@@lameckwilliam8311 hakuna huo ni uongo kwani kaitwa tofauti mbona anayo yafanya ni yale yale tu ya sku zote waliyo fanya wale waongo acheni uongo wawazi nyinyi na nyinyi kina mama mnabebwa sana na hayo maupepo yapitayo kwanini
@@ryobanchagwa2499,...Yesu Kristo alipomwita Mungu ni baba yake, Wayahudi walisema anakufuru, ...Na alipotoa Pepo walisema anatumia NGUVU za Giza. # Hivyo sioni ajabu Kuona comment kama hizi.
Unatubariki kwa uimbaji acha kazi Kama ya kundi LA Akina mwampossa kumbuka Sana sayuni band ulitubariki by mch mathayo toka dar es salaam tz Mara ya mwisho tumekutana ukumbi WA sao hill mafinga twicco so nakupenda Sana jembe LA BWANA
ila wazungu watuvuluga kuna haja gani kuanza kujibizana na pepo wakati yesu aliliambia pepo nyamaza ila hela hizi mweee! Uganga umehamia Madhabahuni sasa
Watanzania pole sana mufunge na kuomba mujuwe Mungu wakweli ni yupi itawasaidiya sana.
Kweli shetani kaanza kazi ya uongo kwa waimbaji wazuri na amewageuza wamekuwa waongo kama huyu mgogo 😢sijui wanahonga pesa duh ase Mungu tusaidie
Lazima mjue huduma hazifanani ndivyo alivyoitwa na kuinuliwa ndugu yetu Emanuel Mgogo mtie moyo asonge mbele
@@lameckwilliam8311 hakuna huo ni uongo kwani kaitwa tofauti mbona anayo yafanya ni yale yale tu ya sku zote waliyo fanya wale waongo acheni uongo wawazi nyinyi na nyinyi kina mama mnabebwa sana na hayo maupepo yapitayo kwanini
MGOGO UMEANGUKA JAMANI😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Utukufu kwao mungu barikiwa mtumishi wa mungu
Naomba namba ya mgogo
Aaaaaiiiii, huyu ni yule napenda kusikiza nyimbo zake,, kaka rudi njia ya kwanza, hapo hapana tumekataa kamwe
UMEPOTEA MGOGO KUMBE
UMEANGUKA jamani😢😢😢😢😢
@@ryobanchagwa2499,...Yesu Kristo alipomwita Mungu ni baba yake, Wayahudi walisema anakufuru, ...Na alipotoa Pepo walisema anatumia NGUVU za Giza.
# Hivyo sioni ajabu Kuona comment kama hizi.
Bsijaelewa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤OoooH Ameen Ameeen Ameen Ameeen ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu nifunge kinywa🤐🤐
Acha maigizo.....rudi kwenye utumishi wa kuimba
Mgogo iko wapi njia ya zamani yako wapi Mapito ya zamani kumbuka ni wapi umeanguka ili urudi
Unatubariki kwa uimbaji acha kazi Kama ya kundi LA Akina mwampossa kumbuka Sana sayuni band ulitubariki by mch mathayo toka dar es salaam tz Mara ya mwisho tumekutana ukumbi WA sao hill mafinga twicco so nakupenda Sana jembe LA BWANA
Ata Mimi nashangaa waitwao ni wengi ,wateule ni wachache
Apana hiii naikataa
Sisi watanzania tuweni makini na Utmishi huu!.
Kanisa liko maeneo Gani
Kwani ana kanisa siku hizi mgogo?
Analo ndio
Tusiwe tunaongea na mapepo kwa muda mrefu zaid tufanye maombi inakuwa kama maigizo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ila wazungu watuvuluga kuna haja gani kuanza kujibizana na pepo wakati yesu aliliambia pepo nyamaza ila hela hizi mweee! Uganga umehamia Madhabahuni sasa
@@Producervbaddsethata hivyo ni maigizo wajinga tu ndio waliwao
@@Furahamwasyikakwakweli
uliza ckuiz huyu mgogo ni mchungaji
Acheni maigizo nyie
Acheni maigizo nyie