MWINJILISTI OLIVER ADAI WAISLAM HAWAMJUI YESU NDIO MAANA WANAMKANA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @KigameMedia
    @KigameMedia 4 роки тому +1

    Asanteni kwa mijadala mizuri. Naomba kushiriki wakati mmoja

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 роки тому

    Wakristo aamukeni na hii aya katika bibilia 50:6 yeremia asante from uganda big up uma

  • @husnaodhiambo6848
    @husnaodhiambo6848 4 роки тому +1

    Mashallah Shk Yahya. Jazakalau khairan Inshallah

  • @mufid707
    @mufid707 4 роки тому

    MashaAllah Tabarak Allah. USTADH YAHYA Allah awabarik kwa kaziyenu njema Ameen.

  • @mwanamwinyibmwakinalo4094
    @mwanamwinyibmwakinalo4094 4 роки тому

    Allah awaongoze walio angamia inshaallah, hongera sheikh Yahya na Kenya dhahwa kwa jumla nawapenda sana,

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 роки тому

    Hakuna muislamu anamkana yesu

  • @fearless......2651
    @fearless......2651 4 роки тому

    MASHAALLAH SAMEER THE QURAAN RECITOR..

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y 4 роки тому +2

    InshaAllah ogezeni mda tupate raha zaidi

  • @sulaimanabdallah4088
    @sulaimanabdallah4088 4 роки тому

    Siyo mwana wa mungu

  • @makenakendi282
    @makenakendi282 4 роки тому

    Mashaallah

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 роки тому

    ALLAHUMA swalli wasallim wabaarik aleyhi

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 4 роки тому

    Asalam alaykum warahmatulah w. Mashaallah sheikh wetu Dakika nichache Sana yaan hapa mnatuacha jiapanda inshaallah mtaongezamuda Dakika ishirin nindog San

  • @makenakendi282
    @makenakendi282 4 роки тому

    Pastor hatutaki kiengereza tunataka Kiswahili Na elimu yesu ni muislamu

  • @shumalproduction536
    @shumalproduction536 4 роки тому

    Mashaalahh tabaraka allah

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 роки тому

    ALHAMDHULILAH Allah awafanyie wepes kwenye kueneza dini yake na jaza yenu iwe pepo ya fridaus alaa pmj na mtume Muhammad swalallahu aly wasalam

    • @kisesawapiliTv
      @kisesawapiliTv 4 роки тому

      Muandaaji wa swali na mjibuji wa swali wote hawamjui Yesu bali mwatapatapa tu anyways niko +255767441462 ukiweza njoo tz mkoa wa mwanza nitakupa na hifadhi ya kukaa tukujibie Yesu ni nani na huo mjadala uurushe watu waone live

    • @abdur-rahmanmuhammad3426
      @abdur-rahmanmuhammad3426 4 роки тому

      @@kisesawapiliTv
      Uko na WhatsApp tuogee

    • @samanthaali873
      @samanthaali873 4 роки тому +2

      Alhamdhulillah Uislam raha tu

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 4 роки тому

    Tunaomba ustadh yahya mda napendasan kukufatilia njisi unaviowabana wakristo ndani yakitabu Chao huyo katika hio haya yesu alimjibu papohapo katika sehem nyingine mtuongezee Musa inshaallah

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 роки тому

    Maa shaa Allah

  • @adijahmunyasia1449
    @adijahmunyasia1449 4 роки тому +1

    PhD yote hiyo na wala hujui maana ya neno "begotten". Wakristo waacheni ukafiri na mumrudieni Mungu mmoja na yesu aliyetumwa kwenu. Wakristo hawamjui yesu kabisa bali wao wanafuata upotofu wa warumi tu na dhana za unafiki..

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 4 роки тому +6

    Angeongea kiswahili maana hio lugha wengine hatuijui kwanini kenya wanapenda lugha ya kiingereza wakati nchi yetu lugha yetu nikiswahili unakuta hata wanakuwa kwa viti vya serekali unakuta hawajui hata kiswahili kwanini hii lugha ya kiswahili hawapendi

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 роки тому +1

      Mjadala imefanyika kwa kiswahili

    • @mussayusuph5991
      @mussayusuph5991 4 роки тому

      Ongea kiswahili wewe achana na kuathiriiwa na kizungu

    • @adijahmunyasia1449
      @adijahmunyasia1449 4 роки тому

      Ni kibri tu na sifa,sio kwamba hawajui wala hawapendi kiswahili ila wanajifanya wasomi.

    • @allykutenga2862
      @allykutenga2862 4 роки тому

      Saadia Ali;
      As-salam alykum,, samaghani saaana naimbalances' kukuuliza kuwa ww upo TZ au KENYA?? mm nipo ZNZ,,Samakhani lakn.

    • @saadiaali5609
      @saadiaali5609 4 роки тому

      @@allykutenga2862 kenya

  • @aminabdi7530
    @aminabdi7530 4 роки тому

    MashaAllah

  • @kimrudiger4454
    @kimrudiger4454 4 роки тому

    Dini ni moja tu

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 4 роки тому

    Huyo pastor anaongeza maneno yake na kutia chumvi, bizari.

  • @salimmashjary8028
    @salimmashjary8028 4 роки тому

    Bigoten ni motto alipatikana nje ya ndowa. eg ambao hakui babake.mwana haramu

  • @aleyabra8005
    @aleyabra8005 4 роки тому

    Mbona huek namba sheigh yahya siku hzi natafta namba yako siioni

  • @raiye5621
    @raiye5621 4 роки тому

    Shekhe YAHYA katulia na kusikiliza huu upuzi wa huyu jamaa na jicho.moja moja anamtupia 🤣🤣🤣🤣

    • @nyotanjemaingarayo5384
      @nyotanjemaingarayo5384 4 роки тому

      Ndipo atamjua wapi kalenga au Nini dhamira yake ili nae aweze kujua namna ya kumjibu

  • @hamadinyawe1816
    @hamadinyawe1816 4 роки тому

    wanyama wa kipandana manayake ndio begotten

  • @rachelevarist70
    @rachelevarist70 4 роки тому

    mwinjilist ongea kiswahili tuweze kukupata wa tz wengi tunajua kiswahili zaidi mkenya gani wewe kiswahili hujui

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 4 роки тому

    Wazungumze kiswahili wengi hwajuwi kizungu huyo pasta hakuja kutoka u.k

  • @wirelessmotivacityofficial4122
    @wirelessmotivacityofficial4122 4 роки тому

    Pastor angtuambia begotten maana yke kwa sababu iyo Hwa intkia kwa mke na mume wkti wnktna

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 роки тому +1

      Hapo akijibu inaviotakiwa ukweli utajulikana

  • @saeedabunajash6235
    @saeedabunajash6235 4 роки тому

    Sheikh Yahya mbona mjadala unakuwa haumalizii mpaka mwisho?

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  4 роки тому +1

      Mjadala ipo part 1,2,3, zote tutaziweka I nshaAllah.

  • @ebraawadh1693
    @ebraawadh1693 4 роки тому

    Mashallah tabaraka Allah

  • @hamadamabali2895
    @hamadamabali2895 4 роки тому

    Tunamtaka Ndacha kwa mjadala tuje tumkamate

    • @khalfaniyesu8912
      @khalfaniyesu8912 4 роки тому

      Ndacha hafai kabisaaaa, ukijadiliana nae, hupati kitu. Hana Adabu hana akiri

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 4 роки тому

    MashaAllah sheikh Yahya ila for someone to be a good Christian must be confused it's you pastor who is not pure in Swahili don't say in Kenya, with all the degrees but knows nothing about religion and The Almighty

  • @adammj6258
    @adammj6258 4 роки тому

    Hao Christian Pastors in fact they don't follow Jesus ila wanamfuata Massih Dajjal wa juu wanajua lkn wafuasi hawajui. mfano.. Hapo Nairobi alikuja mtu akajiita Yesu walitoka kwa wingi kumlaki, je Dajjal atpofika itakuwaje???? Na atakuwa na uwezo km ule aliokuwa nao Yesu mwenyewe, kiukweli WAMEANGAMIA....... ADAM MWANZA TANZANIA

    • @gaellemayan4719
      @gaellemayan4719 4 роки тому

      dont judge a book by its cover please

    • @adammj6258
      @adammj6258 4 роки тому +1

      @@gaellemayan4719 teremsha hoja acha sarakasi ndugu

    • @ritanget9174
      @ritanget9174 4 роки тому

      Nyinyi ndio munafwata masihi dajali chriistians we follow our Lord Jesus

    • @adammj6258
      @adammj6258 4 роки тому +2

      @@ritanget9174 Jesus hakuanzisha Kanisa ila Western Countries ndio waanzilishi wa hayo makanisa yote unayoyoma, na Founders wote ni SENIOR MEMBERS wa Illiuminati, Freemason au secret society e..g Anglican, King James, Lutheran, Martin Luther W. J William Taz Russel, hawa wote ni senior members wa mtandao wa Dajjal na Bible kila Kanisa ina yake...... Jesus hajawahi ji express popote km yy ni Lord huo ni uzushi na uongo na Jesus never estabilshed Chrstianity, and Christianity is not a Religion,,,,,, Soma vitabu ndugu yangu don't be DOGMA

    • @adammj6258
      @adammj6258 4 роки тому +2

      @@ritanget9174 Sisi tunamfuata Muhammad (SAW) ask any question Qur'an will answer, si ulisikia Loon, former Bado boy raper converted?, je mr Bean?, Paul Pogba? Jacksons farmily?... Did you hear Churches are sold in Europe? Do you know why? Wazungu walishastuka kuwa Christianity is a big LIE,,,,, ISLAM IS HUGELY SPILLS OUT AROUND THE WORLD, WHY NOT CHRISTIANITY? ask your friends, read books ask Muslims TOUGH QUESTION you will know why

  • @omarjumaan2735
    @omarjumaan2735 4 роки тому +1

    Islam we know that Jesus is a prophet but not God as you people claim to be God NEVER gose to toilets put that in MIND.