Ilishaandikwa Siku Za Mwisho Wa Dunia Watu Wapuuzi Kama Uyu Watatokea Wengi, Nchi Za Kiarab Amabzo Ndio Dini Iliposushwa Wanafunga Ramadhan Ila Uyu Mwenye Shida Mwili Mzima Anajifanya Anaijua Dini Pita Wengine.. Mie Naona Anajitafutia Matatizo Kwa Mungu Tu Na Anachokitafuta Atakipata.. Yeye Kama Mrafi Awezi Kukaa Bila Kufunga angekaa Kimya Tu, Mungu Aziakiwi.
Hongera mtu wa mungu ubarikiwe baba waislamu lazima wamjue yesu mwana wa mungu hukumu inakuja na jehanamu ipo na yesu ndiye atakaye kuja kuhukumu wanadamu
Mtume Muhammad (SWA)Ali sema umawake tumebakiwa na Vita kubwa ya kupambana na nafsi zetu.Tunafunga sasa hivi ili tupate uchamungu kupambana na nafsi zetu.
Allah sw amesema wale hivi walioamini nimewafaradhishia kufunga kama walifaradhishiwa walikuwa kabla yenu ili mpate kuwa wachamungu or takwa Kumbuka nabii musa alifunga saumu ,nabii issa alifunga,nabii daud alifunga Sasa mungu hajasema watu Mungu amesema waumini tena waumini wa dini ya kiislam Neno uislamu ni neno lenye asili ya lugha ya kiarabu Kimaana katka lungha ya kiswahili Neno uislamu ni unyenyekevu or nyenyekea sasa ukikuta katika kitabu chichote cha injil or taurat or zaburi kuna neno nyenyekea or unyenyekevu maana yake ni uslam Neno uslamu kisheria ni salam ,amani ,nyenyekea na unyenyekevu kwa kufuata maarisho ya mungu kwa yale yote waliyokuja nayo mitume kuanzia adam baba etu hadi issa mtoto wa maryam na mwisho ni mtu Muhammad saw
Toka quran ilipoteremshwa hakuna aliweza kuibadirisha wala kusema hizi aya za zamani zimeshapitwa na wakati, quran ipo vilevile na sheria zaka zipo palepale,
YESU kristo ndiye Bwana wa majeshi ndiye mfalme wa yuda ndiye njia ya kweli na usima, ndiye simba wa yuda ,anakuja bunde si bunde,heri wale waliyo mwamini kuwa ni mwana wa Mungu aliye kuja dunia hii kumwaka damu yake ili tupate usima wa milele,na kusamewa dhambi,heri wewe unaye mwamini Yesu kuwa ni mwokozi,na alienda kutuandalia makao na atakuja tena kutujukua sisi tuliyo itwa wana wa Mungu
UMESOMA QUR AN ILA UMEIELEWA VIBAYA KWASABAB UBONGO WAKO NI MATOPE MATUPU,,KAFIRI MKUBWA WEW ,,MUISLAMU GANI ANAONGEA UTUMBO KAMA HUU,,MUNGU AKULAANI KUANZIA DUNIANI MPAKA SIKU MALIPO ASIKUPE NURU YOYOTE
Mwenyezi Mungu ameumba mwanadamu na kumfundisha kupitia vitabu vyake kujua lililo jema na baya.sasa ni yake kufata ya heri au shari.so huyu jamaa anapotosha sana waislamu.amkeni waislamu huyu jamaa anachafua dini yenu.sisi wakristo tunaheshimu hii swaumu mbona huyu anachafua 😭😭😭😭
Allah akusamehe kwakuwa hujui unacho kiongea na hizi mada ni vema msingeweka kwenye mitandao kwakuwa vitu vinaishi na mtakuja kuwapoteza watoto na vizazi vijavyo... muhukuma wa kila jambo ni Allah pekeee wewe huna haki ya kuhukumu wala kubatilisha chochote kilichopangwa na Allah acha kupotosha watu
Siku izi wanambinu ya kuvaa kanzu na kusoma dini ili wakuharibu muislam kuwa muangalifu sana ,huu ni mtegoo,asikudanganye yeye muislamu uyo anajiita NABII ILIYA ,ANAZANI ANAFANYA MAMBO YA KUMFURAHISHA MUNGU KUMBE ANAROPOKWA TU. Na kuna wanafunzi wake hap wataonesha kuunga mkono muislamu usingie mtegoni
@mwalimu nabii Eliya asanate assalam alykum naomba kuuliza swali ikiwa mtume na maswahaba walifunga kwa lengo la kuwa wachamungu ili wakapigane vije baada ya hapo hawakuwai kufunga ramadhani nyingine hao maswahaba na mtume au hata baada ya mtume kuwa maswahaba hawakufunga tena ramadhani ? Nisaidie ili tafadhari @
Allah sw watawalla Anasema hivi Makana Ibrahim yahudiya wala naswria walkini hanifa muslama Hakika Ibrahim hakuwa muyahudi wala mkiristo bali alikuwa kiongozi muislamu or kiongozi mnyenyekevu or mwenye kuknyenyekea Uislamu maana yake ni nyenyekea jisalimishe kwa Allah sw
@@sayidabdillah8505leta ayah naa sema eengin walio kua waislam, Ibrahim Alianz kabla ya YESU ujue naa Muhammad alikuj nyuma ya YESU na alie kuja na Quran ni muhamad sas huyo Ibrahim alikuwa je kuawaj muislam😂😂
@@Nim68182 Nuhu, Ibrahim, lutu, Is'haka, Yaakubu, Yusuph, Mussa, Haroon, Issa, na Muhammad woote n.k ambayo sijawataji ni waislam na hata Adam na hawa ni waislam.. Wewe SI waona ni uongo... Narudia subiri ufe ndio utathibitisha... Kasome surat Al Imran ukiweza soma tafsir yake yoote..
Ukizaliwa na wazazi walio katika dini fulani automatically na wewe ni mfuasi wa dini hiyo, ukifikia miaka 18+, yafaa kuijua dini kiundani na kufanya maamuzi
Waislamu kama nawaona walivyojaa hasiraaaa na matusi .....huyu jamaaa cjamuelewa ni dini gani maana yupo kama sigala kali😂😂😂😂😂😂 ila nampenda anavyotoa darasa zake ukweli mchungu ila ndo dawa ❤❤❤❤❤
Hapa ndo naamin kila mtu kaumbwa kwa akili yake kwan huyu binadam anapingwa sana ingawa habagui din anasoma vitabu na Mwenyez Mungu hana dini yeyote anachotaka watu watende mambo mazuri full stop.
Nashangaa waislam kwa nn hamtaki kufundishika shida mnalishwa na kukalilishwa kuwa dini yenu ni sahihi kuliko hata kupima mambo hivi mfano waislam wengi mnafunga mwezi huu ila kila mkifungulia mnaludia ujinga huo wa uzinzi ulevi kifupi nabii eliyasa yupo sahihi
Unaweza ukawa umesoma lakini mwenyezi mungu akakufanya mpumbavu huyu sijui shekhe au nani ni mpumbavu fungal ya mtu unafikili anafunga Kwa Nini mtu anafunga Kwa akili ya mungu wake wewe unasema anajishindisha njaa angalia anayetoa hukumu ni mwenyezi mungu kujua huyu fungal yake siyo wewe unaingia mpaka kwenye manbo ya mungu si kufuru hiyo basi fungal wewe maana wewe unajijua kwamba ni moja kwa moja peponi maana mungu kwako unamuhukumia wewe
Jaman huyu mtu nimnafiki rudi kwenye clep zake mara yeye ni muislam mara ni mkristo Yan haeleweki kuna siku ameomba radhi kwa waislam kama yeye ni muislam wakristo wamepotea
Huwezi kuwahukumu watu mtoaji wa hukmu nanii aende motoni na peponi ni Alla pekee . Sisi tumeambiwa tufanye tu . Wache watu wafunge , wasali nk . Uwo unabii kakupa nani ? Muogope Alla ewe unae mkufuru Alla na hali unajua . Unashulishwa na pumzi au ?
Wee huna njaa Basi wewe maiti Kila kilicho hai huhisi njaa sasa wewe unamaanisha nni hapo! Maana waisllamu akiwa tofauti na wao povu linawatoka kids dawa imewaingia!
Msemaj naomb nikuulize kutokan na manen yko lengo la kushuka amri ya kufunga ilikuw ni kuwajenga waislam wa enzi za mtume ili kupgan vita au ilikuw lengo la waislam wote kuwa wachamungu maan naon umeanza kuongelea inshu ya vita vya badr na mwshon unakuj kuongelea inshu za betting,wanawake kukaa uchi?
Ikiwa wewe ni muislam kweli na unaamini katika yale aliyoteremshiwa Mtume Muhammad (S.A.W) kutoka kwa Allah (S.W), ni mafundisho gani ya uislam yanayokuruhusu kujiita nabii wakati Qur'an imeshaeleza wazi ya kwamba hakuna unabii wala utume baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) kwenye Sura ya Al-Ahzaab aya ya 40. Je huoni kwamba umekengeu (umekufuru) na kutoka katika Uislam? Acha kupotosha na muogope Allah (S.W) kwani ni mkali wa kuadhibu
Huyu jamaa alisema hana elimu so mimi hani pasui mfupa wa kicha ila ningeomba wahusika wachukue hatua sababu huyu jamaa anazidi na upotoshaji japo hata kusoma kwenyewe hasomi inavyo takiwa yani anaboroga kwakweli
Wacheni matusi chukueni faida hpa mjifunze huyu jama ako na elmu naww ukafanye utafiti zaidi,.....mashekhe wetu wengi wanatoa mawaidha yale yale kuipata pepo sio rahisi tusomeni tufahamu Elimu yaquran na hadithi,,tuache kujifanya tunajua kila kitu
Wollahi tuma Wollahi ungefaa kuchinjwa kama kuku Wewe unajaribu kudanganya watu,,kafiri mkubwa Tangaza ukiristo wako achana na Uislamu wetu,wazimu wewe Kama hakika wewe ni muislamu hunge Pinga Ramadhan Kwa sababu Ramadhan ni nguzo Kati ya nguzo tano ya Uislamu. Wollahi Allah Atakuhukumu hapa hapa duniani inshaa Allah, lakini Wacha kujinasibisha na Uislamu kafiri mkubwa wollai natamani saana kukuchinja Kwa sababu unajifanya muislamu na unachafua Uislamu lakini hutafanikiwa Wollahi
wewe huyo yesu aje leo hii wewe wamwanzo kukukana unamsingizia kwanza yesu alifunga mwezi ambao waislamu wanafunga mwezi wakenda (yaani wa tisa) vipiuwaone wanaomfata yesu kimaandiko wanashinda njaa wewe na walimfata yesu mmtengeneza mwezi wenu wakufunga(yaani wanne)tofauti kabisa na mafundisho ya yesu pili mumemsingizia kama yeye mungu na mkamwita mtoto wa mungu wewe una rahana niwafahamishe nyie msiokua waislamu mnazani kila anaeongea kiaraabu muislamu kiaraabu ni lugha kama lugha zingine unaweza kujifunza amshangai mbona mtu mweusi anaongea kiarabu kajifunza ilakila mwenye kuamini mungu mmoja na Muhammad mtume wamungu na akatenda matendo mema huyo ndie muumini wa kiislamu sio jina amkujua kusoma Quran ndio mumuamini mtakosea
Aya ya kufunga iliwalenga waumini sasa kama syo muumini bas jua kuwa wako waumini hata sasa wako jambo kama hilo la kutokea mbeleni ndo mtume asijue na kutufahamisha bali wewe ndiyo uje utufahamishe wewe jaman mmmmh acha...
Yaani we mpumbavu najuta kukujua unaongea ujinga mtupu hakuna muislam yeyete anaemchukia nabii issa au yesu kristo yaani we Ni mfuasi wa shetani bila kukujua
Mbona mtume wal mwenyezimung hajasema zikifika nyakat za fitna za dajjal tusfunge wew ni na usrme tukielew kirahis hivyo unavyotak😂et tukikusikiliza wew wew ndio tutaenda pepon mbona hatukuachiwa aya wala hadith kukuhus wew😂 wew kama hutak kufunga wala kuswal acha baki na ujuaji wako usipotoshe wengine
We ni mshenzi TU mbumbu TU huijui Quran hata kuitamka mabaya yakufike mburula kwenda huko huo sio ujumbe wa mungu huo ni ujumbe we shetani na umshukuru Allah kw sababu ni mwenye kusubiri nguruwe Koko wewe .
Unaokota baadhi ya vipande wa kusikia wasio na ufahamu au ufahamu mdogo uwapoteze nguruwe wewe ACHA utajutia.hayo maneno Yako yote yanarekodiwa na malaika kiraman katibiyna Na Allah ni Shahid we nguruwe upo kwenye kundi gani mdudu mwitu wewe .huna Elimu muongo.
huyu jamaa ni kichaa alipojiita nabii aliwahi kuitwa ofisi ya sheikh mkoa Dar chini ya alhadi mussa akakiri na kuomba msamaha,muft umeiona hii clip mbona huchukui hatua kwa hiyo anayepotosha qur an au uu muft wako kwa ajili ya kutangaza mwezi tu
Mungu akubariki baba na akuekee ulinzi wa kutosha unaozungumzwa ukweli huu
Nmekuelewa nabii elia
Asante mtu wa mungu, watu wanapaswa kuelewa kuwa funga hupaswa iandamane na sababu maalumu ya kufunga unafungia Nini na sababu ikoje.
Ilishaandikwa Siku Za Mwisho Wa Dunia Watu Wapuuzi Kama Uyu Watatokea Wengi, Nchi Za Kiarab Amabzo Ndio Dini Iliposushwa Wanafunga Ramadhan Ila Uyu Mwenye Shida Mwili Mzima Anajifanya Anaijua Dini Pita Wengine.. Mie Naona Anajitafutia Matatizo Kwa Mungu Tu Na Anachokitafuta Atakipata.. Yeye Kama Mrafi Awezi Kukaa Bila Kufunga angekaa Kimya Tu, Mungu Aziakiwi.
Hongera mtu wa mungu ubarikiwe baba waislamu lazima wamjue yesu mwana wa mungu hukumu inakuja na jehanamu ipo na yesu ndiye atakaye kuja kuhukumu wanadamu
(Jahanamu)ni Lugha gani hiyo?
Mungu wenu anawaambia msujudu ulishawahi ata siku moja?
Lanna ya Allah ishuke juu yako kwa kupnga miongon mwa nguzo za kiislamu
Nakuelewa sana mualimo, msema ukueli upingwa silo zote. Ata manabii waliuawa kwasababu walisema ukweli...🇲🇿
Mtume Muhammad (SWA)Ali sema umawake tumebakiwa na Vita kubwa ya kupambana na nafsi zetu.Tunafunga sasa hivi ili tupate uchamungu kupambana na nafsi zetu.
NYIENYI NDIO MATAPELI UNAJIFANYA MUISLAMU NA HUKU UNAJIFANYA MKRISTO.
Subhanallah, subhanallah weee kama unataka kurutadi enda hakuna mwenye amekuzuwia enda na ufunge mdomo kabisa wacha kupoteza watu,iyo ni ukafiri
Katokea huku ndug sijui katumwa😂
Allah sw amesema wale hivi walioamini nimewafaradhishia kufunga kama walifaradhishiwa walikuwa kabla yenu ili mpate kuwa wachamungu or takwa
Kumbuka nabii musa alifunga saumu ,nabii issa alifunga,nabii daud alifunga
Sasa mungu hajasema watu
Mungu amesema waumini tena waumini wa dini ya kiislam
Neno uislamu ni neno lenye asili ya lugha ya kiarabu
Kimaana katka lungha ya kiswahili
Neno uislamu ni unyenyekevu or nyenyekea sasa ukikuta katika kitabu chichote cha injil or taurat or zaburi kuna neno nyenyekea or unyenyekevu maana yake ni uslam
Neno uslamu kisheria ni salam ,amani ,nyenyekea na unyenyekevu kwa kufuata maarisho ya mungu kwa yale yote waliyokuja nayo mitume kuanzia adam baba etu hadi issa mtoto wa maryam na mwisho ni mtu Muhammad saw
Wollahi natamani saana kukuchinja
😅😅
Ndio nyie ni alshababb mnaeleweka kwa hilo
Shekhe wangu umeteleza
Sio shehe uyoo c muislam anadangany tu
Katika uwislamu akuna Eliya wala nabii Eliya kwaiyo wewe mjinga 1tu
Mjinga we unayemwamini Muhammad ambeye ajuw anakoelekea Sana Sana anamsubili masii kwenye unyakuo wake
Toka quran ilipoteremshwa hakuna aliweza kuibadirisha wala kusema hizi aya za zamani zimeshapitwa na wakati, quran ipo vilevile na sheria zaka zipo palepale,
YESU kristo ndiye Bwana wa majeshi ndiye mfalme wa yuda ndiye njia ya kweli na usima, ndiye simba wa yuda ,anakuja bunde si bunde,heri wale waliyo mwamini kuwa ni mwana wa Mungu aliye kuja dunia hii kumwaka damu yake ili tupate usima wa milele,na kusamewa dhambi,heri wewe unaye mwamini Yesu kuwa ni mwokozi,na alienda kutuandalia makao na atakuja tena kutujukua sisi tuliyo itwa wana wa Mungu
👍✌️👊.
UMESOMA QUR AN ILA UMEIELEWA VIBAYA KWASABAB UBONGO WAKO NI MATOPE MATUPU,,KAFIRI MKUBWA WEW ,,MUISLAMU GANI ANAONGEA UTUMBO KAMA HUU,,MUNGU AKULAANI KUANZIA DUNIANI MPAKA SIKU MALIPO ASIKUPE NURU YOYOTE
Mwenyezi Mungu ameumba mwanadamu na kumfundisha kupitia vitabu vyake kujua lililo jema na baya.sasa ni yake kufata ya heri au shari.so huyu jamaa anapotosha sana waislamu.amkeni waislamu huyu jamaa anachafua dini yenu.sisi wakristo tunaheshimu hii swaumu mbona huyu anachafua 😭😭😭😭
Nafatilia kwa makini darasa lako... Unaongea ukweli sana.MUNGU akubariki.
Allah akusamehe kwakuwa hujui unacho kiongea na hizi mada ni vema msingeweka kwenye mitandao kwakuwa vitu vinaishi na mtakuja kuwapoteza watoto na vizazi vijavyo... muhukuma wa kila jambo ni Allah pekeee wewe huna haki ya kuhukumu wala kubatilisha chochote kilichopangwa na Allah acha kupotosha watu
Mbona waislamu mpo kwenyefunga. Matusi yanini. Imani yenu iko wapi.kumtukana mtu nidhambi. Kwanini kutukana?
Siku izi wanambinu ya kuvaa kanzu na kusoma dini ili wakuharibu muislam kuwa muangalifu sana ,huu ni mtegoo,asikudanganye yeye muislamu uyo anajiita NABII ILIYA ,ANAZANI ANAFANYA MAMBO YA KUMFURAHISHA MUNGU KUMBE ANAROPOKWA TU. Na kuna wanafunzi wake hap wataonesha kuunga mkono muislamu usingie mtegoni
Wewe Umeoba dua upate elimu
lakini hujaomba ufahamu kwahiyo hufai kutoa elimu muogope mungu tubia kwa molla wako.
Uko vizuri wengi huwa wanasomewa tu vitabu hawasomi wenyewe
@mwalimu nabii Eliya asanate assalam alykum naomba kuuliza swali ikiwa mtume na maswahaba walifunga kwa lengo la kuwa wachamungu ili wakapigane vije baada ya hapo hawakuwai kufunga ramadhani nyingine hao maswahaba na mtume au hata baada ya mtume kuwa maswahaba hawakufunga tena ramadhani ?
Nisaidie ili tafadhari @
Nakusaidia mm waliendelea na funga Kama kawaida maana wakati huo tayali palikua shwari
Ee mungu ujidhihirishe ili wanaopotosha ukweli wako wafunuliwe zaidi
Na kwa uongo wao wanakwambia mpaka Ibrahim alifunga ramadhani hili mladi tu wapotoshe watu😂😂😂😂
Apotoshwe nani labda mjinga mitume wote ni waislamu kataa kubuli huo ni ukweli... Kama huamini subiri ufe ndio utahakikisha.
Allah sw watawalla
Anasema hivi
Makana Ibrahim yahudiya wala naswria walkini hanifa muslama
Hakika Ibrahim hakuwa muyahudi wala mkiristo bali alikuwa kiongozi muislamu or kiongozi mnyenyekevu or mwenye kuknyenyekea
Uislamu maana yake ni nyenyekea jisalimishe kwa Allah sw
@@MauaAbubakariweee acha uongo bhana 😂😂😂😂😂 thibitisha bas unacho ongea sio kusem eti mpk mtu afe ndo ajue
@@sayidabdillah8505leta ayah naa sema eengin walio kua waislam, Ibrahim Alianz kabla ya YESU ujue naa Muhammad alikuj nyuma ya YESU na alie kuja na Quran ni muhamad sas huyo Ibrahim alikuwa je kuawaj muislam😂😂
@@Nim68182 Nuhu, Ibrahim, lutu, Is'haka, Yaakubu, Yusuph, Mussa, Haroon, Issa, na Muhammad woote n.k ambayo sijawataji ni waislam na hata Adam na hawa ni waislam..
Wewe SI waona ni uongo... Narudia subiri ufe ndio utathibitisha... Kasome surat Al Imran ukiweza soma tafsir yake yoote..
Wambie nabiii
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Wewe kweli zimekuchanganya njaa kweli ni mbaya 😂😂
Unasema ukwel kabisa Mwenyezi Mungu akulinde
Ukizaliwa na wazazi walio katika dini fulani automatically na wewe ni mfuasi wa dini hiyo, ukifikia miaka 18+, yafaa kuijua dini kiundani na kufanya maamuzi
Mara nyingi huwa nakuita fisadi kwani funga ni yako ww kwenye uislam upo na kwenye ukiristo upo una mashaka sana
Waislamu kama nawaona walivyojaa hasiraaaa na matusi .....huyu jamaaa cjamuelewa ni dini gani maana yupo kama sigala kali😂😂😂😂😂😂 ila nampenda anavyotoa darasa zake ukweli mchungu ila ndo dawa ❤❤❤❤❤
niambie dini la Yesu Kristo Ni lipi??
Kwa hyo wakristo wanavyoambia mwez wa kufunga na wao hauna maan kwao or
Tumembeee Allah amtunze na nachuki zisizo.
Mimi nimekuelewa..ni kweri wanajishindisha njaa
Hata hiyo Amali unayoifanya unapoteza miss wako bure tu sisi tutafunga nawewe baki na ukafiri wako
WEWE UISILAMU HAUKUHUSU SISI TUKIFUNGA WEWE UNAUMIA NINI UNABII UMEKUSHINDA SAIV UMEKUWA MKOSOAJI WA QUR'AN QAFIRI WEW NAKUTAMANI KINOMA WE NIKUTIE NGUMI UACHE UJING SISI TUNAFUNGA WE UMIE WE SHOGA NINI
Unapotosha watu kwasababu hakuna nafas ya kukuuliza swaali ila huna hoja
Hawa n maslai tu wapo wengi Allah atawalipa
Mpuuzi
Mwenyezi Mungu anaongea na watu kupitia watu,Sasa je una roho wamungu akujarie uelewa?
Wanichefua wala sina haja yakumalizia kusikiza upotofu
Wachanganya ukweli na uwongo
Ili uwaminike
Hapa ndo naamin kila mtu kaumbwa kwa akili yake kwan huyu binadam anapingwa sana ingawa habagui din anasoma vitabu na Mwenyez Mungu hana dini yeyote anachotaka watu watende mambo mazuri full stop.
Mafundisho mazuri nimeacha kufunga
Umeanza kufunga lini Ata kua saivi umeacha kufunga??
Na tuko na nani na tuko na jinga jinga
Mwenyezimungu ndio mjuzi waache watu wafunge yy ndie atahukumu sio ww
Kumbe mtume SAW anasema kuangalia Riba ni sawa na kumla mama yako..duuh aisee mtume SAW kweli alikua mtu wa MUNGU.
😂😂😂
Mtume alikua analeta mzaha na Mama zetu
Mnatakia rehema mtume ambae humtaki endelea naukafiri wako, nguzo zauislamu nitano kwawewe ninne
Astaghafiru Allah astaghafiru Allah astaghafiru Allah astaghafiru Allah astaghafiru Allah astaghafiru Allah astaghafiru Allah
Nashangaa waislam kwa nn hamtaki kufundishika shida mnalishwa na kukalilishwa kuwa dini yenu ni sahihi kuliko hata kupima mambo hivi mfano waislam wengi mnafunga mwezi huu ila kila mkifungulia mnaludia ujinga huo wa uzinzi ulevi kifupi nabii eliyasa yupo sahihi
Wewe huna djielewa?
Unaweza ukawa umesoma lakini mwenyezi mungu akakufanya mpumbavu huyu sijui shekhe au nani ni mpumbavu fungal ya mtu unafikili anafunga Kwa Nini mtu anafunga Kwa akili ya mungu wake wewe unasema anajishindisha njaa angalia anayetoa hukumu ni mwenyezi mungu kujua huyu fungal yake siyo wewe unaingia mpaka kwenye manbo ya mungu si kufuru hiyo basi fungal wewe maana wewe unajijua kwamba ni moja kwa moja peponi maana mungu kwako unamuhukumia wewe
Shehe itikadi yako hipo sawa na yangu ongera upo kwenye njia sahihi kabisa kabisa
Shekhe wa nani huyu?
Shida ni kwamba mtu anabisha mpaka kitu kilichoandikwa kwenye kitabu cha haki
Jaman huyu mtu nimnafiki rudi kwenye clep zake mara yeye ni muislam mara ni mkristo Yan haeleweki kuna siku ameomba radhi kwa waislam kama yeye ni muislam wakristo wamepotea
ETI MUISLAMU HUNA HAJA YA KUFUNGA KWA SASA,,YAANI ATAKAE KAA NA KUKUAMINI UPUUZI WAKO HATOPONA MBELE ZA MUNGU
Wey hujazisoma unataka ufundshe ila utawapotosha waislamu waliikuwa hawajasoma ila wey nmwehu tu
Huwezi kuwahukumu watu mtoaji wa hukmu nanii aende motoni na peponi ni Alla pekee . Sisi tumeambiwa tufanye tu . Wache watu wafunge , wasali nk . Uwo unabii kakupa nani ? Muogope Alla ewe unae mkufuru Alla na hali unajua . Unashulishwa na pumzi au ?
😅😅😅😅duh njaa mbaya Sana
Wee huna njaa Basi wewe maiti Kila kilicho hai huhisi njaa sasa wewe unamaanisha nni hapo! Maana waisllamu akiwa tofauti na wao povu linawatoka kids dawa imewaingia!
@@IsayaSosolo-nx8zk hiyo Dawa umeingizwa wewe ndiyo maana umehama group kitambo
yaani unavyoongea wallah hata mjinga akikusikiliza anajua hauji kitu
Nabii mbn hupatikani kwenye namba yako
Huyu kafiri haifai ata kumsikiliza
Mpuuzi unakulupuka na haujui ulitendalo na unalipwa
YANI KATIKA MANABII WA UONGO WEWE UMO ,UTOBOI KWA MUNGU KWA ELIMU YAKO MBOVU
Aisee !Bangi mbaya
Bangi zenyewe kachanganya na mavi ya mbwa kichaa.
Msemaj naomb nikuulize kutokan na manen yko lengo la kushuka amri ya kufunga ilikuw ni kuwajenga waislam wa enzi za mtume ili kupgan vita au ilikuw lengo la waislam wote kuwa wachamungu maan naon umeanza kuongelea inshu ya vita vya badr na mwshon unakuj kuongelea inshu za betting,wanawake kukaa uchi?
Nadhani Shekh umeielewa Quran tofauti.Kwanza elewa maana ya uislamu,Pili wewe sio Muislamu ingawa unasoma hiyo Quran
Tupe fatuwaa.. afu utauambie uislam ulisema nni juu ya Riba na wwe apo ulipo una fanya nni juu ya Ribaa😢😢😢
Ikiwa wewe ni muislam kweli na unaamini katika yale aliyoteremshiwa Mtume Muhammad (S.A.W) kutoka kwa Allah (S.W), ni mafundisho gani ya uislam yanayokuruhusu kujiita nabii wakati Qur'an imeshaeleza wazi ya kwamba hakuna unabii wala utume baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) kwenye Sura ya Al-Ahzaab aya ya 40. Je huoni kwamba umekengeu (umekufuru) na kutoka katika Uislam? Acha kupotosha na muogope Allah (S.W) kwani ni mkali wa kuadhibu
Huyu jamaa alisema hana elimu so mimi hani pasui mfupa wa kicha ila ningeomba wahusika wachukue hatua sababu huyu jamaa anazidi na upotoshaji japo hata kusoma kwenyewe hasomi inavyo takiwa yani anaboroga kwakweli
Huyu nabii wa uongo...kupotosha ...
Uyu chiz jmn
Wacheni matusi chukueni faida hpa mjifunze huyu jama ako na elmu naww ukafanye utafiti zaidi,.....mashekhe wetu wengi wanatoa mawaidha yale yale kuipata pepo sio rahisi tusomeni tufahamu Elimu yaquran na hadithi,,tuache kujifanya tunajua kila kitu
wewe si wale wabendera za langi nyingi kiongozi kashasema utampata mwenza utapitishiwa ndoayako na d tutasheherekea sisi majiran
Wollahi tuma Wollahi ungefaa kuchinjwa kama kuku
Wewe unajaribu kudanganya watu,,kafiri mkubwa Tangaza ukiristo wako achana na Uislamu wetu,wazimu wewe
Kama hakika wewe ni muislamu hunge Pinga Ramadhan Kwa sababu Ramadhan ni nguzo Kati ya nguzo tano ya Uislamu.
Wollahi Allah Atakuhukumu hapa hapa duniani inshaa Allah, lakini Wacha kujinasibisha na Uislamu kafiri mkubwa wollai natamani saana kukuchinja Kwa sababu unajifanya muislamu na unachafua Uislamu lakini hutafanikiwa Wollahi
Ivi wewe wakati unaanza hizo darasa lako ulikua unasema wewe na dhehebu lako hamfi Wala hamtakufa ulitoa kwenye kitabu gani
Sasa wewe unatakadje? Tuache kufanya ibada kwa sababu ya ufahamu wako mbovo? Wé kamba ume tumwa, wambie utuwezi
Kafiri ni kafiri tu ataukiongea kiarabu kwa wingi utabaki kua kafir
Umesema kweli huyu ni kafiri tu
Upondani yamwezi waramadhani upi? Wakati huifahamu
wewe huyo yesu aje leo hii wewe wamwanzo kukukana unamsingizia kwanza yesu alifunga mwezi ambao waislamu wanafunga mwezi wakenda (yaani wa tisa) vipiuwaone wanaomfata yesu kimaandiko wanashinda njaa wewe na walimfata yesu mmtengeneza mwezi wenu wakufunga(yaani wanne)tofauti kabisa na mafundisho ya yesu pili mumemsingizia kama yeye mungu na mkamwita mtoto wa mungu wewe una rahana niwafahamishe nyie msiokua waislamu mnazani kila anaeongea kiaraabu muislamu kiaraabu ni lugha kama lugha zingine unaweza kujifunza amshangai mbona mtu mweusi anaongea kiarabu kajifunza ilakila mwenye kuamini mungu mmoja na Muhammad mtume wamungu na akatenda matendo mema huyo ndie muumini wa kiislamu sio jina amkujua kusoma Quran ndio mumuamini mtakosea
Aya ya kufunga iliwalenga waumini sasa kama syo muumini bas jua kuwa wako waumini hata sasa wako jambo kama hilo la kutokea mbeleni ndo mtume asijue na kutufahamisha bali wewe ndiyo uje utufahamishe wewe jaman mmmmh acha...
Wewe ni nani lakini kihukum watu hiyo sio kazi yako hivi wewe uko upande gani
Kwahio tufanyeje
Et tusifung tusiswal tusihiji😂anakuja kubadilish Qur'an kwa janja janja zake 😂
Yaani we mpumbavu najuta kukujua unaongea ujinga mtupu hakuna muislam yeyete anaemchukia nabii issa au yesu kristo yaani we Ni mfuasi wa shetani bila kukujua
MPOTOSHAJI 😂😂😂
Kama huna mapenzi yako binafsi chambua na funga kwa rezma we mpuuzi
Huyu ana kasoro kafiri. Ila Mungu amuwongoze kama sihivo basi asife bila kudhalilika
Asha,,kupoteza,,, muogope Allah,,,,ina maana umeiumbwa kula n'a kunywa
KWANI WEWE NI MUISLAMU?
Nyiye watowa komenti nimapepo
We si mnjanja mara krsito mara usilamu. Uongo tuu
Mbona mtume wal mwenyezimung hajasema zikifika nyakat za fitna za dajjal tusfunge wew ni na usrme tukielew kirahis hivyo unavyotak😂et tukikusikiliza wew wew ndio tutaenda pepon mbona hatukuachiwa aya wala hadith kukuhus wew😂 wew kama hutak kufunga wala kuswal acha baki na ujuaji wako usipotoshe wengine
kwenda uko ukwel amuutak Yan mbakamtu aongee kiarabu ndomuone raha msikilize hamnza axhen kukariri ujinga
Yani wewe nibokisi la biskuti kweli
uyu achinjwe tu kama condooh
Kafiri mkubwa wewe Huna hero yeyote ukaona kama unakejeli uislam wameshindwa wenye elimu na Mali wakashindwa ijje kuwa wewe kafiri mdogo Huna jipya
Allahu Akbar wal izzatuliLlaah..
WEWE MPUZIIIIIIIIIIIII,KAFIRI ULIESHINDIKANA
Sasa kama wasema tusifunge na nilazima jmn mbona watatiza ww
Njaa itakuuwa ila Allah hana noma anakusibili sikuchache tu utarudi kwake ukamueleze huo upuuzi wako
@@sadikimsami una lolote ww mmpotoshaji tu
Kwanza wewe unatakiwa kujifikilia kbl unatoa huzo hutuba zako zingine
We ni mshenzi TU mbumbu TU huijui Quran hata kuitamka mabaya yakufike mburula kwenda huko huo sio ujumbe wa mungu huo ni ujumbe we shetani na umshukuru Allah kw sababu ni mwenye kusubiri nguruwe Koko wewe .
Huyu kafiri haswaa
Huo unapii umepewa na nani
Muhammad nae kaupew na nani😂😂😂
Unaokota baadhi ya vipande wa kusikia wasio na ufahamu au ufahamu mdogo uwapoteze nguruwe wewe ACHA utajutia.hayo maneno Yako yote yanarekodiwa na malaika kiraman katibiyna Na Allah ni Shahid we nguruwe upo kwenye kundi gani mdudu mwitu wewe .huna Elimu muongo.
Huna akili wewe