Unafanya kazi nzuri na tunazipenda sana tafsiri zako, ni vizuri ungweza pia kutoa historia ya wanamuziki wa Congo. Bambara tafsiri ya Naomie ya Papa Wemba na Koffi pia Mfueni ya Lipua Lipua
Gaudis Ephraim kutoka Shinyanga Tanzania. Kaka P Bockson, unatafsri vizuri sana, sasa uwe unatuandikia kama unavyo andika siku zote. Usiache kutuandikia. Kuna nyimbo chache unaandika maneno machache mengine unacha, sasa nakuomba usiache neno lolote. Tuandikie yote.
Mukulu bilanga yemba yemba!!! Nimefurahi na tafsiri hii ya papa plus.. siku moja ukiweza naomba tafsiri ya "kinshasa " ya jb mupiana.... naupenda sana huu
Naitwa Hussein kapilukwa nipo Mwanza Tz,nafatilia sana tafsiri zako, nafurahia sana kwa hilo. Sasa naomba tafsiri ya wimbo wa JB mpiana uliopo ktk Alburm ya Libaron, unaoitwa Freddy lekasopo,
Uko vizuri mzee
P b uko sawa kaka unatisha
Love from 🇰🇪. Endelea na hio kazi. Love your channel. Fanya Papa Bonheur tafadhali
Leta magie ya koffi
Papaaa
Kazi nzuri saaana ila
Usisahu NYOKALESSE.....
TUNAKUPENDA SANA TANZANIA
utapata, ila tuzidi kurushiya rushiya wengine ndugu na marafiki tuchangiye raha ya rumba pamoja
Thanks sir. Muster piece. 1997.
Kongo. ndugu zangu.
Unafanya kazi nzuri na tunazipenda sana tafsiri zako, ni vizuri ungweza pia kutoa historia ya wanamuziki wa Congo. Bambara tafsiri ya Naomie ya Papa Wemba na Koffi pia Mfueni ya Lipua Lipua
utapata, ila tuzidi kurushiya rushiya wengine ndugu na marafiki tuchangiye raha ya rumba pamoja
Thanks men been wanting to learn or at least have any idea about what our Congolese's artist lament with the songs they entertain us all the time.
Tafasili ya wimbo wa stino mobi wa lumeo shikili ndindi
The first one to comments next time prince naomba orpherinent,mannyquin,kowit rover gauche,
yes brother, usiogope ombi lako linafika
mzuri brother naikubali sana papa plus nakumbuka udogoni mwaka 1999 dar es salaam Tz
Gaudis Ephraim kutoka Shinyanga Tanzania.
Kaka P Bockson, unatafsri vizuri sana, sasa uwe unatuandikia kama unavyo andika siku zote. Usiache kutuandikia. Kuna nyimbo chache unaandika maneno machache mengine unacha, sasa nakuomba usiache neno lolote. Tuandikie yote.
ok asante. ila mzidi ku share na wengine ili chanel yetu izidi kukomaa
Ok, tupo pamoja
Ninaomba tafasiri ya wimbo PAPA BONHEUR wa kofi Olomide
utapata, ila tuzidi kurushiya rushiya wengine ndugu na marafiki tuchangiye raha ya rumba pamoja
@@princebockson5299madilu system biya . Leau
Mukulu bilanga yemba yemba!!!
Nimefurahi na tafsiri hii ya papa plus.. siku moja ukiweza naomba tafsiri ya "kinshasa " ya jb mupiana.... naupenda sana huu
ua-cam.com/video/pHRg2Kw0i94/v-deo.htmlsi=cgRjs2Rx39cj1kJP
Naomba tafasiri ya extra musical
utapata, ila tuzidi kurushiya rushiya wengine ndugu na marafiki tuchangiye raha ya rumba pamoja
@@princebockson5299madilu system Ako
@@princebockson5299madilu system tends moi la main . Ako
Bilashaka lead guitar imepigwa na Daly kimoko....ananyambulika sana🎸
Naomba nipigie nyimbo ya fere golia
dAAAAH KWAKWELI UMENIGUSA KISHENZII
Naomba Wu Tafsiri Mon case by Madilu System
nitafanya, ila nawaomba muzidi ku rushiya rushiya na wengine ndugu ili tuzidi kuwapa raha
Plz naomba epusha ya koffie olomide
utapata, ila tuzidi kurushiya rushiya wengine ndugu na marafiki tuchangiye raha ya rumba pamoja
Papa mai ndombe ni ziwa fulani ndani ya kongo
utapata, ila tuzidi kurushiya rushiya wengine ndugu na marafiki tuchangiye raha ya rumba pamoja
Unafanya kazi nzuri sana,ila tunakuomba papaa utuandikie pia hizo nyimbo kwakilingala kama zinavyoimbwa ili tujifunze nasisi kuimba.
utapata, ila tuzidi kurushiya rushiya wengine ndugu na marafiki tuchangiye raha ya rumba pamoja
Apo nilifikiri yeye ni yanga 😀
hahaah,
Brother big up sana from Kalamazoo Michigan I would really appreciate if I could get koffi Ayina translation in Swahili
yes, i will do my best
@@princebockson5299 thank you very much
Naunga hapo tafasiri ya Werra Koffi Aiyina
@@markmfalme exactly the song is great
Papaa iko poa, ila uandike lycris vizuri na sisi tujifunze kuimba, ila naomba nipatie ile Ako ya Madilu akiwa na Nyboma
Naomba ulete tafsir ya nyimbo ya magie ya Koffi Olomide🙏🇹🇿
ua-cam.com/video/pHRg2Kw0i94/v-deo.htmlsi=cgRjs2Rx39cj1kJP
Naomba tafsiri ya wimbo wa Franco wuta myi ayant droit
utapata, ila tuzidi kurushiya rushiya wengine ndugu na marafiki tuchangiye raha ya rumba pamoja
Naitwa Hussein kapilukwa nipo Mwanza Tz,nafatilia sana tafsiri zako, nafurahia sana kwa hilo. Sasa naomba tafsiri ya wimbo wa JB mpiana uliopo ktk Alburm ya Libaron, unaoitwa Freddy lekasopo,
Lete ya ferre gora akiwa na chikito ndani ya corcert ya bandal na fikin
utapata, ila tuzidi kurushiya rushiya wengine ndugu na marafiki tuchangiye raha ya rumba pamoja
Mzee watu wa Dodoma umetutenga...tupe mabanga nasi basi
tuma Majina tuta kupa mabanga
Please please please could you write all those ad libs he says in between songs?
Prince Bockison namba yako mbona haipatikani kwa WhatsApp? Pia nikitaka kua naona currently videos zako UA-cam mazionaje
Please write to me Madilu system song Saah lycris with translation
utapata, ila tuzidi kurushiya rushiya wengine ndugu na marafiki tuchangiye raha ya rumba pamoja
✓✓100%
Fally ipupa 5eme race
Naomba tafsili madilu kupanda
Fally ipupa 5eme race