Nikiona hivi nakumbuka sana madrasa yangu Al madrasa tul jumuiyah Mbeya miaka ya 80's Waalimu zangu sheikh Mbago,Mwalim Hassan,Mwalim Hussein,Mwalim Bashiru.Maashallah🙏😭
Jambo ambalo halikuwa dini wakati wa mtume basi leo hii haliwezi kuwa dini. Muogopeni Allah masufi mtakuja kuulizwa haya mnayoyafanya mmeyapata kutoka kwa mtume gani. Allahu Almusta'an
Yani kama machizi huko kunguruma wamepata wapi yani hawa masufi watu wabaya sana Bidaa yao nimbaya sana inapeleka mpaka kwenye shiriki maneno yao yakusema mtume ni nuru ya mungu si kweli mtu alishasema yeye ni mja wa allah alf ni mtume itoshe maneno hayo mnajifanya mnampenda mtume kw kumpa sifa ambazo anastahili allah. kufuru hyooo hebu jitahidini kuwa na masikio makubwa sio vichwa vikubwa mnatualibia dini unamkuta mtu anabisha kitu hana elimu nacho wala dalili yoyote watu wabidaa wengi wao ni niwajinga hawajui kitu kuhusu dini yao masikini wa mungu ndo maana wanafanya mambo yasiyokuwa na akili kama hayo
Mashallah Allah atufishe tukiwa na mapenzi ya dhati na Mtume
Hongereni sana
Mashall allah ilishangaaa kiswahili hicho ww hujui kiswahili umebakia ishangaa
Nikiona hivi nakumbuka sana madrasa yangu Al madrasa tul jumuiyah Mbeya miaka ya 80's Waalimu zangu sheikh Mbago,Mwalim Hassan,Mwalim Hussein,Mwalim Bashiru.Maashallah🙏😭
Bidaah
Babdeo tuwekee nà madras salama
Sheikh kidodi, ustadhi koba baba wa koba wa leo, maalim suleimani mifupa Allah ayafanye makaburi yao ni mabustani ya peponi.
mashaAllah
Hahaaaa ahaaaaa eheeeee heeeeeehaaaaaa nuru ya mtumeee ilizagaaah ahaaaaa aha ikawanawirishaaaa wewe nuru yamtuumee
Watu hao wameshiba samaki wa leo kwa leo si w friji….
Sio wa tumbatu ni potoa mbalungini zanzibar
Ndo usiku wa Jana hii au
Jambo ambalo halikuwa dini wakati wa mtume basi leo hii haliwezi kuwa dini. Muogopeni Allah masufi mtakuja kuulizwa haya mnayoyafanya mmeyapata kutoka kwa mtume gani. Allahu Almusta'an
Mangapi haya kufanya na mtume ww unayafanya
Tumeyapata kwako we pia siunajiita mtume wa zama hizi
@@AthumaniAmiri-fv5zp katika fikra yako mitume wako wengi zama hizi ndio maana tunawafata wa kwanza ni ww
Lipi baya kumtaja na kumsifu Mtume
Hivi una ushahidi kwamba wakati wa bwana Mtume kuliwahikufanyika mashindano ya kusoma kur an! Jee ushawahi kusemea hili ?
😁😂😂ujingaaa
Huna adabu
Yani kama machizi huko kunguruma wamepata wapi yani hawa masufi watu wabaya sana
Bidaa yao nimbaya sana inapeleka mpaka kwenye shiriki maneno yao yakusema mtume ni nuru ya mungu si kweli mtu alishasema yeye ni mja wa allah alf ni mtume itoshe maneno hayo mnajifanya mnampenda mtume kw kumpa sifa ambazo anastahili allah. kufuru hyooo hebu jitahidini kuwa na masikio makubwa sio vichwa vikubwa mnatualibia dini unamkuta mtu anabisha kitu hana elimu nacho wala dalili yoyote watu wabidaa wengi wao ni niwajinga hawajui kitu kuhusu dini yao masikini wa mungu ndo maana wanafanya mambo yasiyokuwa na akili kama hayo
Fanya jitiada kuwaelimisha wakuelewe sio kurusha maneno nao ni waislam pia
Acha laana wewe
Lugha kama si yako acha