ENZI ZA HADIJA KOPA MWAKA 1990 ULIKUWEPO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi
    #Muuminina​ #Dida​ #Juhuditz​ #Al​-Muuminin #Adila​
    #Mwanacha​ #Afnania​ #Stumai​ #Zuchu​
    #muminina​ #Qadiria​ #zanzibarqaswida​ #AFNAANIA​ #DIRECTORONE​.T #Future​ Tz #Wasafi​ Media #Z​MASTORY #Juhuditz​ #JUMA​FAKIH #Zanzibar​Qaswida #AQAZ​Studio #Al​-muuminin #Yas​mediaTv #stumai​ #zbc #tbc #futuretz #youtubeislife #subscriber #youtubeguru #youtubecontent #newvideo #subscribers #youtubevideo #youtub #youtuber #youtubevideos #youtube #youtuber #youtubechannel #revolutionreal #blacksmokeyeye #smokeyeye #glow #glowingskin #discoverunder5k #discoverunder10k

КОМЕНТАРІ • 37

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 7 місяців тому +5

    Leo ni try 20/01/2024 ndio naona hii haipungui ni miaka 34 iliopita na huyu dada bado yapo hai na bado nimuimbaji sasa ni mda pekee wa kumuombea na kumuomba aache mziki na amrudie M/ Mungu atubu hwenda Mungu akamsamehe Allah amjalie wepesi in shaa Allah

  • @sumaboy8105
    @sumaboy8105 7 місяців тому +2

    Yaan watu wa zaman natural kabisa wana hishma sana

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 7 місяців тому +2

    Wallah hapo wengi wameshatangulia mbele ya haki subhana llah

  • @SubiraMohamedy-ev9ed
    @SubiraMohamedy-ev9ed 25 днів тому

    Hpo nsharud zangu shule nkitumwa dukani kwa mpemba Shahame nakuta kafungulia kiredio chake anapata burudan😂😂,namm ñkitoka pale naimbaimba ,,,sasa nenda sasa nenda karoge unapojua.Taarab ipo damuni kitambo sana

  • @SleimanKhamis-fr2mt
    @SleimanKhamis-fr2mt 26 днів тому

    Kitambo sana bado kama miaka mitano ndio nizaliwe hapo

  • @user-xh6fy4oc9u
    @user-xh6fy4oc9u 3 місяці тому +1

    Hapa alikuwa khadija lipa sio khadija kopa

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 9 місяців тому +1

    Asante kwa historia na burudani🤝

  • @keyla3641
    @keyla3641 3 місяці тому

    Watu wa zamani wazuri sana wanaoneka wa siha wako neutral

  • @ErickAziz-dd2ze
    @ErickAziz-dd2ze Рік тому +2

    WAP zuchu honey wangu namtafuta alikuwepo

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 8 місяців тому +1

    Ata zuchu hakuepo enzi izo😂🎉

  • @khamiskhamis2871
    @khamiskhamis2871 Рік тому +2

    Baba na mama yake Zuchu wote wapo hapo

  • @user-bl2gn2mb4o
    @user-bl2gn2mb4o 11 місяців тому +1

    Wazamani wako poa hyo natural hair zao wamependeza kweli na wako watulivu cn

  • @mbarakadau7345
    @mbarakadau7345 4 місяці тому

    Pandisha Wahoi, Daktari na amejisalimu please

  • @saumumasha4900
    @saumumasha4900 11 місяців тому +1

    Apo zuchu alikua anatafutwa ju mama anakaa bdo mdogo sana we

  • @hassanially1773
    @hassanially1773 3 місяці тому

    Enzi hizo zilitamba sana mm nipo dogo janja

  • @sadikjuma5519
    @sadikjuma5519 4 місяці тому

    Hii ni Hatari...Sikuwepi Mimi honestly 😂

  • @rushydahmed9179
    @rushydahmed9179 4 місяці тому

    Yussuf Dorya, enzi hizo ameoza anapiga mzigo usiku mchana hajiwezi yu hoi!

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 3 місяці тому

    Hii ndio ilikuwa taarabu Zanzibar Haile selas Dar Starlite

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz Рік тому

    Jamani kitambo ❤❤❤❤❤ jamani ataakiwa anamiaka 40 anaonekana kama anamiaka 18

    • @saadaally5705
      @saadaally5705 11 місяців тому

      Useme harubaini je nazuchu utamuweka mingapi uliza kwaza

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 7 місяців тому

    Kuna Dada kavaa red med mnazijua izoi nguo

  • @khamushamad8857
    @khamushamad8857 Рік тому +1

    Hizi taarab zakale mbona mzur

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman 4 місяці тому

    Yaani mama tubia tena

  • @manumeni5057
    @manumeni5057 7 місяців тому

    Hpo mitandio hakuna,watu ilikua hawaja chanuka ,kma ambae hio ilikua ndunia nyengine😂,

  • @TatuTatu-qu4hk
    @TatuTatu-qu4hk 3 місяці тому

    Jamen ata nilikua cjazaliwa😂😂

  • @bdvc7107
    @bdvc7107 8 місяців тому

    Kama tulivyokubaliana tunaanza kuzewka kisha tunakuwa vijana

  • @mbaroukally8655
    @mbaroukally8655 9 місяців тому

    Hiyo ndio ilikuwa taarab unakaa kwenye kiti unaburdika,lkn saa hiv hakuna taarab ni rumba tu na kukata viuno

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 5 місяців тому

    MAMA NA TAARAAB NA ZUCHU WBC NA MATUSI

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 10 місяців тому

    Niko na miaka 8 mwaka 90 nimekumbuka hizi tarab ktk tvz

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 8 місяців тому

      Cheiche 🎉🎉🎉ata Nia ya kuzaliwa sina mwaka uwoo😅

    • @RioIpo
      @RioIpo 7 місяців тому

      ​@@MdNasr-jm8pj mie nina miezi 4 apo

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому

    Mhhhhh hata kuzaliwa sijazaliwa jamn ndio kwanza 97 /Oct 😂😂 shikamoo sasa uwaachie kina zuch kubishana mitandaon jamn

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 Рік тому

    Zuchu alikua ajazaliwa xuchu kazaliwa mwaka 93 😂😂😂

    • @tausisaidi2096
      @tausisaidi2096 Рік тому

      Alikua tayari kazaliwa zuchu wa 89

    • @esterpaul5856
      @esterpaul5856 Рік тому

      ​@@tausisaidi2096hawajuag kama zuchu ni mzee..eti 93 hahah

  • @SubiraMohamedy-ev9ed
    @SubiraMohamedy-ev9ed 25 днів тому

    Hpo nsharud zangu shule nkitumwa dukani kwa mpemba Shahame nakuta kafungulia kiredio chake anapata burudan😂😂,namm ñkitoka pale naimbaimba ,,,sasa nenda sasa nenda karoge unapojua.Taarab ipo damuni kitambo sana

  • @SubiraMohamedy-ev9ed
    @SubiraMohamedy-ev9ed 25 днів тому

    Hpo nsharud zangu shule nkitumwa dukani kwa mpemba Shahame nakuta kafungulia kiredio chake anapata burudan😂😂,namm ñkitoka pale naimbaimba ,,,sasa nenda sasa nenda karoge unapojua.Taarab ipo damuni kitambo sana