KADHIA YA PALESTINA NI KADHIA YA KIDINI. SHEYKH; MOHAMMED ISSA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @SayariBrand
    @SayariBrand Рік тому +1

    Kwakweli inauma sana apoapo anatokea Muislam ana haidi team flan ya mpla ikishinda goli moja anatoa million 10

  • @fanni-ck6do
    @fanni-ck6do Рік тому +2

    Inna lillah wainnah illah rajiun sooooo sad 😭😭😭😭😭😭😭Allah ametukasirikia tupé nusra yako Allah tuswameh ya Allah

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm 11 місяців тому

    Mtihani sana waarabu ndio waliiiangisha Dola ya kiislamu Kwa kushirikiana na maadui

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 Рік тому +2

    mashaAllah mawaidha mazuri sana nikweli unachokisema shekh subhanallah

  • @farajikitihu4558
    @farajikitihu4558 8 місяців тому

    Shukrani. Kwa kweli tunapata faidi. Mwenyezi Mungu akuhifadhi

  • @othmankhasim5369
    @othmankhasim5369 Рік тому +3

    Allah akuhifadh shkh wetu,barakallah laka

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 Рік тому +2

    Machozi yako Sheikh wetu ni ushahidi tosha kesho yaumur kiyama. M'mungu atawaondosea mazito wanayopitia inshaAllah. Ila tutakua masuulia ni habari nzito kwetu.

    • @hilalmohd8941
      @hilalmohd8941 Рік тому

      😢😢😢😢🎉🎉🎉 mitihani
      pia itamaliza kwauwezo wa mungu ❤

  • @bausifarouk1798
    @bausifarouk1798 Рік тому +3

    Kweli kabisa shekh wetu

  • @binseif2216
    @binseif2216 Рік тому +2

    Nusra ya allah ipo karibu

  • @SaidAbaas-z6z
    @SaidAbaas-z6z Рік тому +2

    Huyu anaelezea historia ya kweli someni jamaanii

  • @AdinaniMjali
    @AdinaniMjali 11 місяців тому

    Aslm alykm shekh Allah akuhafidh natamani wanazuoni wenye itkadi swahihi wangekua ndio wenye mamlaka ktk mataifa hususan ya kiislam

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 Рік тому +1

    😭😭😭🤲🏻🤲🏻🤲🏻Amin Amin Amin yarabi

  • @JeyMtaly-vp3rz
    @JeyMtaly-vp3rz 3 місяці тому

    Yaarabbi inusuru farastwin

  • @HamisiBakariMtonele
    @HamisiBakariMtonele Рік тому +1

    Allahu akibar

  • @mohammedally4795
    @mohammedally4795 Рік тому +1

    Ewe kiumbe ulie Coment hapo juu Soma Dini yako uilewe ndiyo itakupa jibu Hata baba wa Taifa aliwakataa hawa mayahudi kwa uharibu Allah Subhaana awape ghizaa wainyanyuwe Bendera ya Haki Tupe elimu tujitambuwe Shegh
    Wetu Allah Subhaana akulinde na akuhifadhi

    • @Winford-f4l
      @Winford-f4l Рік тому

      Msamehe bure ,ata hospitali iliyoko Palestine iliyolipuliwa na Mayahudi ni ya kanisa,Palestine ina waarabu wakristo wanauwawa na Mayahudi ,si ajabu huyo bwana hajuwi kwamba kuna waarabu wakristo ambao wanaishi kwa amani na waislamu.

  • @NanaMasalago-rh4ow
    @NanaMasalago-rh4ow Рік тому

    Muji ni nini?

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 Рік тому

    Zanzibar=palestina

  • @ImamAbas-f9b
    @ImamAbas-f9b Рік тому

    Kweli hata mimi roho inaniumwa sana kuhus Gaza hawa manguruwe

  • @IbrahimJohni-r4u
    @IbrahimJohni-r4u Рік тому

    Nyinyi msioamini sasa iko cku mtaamin lakn mtakuwa mshachelewa

  • @AdinaniMjali
    @AdinaniMjali 11 місяців тому

    Unaposema want wa Israel maana want wa yakubu sio hawa wazayuni waliotokea ulama mayahudi wa kupangwa na nchi za magharibi wamelaaniwa na mungo hawa

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 Рік тому

    Vp shehe ya darfur huyaoni? Jinsi waafrika weus wanavyouliwa na waarabu, mbona hauliongelei? Au huna uchungu nao?

  • @emilemukolo
    @emilemukolo Рік тому +2

    Acheni uongo wenu hamuchoki kusema uongo hufananisha Muji wa Jérusalem n'a uarabu

    • @SultanSaid-i2t
      @SultanSaid-i2t Рік тому +1

      Acha upumbavu naulokole wakijinga

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 Рік тому

      @@SultanSaid-i2thapo hujaelewa wapi

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os Рік тому

      We unaongea nn kafiri ww ?? ata kuandika hujui unakijua nn umemezeshwa matango pori tu kuku ww

    • @CharlesWilliam-q7j
      @CharlesWilliam-q7j Рік тому

      Hujui hata unachokisema

    • @FeisalDoctor
      @FeisalDoctor Рік тому

      Unatesek ukiwa wap 😂😂😂utakuf n chuki n mawazo

  • @JacobMsuya-e2p
    @JacobMsuya-e2p Рік тому +2

    Unawaita Watu wa Mungu,kafiri? Kwahiyo unataka nchi za kiislamu zikawauwe waisrael, Mungu akulaani shekh uchwara

    • @SaadIssa-mw4gh
      @SaadIssa-mw4gh Рік тому +1

      Kwa taarifa yako hao 🇮🇱 Waisrael itikadi yao mayahudi wanasema Yesu ni mtoto wa Haramu,eti Mariam alichepuka.Laana ya mungu iwe juu yao

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 Рік тому

      Hiv wengine mnacomment bila kusikiliza

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 Рік тому

      We mwehu nini? kachamb
      We mwehu nini.Hv sasa una Laana tayari naitakufwata mpaka kaburini na utafufuliwa nayo inshaAllah. Ahalul naar mkubwa

    • @KhalfanSeif-r7p
      @KhalfanSeif-r7p Рік тому

      Kumamayo mungu atakulaani wewe sio shekh

    • @KhalfanSeif-r7p
      @KhalfanSeif-r7p Рік тому

      Hii sms nimemtukana huyu jamaa alomlaani shekh Mohd

  • @SaidAbaas-z6z
    @SaidAbaas-z6z Рік тому

    Astaghfiru llah

  • @JacobMsuya-e2p
    @JacobMsuya-e2p Рік тому +1

    Shekh ACHA UONGO, Israel ni Taifa la mungu kabla ya uislamu, sisi hatuna mihemko kama yenu, yaani eti tuungane nanyi tuandamane tulaani Taifa Mungu alilolibariki?

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Рік тому

      hao Israeli hawauwi waslam pekee hata wakristo pia wanauwawa we kenge

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 Рік тому

      Sikiliza kwanza kwa makini ndugu

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 Рік тому

      Taifa la mungu kwa watu wepi?

  • @SaidAbaas-z6z
    @SaidAbaas-z6z Рік тому

    Huyo kiumbe aliecoment hapo juu si mtu kamili ni shetani

  • @emilemukolo
    @emilemukolo Рік тому +2

    Wakristo hawapendi uongo kama munavyo fundisha uongo Kira siku wakristo wote duniyani wanajuwa fika kama isirael ni taifa teule la Mungu n'a Muji muku wao ni Jérusalem

    • @Hussein-qq2uy
      @Hussein-qq2uy Рік тому +1

      Wewe ndie muongo hujifahamu na huelewi chochote kaa kimya

    • @hadjihadji197
      @hadjihadji197 Рік тому +1

      Jifundishe kuandika na kujifunza kiswahili kwanza tena, ndio uweke "comment"

    • @yahayaannu3663
      @yahayaannu3663 Рік тому

      Onana sasa ulivyo Gizani,huna hata unachokielewa😢

    • @mwinyibazazi9653
      @mwinyibazazi9653 Рік тому

      Dogo kasome ndo uje hapa ucomment huo ujinga wako..

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 Рік тому +1

      Hapo wayahudi wanaua waislam na wakristo sikiliza kwanza kwa makini

  • @salumndege6486
    @salumndege6486 Рік тому +1

    Huo mji wakutengeneza tu hata nyinyi amjui muislaer harisi yuko wapi nenda isiyopia ndo utajua islaer ni mweusi si muzungu

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 Рік тому

    Nyinyi tatizo ni wajinga na viburi israeli ndo baba wa imani mabii wote ni wa israeli bado hamjastuka tu kwamba hawa watu wanakitu cha pekee

  • @IbrahimJohni-r4u
    @IbrahimJohni-r4u Рік тому +1

    Nyinyi msioamini sasa iko cku mtaamin lakn mtakuwa mshachelewa