Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
😂😂😂😂 lakini baba Naomi 🙌🙌 ni comedy kwenye hii move
Naomi ni mpelelezi uyu anachokipeleleza chanchanganya mbna😂😂❤🎉
Brayni na Nick wanaweza kuwa ndugu
Hata me nawaza ivyo
Na naomi na Steve wanaweza kuwa ndugu pia
ni ndugu
Unakumbuka mama yake alisema alizaa watoto wawili
Hata hivyo ni ndugu yule alo tekelezwa ndie huyo Nicky
😂😂😂Ila Nick heti we mpuuzi umenitia sana jamba jamba 😂😂😂 mpaka nimecheka kwanguvu wallah
Steve kma humpendi ur Ex just block her namba period 😅😅
Nimekubali hii y Nicky n Brian wacha tu🎉❤
Move tamu sana hongeren mlio shilik tunajifunz meng san
Huyo jamaa wakuchekacheka yuwa boaaa
😂😂😂Ila baba Naomi mgonjwa gubu utaachwa apo ujinyeee😅😂😂😂
😂😂😂😂😂mdomo mwingi 😂😂😂
Mm jarome umenifurahisha kwl sio kwa kuyatumbua machoo ivoo😮😂😂unajifarijii tuu
Tupo hapaaa kwani Kuna shidooooo ...❤❤
Huyu baba naomi anagubu 😂😂 alafu analiwezea gubu
Ihi tamthilia ni full mafumbo t nimeipenda sana
😂😂😂baba naomi mbavu zangu mgonjwa ila anamdomo huyo
Na gubuu atar😂😂😂
Uwiiih mbavu zangu mie is Edoooh for meeh😂😂😂😂
😂😂😂Ila hii Familia ya Rich 😂😂😂wananichekesha sana
😂😂😂😂😂Ila baba naomi msumbufu jamani 😂😂😂😂😂😂chaaaaaaaaa
Hata kwa angel faces alikua hivi tu mgonjwa lkn ana madonge
Ila baba naomi mgaigai sana😂😂😂
Ila Rich family jmn😂😂😂😅
Nomaaaaa Bado tupooooooooo
Joseph ni Baba angu kabisaa Kosa nifanye mm wagombezwe wadogo zangu nyie😂😂
Kumbe baba brayani ni jambazi ndiyo maana mkewe alimwambia kuvua shati lake hataki 😀😀😀 eti mgongoni anakuwa amechanwa chanwa😢daah
Anatembea na naom Hua Naomi anamchapa
Jambazi lakin na Naomi anachapwa na mkanda😅😅😅
Wahind bye nyumban kumenoga
Joseph pole huna watoto hapo
Baba Naomi miguu hana gubu gubu 😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
Daaaaa kumbe stive anacezewa tu masikini mukaka wa mama stive Ila Naomi weye utaugusha presha wengi😢😢
Baba naomi ananikumbusha baba angu ALLAH ilaam yani nimecheka😂😂
Alikuaje?
😊huyu Nancy mbona kama kafanana na mama Brian
😂😂😂 baba naomi kisiran
Watoto kama baba Jose huna family hapo haya nenda kamfumanie Nancy wako 😅😅
Briyan hajafa bwana 😢
Wananikera wanavyocheka cheka
Yan had me
Mbona mbele/nyuma kufa na kufufuka, unbelievable !!
Nick ananikela Yani anavyocheka
Baba brayn kimemramba
😂😂😂
Baba Bryayane umehona sasa
Nina eti ni naam au abee hizi pombe jmn😂😂😂
😂😂😂😂jalome katoa macho🥹🥹🥹
Shoga wa naomi kiboko😂😂😂
Baba Naomi utanuka mavi, ebu punguza mdomo.
Kz mzr
Eti baba Naomi kasem nikisimama ap jman😂😂😂
ila baba naomi nae😂😂😂😂
Wee steve utakja kumpigia magoti huyu dada
Hakun kitu kinanikera kam cheko ya Nick🤨🙂↔️😫😫
Yaani mama naumi ni kiboko
Cha umuhimu Eliza uwe unatutumia kila siku ili tunaofatilia tuenderee kufatilia
Grory king'ang'a😂😂😂
Hilo nalo kuchekacheka kama malaya kaona pochi imejaa
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hiv majambaz huwaga wanacheka Cheka nn muda wote? Kama matahira sasa kinachekesha nn hapo.
Bangi wanazovuta znawatia wazmu😂😂
😂😂😂😂😂@@davidsonmaluka7917
Imebidi namimi nicheke 😂, au mm jambazi 😢
@@PriscaAlphonce-tw6cz inawezekana 😁😁
❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Hizo vicheko ka za wedawazimu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Anatembea na naom
Hua Naomi anamchapa