhuda huu. Kweli tunajifunza vitu vingi na kuzidi kukaza mwemndo ili tuweze kufika mbinguni. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Yesu Kristo ni kila kitu, ni Bwana, ni Mungu, ni nuru, ni Mwanzo, ni uzima, ni njia, ni kweli, ni Mwisho, ni neno, ni mbingu Mpya, ni nchi mpya, ni Mwanadamu, ni mtume na nabii, ni malaika, ni Jerusalem mpya na mengine mengi, yaani yeye ni yote katika yote, Utukufu una yeye milele na milele Amina
Mungu mwema sana anawachukuwa watumishi mbali mbali mbinguni ili atammoja asipotee ili wote tuifikie toba yesu nisaidie nije kuishi pamoja nawe kwenye jiji takatifu
Jaman nawatamani sana wanaoenda mbinguni nakurudi ... Asante kwakutupa Siri hizi za mhimu kwa tulio hai...*nimecheka aliposema nikaanza kufahamu kwamba natakiwa kurudi duniani* hata kabla hujaambiwa...mbinguni bwana unakuwa genius automatic. YESU TUSAIDIE TUFIKE HUKO
Lango lile Yesu bwana wote waingie kwake😇 kaka yetu alipata neema kuona jinsi Yesu alivyo lango kweli jinsi watakatifu wanaingia kwake kupitia tumbo lake
Dah mtani wangu hongera Sana sanasanasa bwanayesu alijua kukutoa tongotongo😅hz nema bwana YESU namm nitembelee jmn nipate angalau kuona namm nije nismulie km huyu mtani WANGU,, au
SHUKRANI MUUMBA KWA kuleta hii channel ya promovertv inayotuhelimisha nakutufunza mengi kupitia watu mbali mbali ili nasi tuweze kufikia Ufalme wa MUNGU, Barikiwa Sana
Ameen Ameen Ameeen,huo ndiyo ushuhuda halisi kabisa, Lazima watu wa Mungu tuuone UTUKUFU wa Mungu,Siyo kila siku kumwinua shetani kwa kutoa shuhuda za kuzimu tu, Ubarikiwe sana kwa ujumbe,wasioelewa NENO watabeza usijali ujumbe umefika, Uumbaji wote Lazima umsifu MUNGU,
Ningependa kukuliza swali Moja pastor,mbona Huwa inasrmekana kwamba ukifa pia urudi Duniani ulimi wako Huwa mzito kutamka maneno haiwezekani na wwe unatoa maneno kwa kinywa chako??
Mimi JEREMIAH HUKU USA: Asante sana kwamaelezo ya huko mbinguni, ninalo swali moja, je mkristo akirudi nyuma katika dhambi ila akiendelea kumtolea Mungu matoleo kadha kwa kuendeleza kazi za kanisa kazi nyingi tu, sasa huko mbele akaja kumrudilia Mungu akatubu. Je yale mema yote aliyoyatenda akiwa katika dhambi zitaandikwa mbingu kwa jina lake? Ao huduma zote alizozitenda akiwa ameanguka haziesabiwe? Ataanzia wakati anatubu tena Jeremiah
Jibu unalo moyoni mwako japo unauliza swali la kukaribisha udanganyifu. Umesema mkristo kurudi nyuma maana yake jina lake kufutwa kwenye kitabu cha uzima maana yake hakuna rekodi yoyote ya matendo yake. Sasa atakumbukwa kwa lipi?
" zipo channel na radio kibao zenye majina lakini zinaongelea udaku na umbea na anasa za watu. Lakini promover na udogo wenu mnajitahidi kutangaza injili ya kristo. Hakika nawaombea mtanuke na kufikia watu wengi ili waijue neema ya kristo
BWANA YESU asifiwe,Mtani hayo unayotushuhudia ni maruweruwe ya vidoge ulivomeza ambavo havikuwa na nguvu ya kuweza kukutoa roho ndo maana ulizinduka na upo Bado duniani.Umuhoji MUNGU kirahisi hivo?ndg yangu hapo ulipo kusingetakima maelezo mengi ila sisi tungekuwa tunaona utukufu mkuu wa MUNGU,mwanzo33:18-20,JOH:1:18
Amen!! Ushuhuda huu ni kweli kabisa!!! Sijaona shida!! Nimehakikisha!! Yesu hakika ni Bwana Mungu!! Njia ni Yesu Kristo!! Yohana14:6!! Yohana8:12. Yohana15:7. Yesu ni Mungu Wafilipi2:5-11, Tito2:13, 1Yohana4:1-3, 1Yohana5:1. Yesu hakika ni Bwana Mungu wa wote wenye mwili Yeremia32:27, Yesu hakika ni Mungu hakika Isaya9:6. Amen!! Bwana Yesu asifiwe sana!! Jina la Bwana Libarikiwe!! Ameeeen!!!
Alleluia, Alleluia, Alleluia, Jina Bwana YESU KRISTU Libarikwe, Kweli ume honja Raha ya Mbiguni, Bwana wetu YESU KRISTU Abarikiwe kwaku kupa kibali hicho, Pia Bwana aku Bariki kwa kua Mwaminifu Ktk kutoa Ushuuda. YESU KRISTU NDIE YOTE KTK YOTE. Lakini usi jihuwe tena.
Amen, mtumishi lang stany
Kumbe mtumishi lang stany ana channel UA-cam sikujua ngoj nikasubscribe
Amen and Amen Mutumishi langi stany
@@flm1530 hata mimi sina habari
Make apo Kwanza ncheke😅
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu umenifunza mengi hapa
Promover t v kweli hamlali kuakikisha kazi ya Kristo Yesu inasonga mbele kuokoa mioyo ya wanadamu..be blessed the whole team kazi nzuri.
Mbarikiwe kwa ushuhuda huu, nimejifunza kila kiumbe cha Mungu kina thamani mbele zake basi mwanadamu anapoharibu mazingira anatakiwa atubu pia kama anavyotubu dhambi zingine
Bwana YESU KRISTO Atukuzwe Sana... kwa Maono Mazuri Sana yenye Mafunzo Mazuri Sana...
Bwana yesu asifiwe Wana was
Mungu nimebarikiwa sana na
Ushuda huu asanteni kwa Kuni
elimisha namimi nimepokea
Ujumbe huu Amina
Amen ushuhuda mzuri eeeh Yesu nisaidie nifike mbinguni bila wewe siwezi
Asante Yesu kwa promover tv na kwa ushuhuda huu. Kweli tunajifunza vitu vingi na kuzidi kukaza mwemndo ili tuweze kufika mbinguni. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Ahsanteni kwa ushuhuda huu
Yesu akusaidie uendelee kutembea katika jiia yake, barikiwa sana kwa ushuhuda
Yesu Kristo ni kila kitu, ni Bwana, ni Mungu, ni nuru, ni Mwanzo, ni uzima, ni njia, ni kweli, ni Mwisho, ni neno, ni mbingu Mpya, ni nchi mpya, ni Mwanadamu, ni mtume na nabii, ni malaika, ni Jerusalem mpya na mengine mengi, yaani yeye ni yote katika yote, Utukufu una yeye milele na milele Amina
Asante Sana mno
Safi mura na Mshukuru Mungu Kwa ajili Yako nimefurahi Sana kwahuu ushuhudaa
Mungu atuwezeshe nasi tumuone Bwana yesu, ubarikiwe kwa atua iyo.
Yesu usiache. Naendelea kukufahamu zaidi na zaidi
Mungu mwema sana anawachukuwa watumishi mbali mbali mbinguni ili atammoja asipotee ili wote tuifikie toba yesu nisaidie nije kuishi pamoja nawe kwenye jiji takatifu
Mungu awabariki pomover.
Asante Yesu Mungu azidi kuitunza na kuinua promover tv tunajifunza mengi
Amen
Asanteeee kwa ujumbeeee huuu eee MUNGU wangu naomba unisaidieeee
Jaman nawatamani sana wanaoenda mbinguni nakurudi ... Asante kwakutupa Siri hizi za mhimu kwa tulio hai...*nimecheka aliposema nikaanza kufahamu kwamba natakiwa kurudi duniani* hata kabla hujaambiwa...mbinguni bwana unakuwa genius automatic. YESU TUSAIDIE TUFIKE HUKO
Kuzimu ni kubaya, na sio original, mbinguni ni, original na nikwamilele, kwa jina la yesu shindwa na legea, asante
Mungu anawajua wali wake
Mungu wangu, unirehemu nisi kose kuona uzima wa milele.
Hii chaneli mungu aibariki sana inatuletea uwamsho katika bwana
Nawapenda promover Dr Jactan na timu yote mbarikiwe napata vitu vingi vya kujifunza
God bless you for your testimony
Amen and Amen Asanteni sana kwa ushuhuda wa kujenga
Ameeeeeen BWANA YESU asifiwe
Wow! Very powerful 👏
MUNGU AWABARIKI SANA 🙏 KWA KAZI NJEMA YA KUTUJUZA MENGI YA KUTUJENGA
Amin.
Asante ❤
Bwana yesu asifiwe
Hakika Kila shuhuda inanijenga Sana na ninatamani siku moja nikaone kwa macho yanayoshuhudiwa nakaza mwendo nifike
Hata Mimi Mungu anaisaidie nimalize mwendo salama maana kwa nguvu zangu sitaweza
Huu ni ukweli kabisa na unatuweka huru, asante Bwana Yesu Kristo
Ameeeeeeen
Ubarikiwe
Yesu ni pokee jinsi nilivyo, samea dhambi zangu.
Mbarikiwe sana
Lango lile Yesu bwana wote waingie kwake😇 kaka yetu alipata neema kuona jinsi Yesu alivyo lango kweli jinsi watakatifu wanaingia kwake kupitia tumbo lake
Amina
Promover tv mbarikiwee
Amen
Ameeen
Umetia fora Jactan kwa ushuhuda huu in kama Amiel
Dah mtani wangu hongera Sana sanasanasa bwanayesu alijua kukutoa tongotongo😅hz nema bwana YESU namm nitembelee jmn nipate angalau kuona namm nije nismulie km huyu mtani WANGU,, au
SHUKRANI MUUMBA KWA kuleta hii channel ya promovertv inayotuhelimisha nakutufunza mengi kupitia watu mbali mbali ili nasi tuweze kufikia Ufalme wa MUNGU, Barikiwa Sana
Promover TV Mungu awabariki sana nimebadilisha mifumo ya maisha yangu ili hata mauti ikinikuta niingie mbinguni
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Shukran promover tv kwa ushuhuda huu mzuri ....Barikiwa Sanaa mtumishi wa Mungu
Amen
Let your light of glory to shine on me till I enter rapture.
Always a blessing from you jacktan
Amen
Jamani Mbinguni panatamanika eeh Mungu nisaidie na unirehemu niingie pale.
Hee Mungu wangu na Baba yangu naona unisaidie unipe mwisho muzuri ili nikifa nione mbinguni
Kaka jacktan msafiri na timu yote ya PROMOVER TV MUNGU awakumbuke katika ufalme wake...mnafanya kazi njema sana....nawapenda sana..
Powerful testimony
Ameni
Amen
Ameen Ameen Ameeen,huo ndiyo ushuhuda halisi kabisa, Lazima watu wa Mungu tuuone UTUKUFU wa Mungu,Siyo kila siku kumwinua shetani kwa kutoa shuhuda za kuzimu tu, Ubarikiwe sana kwa ujumbe,wasioelewa NENO watabeza usijali ujumbe umefika, Uumbaji wote Lazima umsifu MUNGU,
Mnaosema dhahabu na madini yote ni mali ya shetani mmepotea na mnamwinua na kumtukuza shetani huku ni kumhuzunisha ROHO MTAKATIFU bila kujua,
Ushuhuda mzuri wa kuelimisha nimejifunza mengi barikiweni nyote kwa huduma
Bwana nakushukuru kwa kuniwezesha kusikia ushuhuda huu,hakika nimebarikiwa kwa ushuhuda huu.
In your wrath, over my life, God remember mercy on mankind.
Where is part two?
Ningependa kukuliza swali Moja pastor,mbona Huwa inasrmekana kwamba ukifa pia urudi Duniani ulimi wako Huwa mzito kutamka maneno haiwezekani na wwe unatoa maneno kwa kinywa chako??
Ukitulia na wachawi halafu ukakatwa ulimi Sasa kwani achawi hawakati ulimi mpaka maerehemu akitolewa arobain tu basi ulimi unakatwa nasikia
Shuhuda zingine zipimwe kwa neno la Mungu.
Siyo zingine Bali zote,
Kwa kweli unywe sumu kisha uende Mbinguni hii imekuwa mpya kwangu na Wokovu
@@trophywilson7211 hatuwezi kujua yote isipokuwa kwa sehem
@@trophywilson7211 sikiliza vizuri je hakutubu
Usihukumu usijehukumiwa. Muombe Mungu atakupa majibu
Mimi JEREMIAH HUKU USA: Asante sana kwamaelezo ya huko mbinguni, ninalo swali moja, je mkristo akirudi nyuma katika dhambi ila akiendelea kumtolea Mungu matoleo kadha kwa kuendeleza kazi za kanisa kazi nyingi tu, sasa huko mbele akaja kumrudilia Mungu akatubu. Je yale mema yote aliyoyatenda akiwa katika dhambi zitaandikwa mbingu kwa jina lake? Ao huduma zote alizozitenda akiwa ameanguka haziesabiwe?
Ataanzia wakati anatubu tena
Jeremiah
Jibu unalo moyoni mwako japo unauliza swali la kukaribisha udanganyifu. Umesema mkristo kurudi nyuma maana yake jina lake kufutwa kwenye kitabu cha uzima maana yake hakuna rekodi yoyote ya matendo yake. Sasa atakumbukwa kwa lipi?
Mema yanahesabiwa unapoanza upya Yaani ukitubu hapo ndipo haki yako inapohesabiwa tena
Mungu ataanza kumwangalia tena kama atatubu na kurejea vinginevyo asahau,
Hawezi kuhesabiwa Chochote ni sawa na kuitupa chooni tu sadaka yako
Wow c uni link part 2
USHUHUDA WA MBINGU NA KUZIMU NA MESHAK WA TARIME: ua-cam.com/play/PLXTmPgeqbJ0kEYkSGezZcbvmRCVDnYvUQ.html
?????????????????????? si kwa ubaya!
" zipo channel na radio kibao zenye majina lakini zinaongelea udaku na umbea na anasa za watu. Lakini promover na udogo wenu mnajitahidi kutangaza injili ya kristo. Hakika nawaombea mtanuke na kufikia watu wengi ili waijue neema ya kristo
amen amen
Muendelezo jamani
Eee MUNGU nisaidie niweze kusimama imara nisome biblia kila wakati na kulielewa na pia nidumu katika maombi kila wakati eee MUNGU nisaidie
Nimeanza kuwaelewa wasabato
Kwa nini??fafanua
Ktk hayo maono kuna mkanganyiko,
Huu ushuhuda unakasoro. Kuna mambo mengi hapa hayaendi sambamba na neno la Mungu.
Kama yapi yasiyoenda na maandiko?
Kuwa mtiii usimpe Shetan nafas wewe amini
Sio rahisi wote tumkubali au tumuelewe, ila naamini kila mmoja anaweza funuliwa kwaehem yake kwa kadri ya kipimo cha neema yake
- Wenye Channel! Msifundishe watu jinsi ya kujiuwa, na namna ya kufanya uchawi, au content yoyote ambayo iko kinyume na Bibilia.
Sasa kwa waislam jaman ambao hawamuamin yesu inakuaje na wanatenda mema
Ni kuwaombea ili wapate neema ya kumjua huyu Yesu na kumwamini
Ni mtihani ndugu yangu,ni sili ya Mungu,dawa ni kuwaombea
Mbingu ni moja tu na anaingia tu aliyemkiri BW YESU kuwa ni BWANA na MWOKOZI na kuamini kuwa ALIKUFA NA KUFUFUKA,huku akiyaishi MAPENZI YA MUNGU
Ni kuwaombea kama tunavyoombeaa wengine waokoke, Maana YESU ndiye Njia,Kweli na Uzima,
@@janemujuni764 wanayo Mbingu yao Tuwaache hivyo mimi ndo huwa nasema hivyo
why
BWANA YESU asifiwe,Mtani hayo unayotushuhudia ni maruweruwe ya vidoge ulivomeza ambavo havikuwa na nguvu ya kuweza kukutoa roho ndo maana ulizinduka na upo Bado duniani.Umuhoji MUNGU kirahisi hivo?ndg yangu hapo ulipo kusingetakima maelezo mengi ila sisi tungekuwa tunaona utukufu mkuu wa MUNGU,mwanzo33:18-20,JOH:1:18
Wewe ndiye mwenye maruweruwe unajibu kabla ya kupambanua
@@janemujuni764 aise hapo na Mimi sijaamini bado Aendeje mbinguni na huku alijiua??Haipo mbingu ya waliojiua
why would you even do this
But
Not playing spots
What are you even thinking
This is deception
Mmmmmmnmmm
Huyu jamaa kajiua and then akapokelewa mbinguni mbona simuelewi?
Hata mie nashangaa ujiue kisha upokelewe mbinguni sielewi
Ni kwa neema tu Mungu alitaka ampe ushuhuda
Mungu alikuwa na kusudi kuachilia roho ya kujiua ndani yake ili aweze kufikisha huu ujumbe, Kumbuka Njia za Mungu hazichunguziki
Alaf acha hio biashara ya nywele utaishia jehanamu
Ndo hatari hapo Hizi shuhuda mie karibia niache kusikiliza tutapotezwa na wakristo wa siku za mwisho Yesu alisema
I'm not saying I don't follow God
Msaada Tafadhali,kila shuhuda ninazo sikia nasikia eti,wanaoshuhudia wanaongea kiswahili inamana ndo lugha inayotumika au,kingereza au kichina hakuna,au kirundi,
Sasa mpendwa wewe ni mswahili utawezaje kuja kichina jamani ? Akienda mchina ataoneleshwa kichina akienda mrundi ataoneleshwa kirundi
Hata Mchina akienda atasimulia kwa hicho
Bora ata ungejiuliza kwanini hasemeshwi kikurya
This is so wrong
Hii ni hatari ngoja tusikilize
Kwa nini wewe Jakitani Msafiri hutaki kunikaribisha Mjumbe wa agano Duniani?
Karibu sana
Mbarikiwe sana
Amen
Amina
Amina ushuhuda nzuri mtumishi unatujenga Mungu tusaidie
Ushuhuda mzuri, Yesu nisaidie nifike mbinguni
unawezaje kuingia mbinguni wkt umejiua? mmhh hapa kuna shida kidogo