SABAYA ANYOOSHA MKONO MAHAKAMANI, HAKIMU AMKATIZA "TUNATESEKA, RAIS AINGILIE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 74

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 2 роки тому +5

    Kuteseka kwa zamu, hii ni zamu yako kuteseka mjomba,. Auae kwa upanga atakufa kwa upanga, Mungu endelea kuchapa fimbo huyu kama alivyotesa wenzie Haleluyaaaa🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @tumsifumunuo7428
    @tumsifumunuo7428 2 роки тому +4

    Uliambiwa na Lema one day you gonna pay kwa hiyo ndo unalipa

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 2 роки тому +4

    Sabaya Leo ndio kajua kuwa magereza sio piknik....yeye sindie aliekuwa akiongoza kuweka watu ndani na kijeruhi watu....ATAVUNA ULICHOPANDA

  • @stn4873
    @stn4873 2 роки тому +3

    Maisha bwana. Ama kweli hakuna haijuae kesho.

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 2 роки тому +1

    Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu nazidi kukuomba amfanyie wepesi jambo hiri zito kwake sabaya Ewe mwenyezi MUNGU

  • @henrytimothy3048
    @henrytimothy3048 2 роки тому +1

    Ocd weka ndani wote ni sehemu salama😎😎🌚🌚

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 2 роки тому +5

    Wanawasumbua tu!Ila Mungu yupo.

  • @BONGOKUMENOGATV
    @BONGOKUMENOGATV 2 роки тому +5

    Ukitoka akili itakukaa sawa

  • @abdulraqeebfaiz9442
    @abdulraqeebfaiz9442 2 роки тому +1

    Mungu aendelee kukuchapaaaa hvyo hvyooo mpka tukuonee hurumaa mbwa ww

  • @lilybarongo8119
    @lilybarongo8119 2 роки тому

    Mungu yupo amini ipo siku

  • @gervasmalimi5126
    @gervasmalimi5126 2 роки тому +2

    Dah pole sana sabaya mungu atatenda😭😭😭

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 роки тому

    Mungu tenda mema kwa sabaya na wenzake km ulivyotenda wema ktk kesi zilizopita 🙏🙏😢😢

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 роки тому +1

    Fimbo ile ile uliyowachapia wenzako kwa kutumia dhamana ya cheo ndiyo utakayochapiwa

  • @henrytimothy3048
    @henrytimothy3048 2 роки тому +1

    😀 kumbe idi amini na yeye alikua na mwili ukiona mtu anamtetea huyu nduli ujue hakuumizwa nae Kwan mbadhani serekali ni katili kiivyo hata mama anataarifa zake ndo Mana kavunga

  • @jifunzekusamehe4527
    @jifunzekusamehe4527 2 роки тому

    Kwani yeye sio mnyonge mbona yumo ndani🙄🙄🙄🙄🙄

  • @nasibubalonzizubusa3449
    @nasibubalonzizubusa3449 2 роки тому

    Jaman tuiogope kesho sabay leo rokapu daaaaaaaaaaaaaaa

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 роки тому

    Hili nalo litapita mungu yupo macho siku zote usijali bro

  • @maimunamisana4293
    @maimunamisana4293 2 роки тому

    Hajawahi kushindwa mola wetu,Alla atakushindia #lengaiolesabaya

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 2 роки тому

      We chizi kweli ee
      Muuwaji kama uyo leo unmtetea

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 2 роки тому

      @@pavillioncry5241 muuaji wewe acha unafiki

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 2 роки тому

      @@pavillioncry5241 kile apandacho mtu ndicho atakachovuna

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 2 роки тому

      Amina 🤲

  • @waltergodwin2529
    @waltergodwin2529 2 роки тому

    Sabaya amekua kama mtoto wa secondary, what goes around comes around.

  • @hamiskengwa6148
    @hamiskengwa6148 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣 kashikaji kamepungua mno
    Dadek zake. Kalionea Sana watu

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 2 роки тому

      Halafu kaota nundu kisogoni yote ni madhambi aliyoyatenda mpuuzi huyo.

  • @mofatv5565
    @mofatv5565 2 роки тому +1

    Hakuna cha siasawala nini wale.uliowaumiza unawajua vizuri na pengine ukilala unawaota sana mwisho wa ubaya ni aibu ulionea na kitesa sana watu ukajifanya wewe Mungu mtu. Ulionywa.na marehemu mama Mgwira hukusikia ukaendeleza dharau ... wale.uliowapigilia misumari unawakumbuka wale uliowavunja miguu unawakumbuka wale uliowalawiti je ? Wale uliowaumiza Kisiasa sabbau ya baba yako alikutuma ... cheo ni.koti la kuazima

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 6 місяців тому

    Sio unapewa kazi unahanza kureta ubambe mavuno yake dio hayo

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 2 роки тому

    Mungu akutilie wepes Sabaya siasa ndo zinakutesa

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 2 роки тому

      Amtilie wepesi upi huyo muuwaji?
      Kwanza kwa Mungu yupi?

    • @fraviansweetberty8819
      @fraviansweetberty8819 2 роки тому

      @@gulionigulioni3234 sijaongelea nafsi yako nimejiongelea nafsi yangu Mimi 🙏🙏

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 2 роки тому

      @@fraviansweetberty8819 kwani nafsi yako haimjui Mungu?

    • @fraviansweetberty8819
      @fraviansweetberty8819 2 роки тому

      @@gulionigulioni3234 yakwangu Amna Ila wewe naona ndo unajua Mungu kuwa na Aman ndg Sina mda wakubishan naww

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 роки тому

    Upelelezi haujalamilika. Ndiyo kesi ni kubwa Acha wajiridhishe

  • @kahwarwosile7831
    @kahwarwosile7831 2 роки тому

    Aacha atese naye alitesa watu wengi

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 роки тому

    Ndo ujifunze kua gerezan sio pazur ulivyosweka wenzio ndan kipind kile

  • @msengimkoma9550
    @msengimkoma9550 2 роки тому

    Leo naye anaomba Rais aingilie kati kesi yake.

  • @ramadhanjuma1261
    @ramadhanjuma1261 2 роки тому

    Kimekonda kweli kiSabaya.

  • @prosperprosper4074
    @prosperprosper4074 2 роки тому

    Asa mbona kawa mtoto jamaniii

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 роки тому

    Akiua kwa upanga utakufa kwa upanga

  • @husseinkhaji895
    @husseinkhaji895 2 роки тому +1

    Leo umelijua kuwa unateseka ila wakati unawateda wenzio kwakuwakata masikio hukuyaona? Komaa utashinda

    • @wilberathtemu6099
      @wilberathtemu6099 2 роки тому

      siyo kuteseka tu afe amenyanganya watu pesa na kufukuza watu kaxini hata km kesi itaisha bado laana na vilio vya watu viko palepale Mungu atamwadhibu tu

  • @tumsifumunuo7428
    @tumsifumunuo7428 2 роки тому

    Ulipokuwa unawatesa wananchi wa wilaya ya hai ukisema ocd kamata peleka ndani sasa huko uliko kuwa unawapeleka watu wengine ndo huko

  • @husseinkhaji895
    @husseinkhaji895 2 роки тому

    Sabaya uliamini dunia niyako eti gerezani sio pikinic ila wakati unawaibia watu ulijua hawaumii na kuwatesa watu unalia eti unateseka wewe endelea kuteseka najua utatoka ila bado Mungu atakuadhibu kwa dhuruma.Acha kulia vumilia kama walivyokuwa wanavumilia kwa mateso yako.

  • @SamsungGalaxy-kx2zj
    @SamsungGalaxy-kx2zj 2 роки тому

    Vipi mahakama inapokea kesi na kesi haina msimamo wa ukweli mahakama gani inaweka mara 3 kikao mawaadi ya kikao cha kusomwa kisha waambie kesi haija kamilika hii ni kesi ya kubandikiziwa na serikali kwa kutumia jina la jamuhuri

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 2 роки тому

    Inatosho jamani serikali muhurumieni jamani 😭

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 2 роки тому

    Wanadamu wabaya xan

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 2 роки тому +1

    Dogo keshajifunza. Akitoka hapo atakuwa amenyooka

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 роки тому

    Kwani mpaka leo yupo hai uyo
    Hajanyongwa tu muuwaji uyoo

    • @edwardsemwenda4726
      @edwardsemwenda4726 2 роки тому

      Kama kunyongwa raha nyongwa wewe

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 2 роки тому +1

      Hakuna aliye sawa duniani kila mtu Ana ukatili Fulani kwa mtu mwingine vipi kuhusu wewe au kwa sababu unayafanya gizani acha ujinga MUNGU angekua wewe ungeshaua lakini MUNGU akituangalia wooooote anaona dhambi na kupungukiwa utukufu anaweza nyongwa na akaenda mbinguni wewe ukabaki ukafa kifo Cha aibu acha ujinga

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 2 роки тому

      @@karibunyumbani3824 Mungu alieumba vyote asema ktk zaburi ,watakatifu walioko duniani ndio ninaopendezwa nao, Tena imeandikwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna, pia usilopenda kutendewa usimtendee mwingine, pia kipimo upimiacho wenzio ndicho utakachopimiwa Kwa kujaa na kusindiliwa na kusukwasukwa hata kumwagika, hawezi kukwepa kukinywea kikombe alichonyweshea wengine isivyohaki.nikweli imeandikwa ufalme haujifitini. pia wahenga walisema zimwilikujualo halikuli likakumaliza lkn Mungu hupinga WAJIKUZAO ,waovu walitaka baraba mwenzi wao aachiwe Bali YESU asulubiwe tukishiriki uovu tunakua kundi Moja nao Mimi sitetei Bali namwomba Mungu alifanye taifa kuwa na haki nakuitenda tangu uchaguzi Hadi uongozi

    • @paschaziaignas6984
      @paschaziaignas6984 2 роки тому

      Msimuhukumu hamkuepo Muache Mungu ahukumu sioo we

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 2 роки тому

      @@frankjohn8706 ☺️ Sasa Kama haya yoooote unayajua sikiliza nikuambie msimhusishe MUNGU na uzembe huu maana ni Mara ngapi unaombea nchi yako ?
      Ni Mara ngapi umeombea viongozi au huna muda 🤨 kumbuka hakuna kitu kinachotokea Sasa hivi ambacho kimeanza leo haya ni matokeo tu madogo ya uzembe wa wanaolijua neno lakini huliyumia kwa mabishano tu ili kuonekana washindi .... MUNGU ni MUNGU wa utaratibu unafkiri hayo yooote MUNGU alikua haoni sabaya alivyoonea watu na kuwatesa
      Alikua anakusubiri wewe uombe kwa ajili yake ili asiingie tamaa na atende haki yaani kwa ufupi katika hili ni kuipisha gadhabu ya MUNGU maana akinyongwa yeye kumbuka na wewe una watoto ....hahah

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 2 роки тому

    MUNGU amsaidie Sabaya

  • @abdulraqeebfaiz9442
    @abdulraqeebfaiz9442 2 роки тому

    Kaangalie kalivyokondaaaa

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 роки тому

    malipo.ni.duniani ulipokua unatembea.kwa kujidai.na huku.umeweka mkono.mfukoni.na.uku.umeshika Kirungu uliona utakua kiongozi wa milele?

  • @gulionigulioni3234
    @gulionigulioni3234 2 роки тому

    Sabaya mpumbavu wewe, umesahau si ndiyo?
    Subiri uolewe Kisongo huko mjinga wewe.

  • @jellymbogo7246
    @jellymbogo7246 2 роки тому

    Wakat lema anakwambia utapay uljua masihara

  • @jacksongidion5170
    @jacksongidion5170 2 роки тому

    Y

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 2 роки тому

    Ok

    • @obeidmpombwe9951
      @obeidmpombwe9951 2 роки тому

      Hata yeye alitesa wenzake alikuwa anawabambika kesi walikuwa wanateseka ameona eeee

  • @kim_na_afya5316
    @kim_na_afya5316 2 роки тому

    #AFYA YA MIFUPA NA NA MAUNGIO (JOINTS ) +255755926577
    #OSTEOARTHRITIS nitatizo la kuisha kwa gegedu (cartilage) au uteute(synovialfluid) katikati ya maungio(joints).
    #AINA_ZA_MAGOJWA_YANAYOSHAMBULIA_VIUNGO_NA_MIFUPA
    👉osteoathrits
    👉Osterporosis
    👉 rheumatic athrits
    👉gaut arthritis

    #SABABU
    👉 umri kuanzia miaka 30+
    👉ajali
    👉uzito kupita kiasi nk
    👉kupungua kwa virutubisho Kama vile glucoseamine mwilini
    👉kutumikisha viungo kupita kiasi
    #DALILI
    1.Maumivu kwenye magoti
    *wakati wa kupanda ngazi au mlima au wakati wa kutembea
    2.magoti kushindwa kujikunja
    3.kusikia milio ya mifupa kusagana kwenye magoti na magoti kuchoma
    4. Maumivu ya mgongo
    5.kushindwa kuinama
    6.#kusikia ganzi kwenye mapaja au miguuni.
    #MADHARA
    1. KANSA YA MIFUPA
    2. KUSHINDWA KUTEMBEA KABISA
    3.VIUNGO KULIKA KWA KIASI KIKUBWA
    #SULUHISHO_LIPO TUTAFUTE KWA NAMBA +255755926577

  • @gervasmalimi5126
    @gervasmalimi5126 2 роки тому +4

    Dah pole sana sabaya mungu atatenda😭😭😭

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 роки тому

    Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 роки тому

    Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga

    • @samwellembrice64
      @samwellembrice64 2 роки тому

      Hii iwe funzo kwa wengine kuwa madaraka ni koti la kuazima