Sorry prince bockson nimekuwa nikiomba unitafasilie nyimbo zangu siku nyingi lkn sioni kitu, kwa mara nyingine tena naomba unitafasilie wimbo mmoja ulioko kwenye album ya tecno malewa ya werrason ya mwaka 2013, wimbo halisi uliimbwa na fabrigas (Didier ndenga)
Naomba tafsiri ya kiswahili ya nyimbo hizi;- Aflye- fally ipupa , Phylly _ General Defao, Mokilimobimba - Extra musica, Hi Ho ho - wenge Musica, Maya - Nyboma Mandido, Ya Jean- Madilu system , famile kikuta - General Defao , ....... Unaweza kuanza na yoyote ile ...🔥💥💥💥🔥Nakubali sana kazi zenu.... 💪✊👊
safi.... tunaomba na ile ya..... marathon
❤❤❤❤❤❤
How wonderful. I really love this song.never knew the meaning...now I know. Thank you. ❤😊
Mambo vp kaka yàani mie unanikosha sana kwa nyimbo hizo gola noma
Prince Bockson, Asante sana kwa kazi hio Papa Le Grand maitre.
Naomba tafsiri ya nyimbo ya Sisi Silvie by Koffi Olomide
mwana ww noma napenda sana nyimbo za feree
Great Prince Backson, Ferra is incredible.
Kaka naipenda sanai nyimba ilaana choimba sielewi kaka asante
Nakuku bali sana kaka
Vraiment merci bck nimero yako petit frete nitayipata aye
hongera kazi nzuri
Prince, tafadhali tafsiri
Noblesse oblige na Civilise ya Koffi olomide; Fifi & Likambo ya somo/matata album ya Verkys et Veve
What a wonderful job so inspiring wooow !!!
Good job
Me onesmo woiso tupo pamoya papa from tabata
Big up mwamba
Asante sana kwa tafsiri. 😊
Nazidi kukupenda maana unazidi kunipa raha yani 🔥🔥🔥🔥🥰
3me doigt naipenda sana safi sana papaa Prince kazi nzurii
Ndugu Prince Bokson naomba uanzishe somo la lingala aisee
Nakupata bockson by frank wa Bukoba Tanzania
Dr.Bruce, merci molakisi. Tafadhali tafsiri Blandin ya Werason na Adjantou ya Pepe Kalle et Empire Bakuba
Very good interpretation, i like it keep it up.
We kaka nakupenda sana unafanya kazi nzur sana
One of my favorite songs by Ferre. Asante sana Prince.
Na Kinshasa ya Ferre
Judgement ya Ferre
Franc bokson bon you papaa ozaa bien ngai papaa maziku nakati ya tabora Tanzania merce papaa nafurahi Sana nyimbo ya lingala swahili
Oza likolo maboko mpo nayo🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Safi sana naomba pesa position ya madilu papaa
Nataka tafsiri ya nyimbo ya elanga ya ferre gora
Safii
Itakuwa poa ukitafsiri ngoma ya Nzele ya MADILU SYTEM
Où sont les golois manifesté vous s'il vous plaît 🇨🇩🇹🇿
Kipelekese plz
Safi
Safi Sana... Ahsante.
Brother naomba tafsir ya nyimbo ya ferre gola_ insuline_ nmekuomba mda mlefu nakuomba sana
Hii ndiyo wimbo wa ferre ambayo naipenda zaidi.
Tunaomba Maboko Pamba next, mkuu
Super , le Padre Palzuria merci
Asantee mkuu
Asante Sanaaaaaaaa!!!
Nini maana ya cheri de pule?
sio "cheri de pule" ni "chaire de Poule" ina maanisha "mnofu wa kuku" ila kwa context ya jina ya Ferre ina maanisha akiimba mwili ina pata msisimuko
Kdole cha 3
Prince nataka tafsiri ya nyimbo Afrisa international ya Mbilia Bel (Binamudanda) asante kwa kazi nzuri Mungu Akulinde! Wewe ni wafu ama vipi?
Tafsiri wimbo was moise mbiye ye oyo
PRINCE BOKSON
UKO KIMYA SANA NDUGU YETU, UKO SALAMA!?? HATUJAKUZOEA KUA KIMYA HIVII
ye ndugu, nilikuwa naumwa na hivi kesho narudi kwa kazi.
Pole sana ndugu yangu ..... Wapenzi wako tumekumiss sana
Kidole cha tatu.
Penzi hugeuka jihadhari unapo zama ndani
Sorry prince bockson nimekuwa nikiomba unitafasilie nyimbo zangu siku nyingi lkn sioni kitu, kwa mara nyingine tena naomba unitafasilie wimbo mmoja ulioko kwenye album ya tecno malewa ya werrason ya mwaka 2013, wimbo halisi uliimbwa na fabrigas (Didier ndenga)
Naomba tafsiri ya kiswahili ya nyimbo hizi;- Aflye- fally ipupa , Phylly _ General Defao, Mokilimobimba - Extra musica, Hi Ho ho - wenge Musica, Maya - Nyboma Mandido, Ya Jean- Madilu system , famile kikuta - General Defao , ....... Unaweza kuanza na yoyote ile ...🔥💥💥💥🔥Nakubali sana kazi zenu.... 💪✊👊
naitwa mussa nipo south africa naomba tafsiri ya wimbo wa molounge ya cindy na koffi olomide
❤❤
❤❤